Hamed Bakayoko enzi za uhai wake
Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Hamed Bakayoko, amefariki dunia katika hospitali moja nchini Ujerumani, mamlaka imesema.
Bakayoko, aliyekuwa akipata matibabu ya saratani, alifariki dunia Jumatano siku chache tu baada ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa ya 56...