mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Series ya Squid Game imefanikiwa kuingiza Dola za Kimarekani 900M ikiwa ni zaidi ya Tshs Trilioni 2, mwezi mmoja tu tangu itoke

    Series Ya Squid Game Imefanikiwa Kuingiza Takriban Dola Za Kimarekani Milioni 900 Ikiwa Ni Zaidi Ya Trilioni 2 Tshs Ikiwa Na Mwezi Mmoja Tu Tangu Itoke Rasmi. - - Kwa Mujibu Wa Mtandao Wa Bloomberg Series Hiyo Imetazamwa Na Watu Milioni 132 Kwenye Siku 23 Za Mwanzo Ilipoachiwa Na Hii Kuvunja...
  2. JamiiForums Tanzania Simiyu: Ofisi ya mtendaji wa kijiji yachomwa moto, mtu mmoja akamatwa kwa upelelezi

    Ofisi ya mtendaji wa kijiji cha Mwabagalu kata ya Nyabubinza wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu imechomwa moto alfajiri ya leo Oktoba 17, 2021 na watu wasiojulikana. Ofisi hiyo ambayo ilikuwa ikitumiwa na mtendaji wa kijiji na sehemu nyingine ikitumika kama darasa la wanafunzi wa awali imeteketea...
  3. JamiiForums Tanzania Connor McGregor afanya vituko hadharani Rome kwa kuzunguka na walinzi wenye miili mikubwa mmoja akimbebea wine kwenye glass

    Ni yule bondia mixed martial arts.
  4. JamiiForums Tanzania Hivi, Nawe ni Mmoja Kati ya Waliokuwa Hawavui Nguo za Shule Wakifika Home...?

    Uzi tayari...! 👊🏾
  5. JamiiForums Tanzania Naona kampeni zimeanza,lakini zimeruhusiwa kwa upande mmoja

    "Mh. Rais Samia kama ambavyo nawasikia Viongozi wa CCM kwamba toka umeingia madarakani wana kauli yao wanasema umeupiga mwingi, kazi nzuri unayofanya Watanzania wanaiona tuna matumaini makubwa na tutaendelea kuhakikisha kwamba malengo yako yanafika hadi vijijini" "Umeanza vizuri unaendelea...
  6. JamiiForums Tanzania Hii kesi ya ugaidi inatumika kupiga ndege wawili kwa jiwe moja, ila mmoja ndiyo analengwa zaidi

    Hii kesi ya ugaidi inatumika kupiga ndege wawili kwa jiwe moja, ila mmoja ndiyo analengwa zaidi, kwa bahati mbaya mshika manati ndiyo anapoteza zaidi. Nakumbuka miaka ya 2000 kuja 2005 ilikuwa ukipita mitaani chama kilichokuwa kwenye headlines ni CCM. Ndicho chama kilichokuwa kinatrend sana...
  7. JamiiForums Tanzania Television ya Taifa,TBC, Imetisha!. Yarusha Live Mbili Kwa Wakati Mmoja! Live ya Dodoma on TBC1 At the Same Time Live ya Arusha TBC2- Safari Channel

    Wanabodi Kwanza wale wenye access, Watch, TBC 1 na TBC 2...shuhudia...!. Kwa watu wasiojua what it takes kurusha matangazo ya TV live mubashara kutoka sehemu mbili tofauti kwa wakati mmoja, mnaweza msielewe, hapa ninashangaa nini!. Kiukweli kituo cha Television ya Taifa, TBC, kimetisha...
  8. JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu kuacha kazi kwa kutoa notice ya mwezi mmoja?

    Wakuu kuna sehemu nataka niachie ngazi ili kupata muda wa kufanya mambo yangu mengine. Sasa wakati naplan kuondoka ningependa kujua sheria ipoje kwa upande wangu. Je baada ya kutoa notice ya mwezi mmoja nitatakiwa kufanya kazi huo mwezi bila malipo au nikitoa notice tu inatosha na huo mwezi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sweden (Sida) hawakutupa pesa FY2020|21 na badala yake wametupa FY2021|22 mwaka mmoja baadaye?

    EPforR I ilitoa TZS 208b kwa JK mwaka FY2014|15 to 2020|21, why EPforR II imetoa TZS 196b kwa Rais Samia FY2021|22 mwaka mmoja baadaye,Je waligoma au hawakuwa na pesa? ============== Katika kile kinachotajwa kama Kuimarika kwa diplomasia ya Uchumi na ukuaji wa demokrasi na Utawala wa sheria...
  10. JamiiForums Tanzania Mtu mmoja akiwa bilionea, watu elfu moja huwa masikini

    Utajiri ni hali ya kuwa na mali au pesa nyingi . Mara nyingi utajiri hupimwa kwa wingi wa pesa alizonazo mtu mfano , kiwango kikianzia milioni 100 mtu huyo huitwa milionea, kikianzia milioni 1000 mtu huyo huitwa bilionea, Mtu mwenye utajiri huitwa TAJIRI na mtu asiye na utajiri (mali au pesa...
  11. JamiiForums Tanzania Kama umeoa jua kabisa mke wako anatoka kimapenzi na Ex- wake, kijana wa mtaa mmoja au mfanyakazi mwenzake)

    Kwako ndugu yangu uliye oa hao ndio maadui zako.
  12. JamiiForums Tanzania Lowassa angeshinda uchaguzi 2015 sera yake ya ELIMU, ELIMU, ELIMU ingeimarisha vipi uchumi wa Mtanzania mmoja mmoja?

    Tangu uchaguzi wa mwaka 2015 upite huu ni mwaka wa 6 sasa, wagombea wa nafasi ya urais walikuwa ni JP. Magufuli na E.Lowassa, Swali langu je kama ingetokea Lowasa akashinda uchaguzi sera yake kuu ilikuwa ni kutoa elimu bure kwa wote mpaka chuo kikuu (ELIMU, ELIMU, ELIMU), kwa elimu yetu hii...
  13. JamiiForums Tanzania Sera za Marekani na China: Changu changu chako changu, ukanda mmoja njia moja (protectionism policy)

    SERA ZA MAREKANI NA CHINA: CHANGU CHANGU CHAKO CHANGU,UKANDA MMOJA NJIA MOJA (PROTECTIONISM POLICY) Leo12:25hrs 26/09/2021 Kila mtu analinda cha kwake sisi tu huku Tanzania tuna dharau vya kwetu hata panadol tunataka za kenya tukienda dukani,Watanzania tunadharau lugha yetu ya Kiswahili lakini...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mmoja aliyepigania watoto wasirudi shule ampeleka mwanaye nje kuendelea na masomo miezi 6 baada yakujifungua.

    Wakati wa awamu ya tano msimamo wa serikali ulikuwa hakuna watoto kurudi shule endapo watapata ujauzito. Kauli hii yakishenzi iliungwa mkono na wanasiasa wakiwemo wabunge na hata viongozi wa dini,taasisi za kirahia na wanazuoni mbalimbali. Wakati Kigogo mmoja jina linahifadhiwa akiwa kinara wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anasumbuliwa na mafua yasiyotoka njia za puani (ana mwezi mmoja tu)

    Habari ndugu wapendwa katika imani! natumai mmeamka salama na mpo kwenye majukumu ya kila siku. naomba nielekee kwanye hoja au maombi ya kimawazo, ushauri au tiba kwa aliyekutwa na hili tatizo na kufanikiwa kulimaliza kwa namna yoyote. Mtoto wangu tatizo la kufura kwa mafua yasiyoka puani...
  16. JamiiForums Tanzania Kamanda mwenzetu Joyce Mukya yuko wapi? Ni mmoja wa makada waliolamba viti maalum kiaina. Anatakiwa atoe neno kipindi hiki kigumu

    Alikuwa mmoja wa viti maalumu waliongia kwa nguvu maalumu bungeni. Sasa hivi dhahama imeikumba chama chetu. Basi anatakiwa kama kada mwandamizi aonekane mbele ya umma. Atoe neno maana kama chama tunahitaji faraja.
  17. JamiiForums Tanzania Kwa uchapakazi huu wa Rais Samia, CHADEMA tujipange sana 2025, tunaweza kukosa hata Mbunge mmoja

    Muonekano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato utakavyokuwa mara baada ya ujenzi wake kukamilika kwa awamu ya kwanza inayohusisha barabara za kuruka na kutua ndege pamoja na jengo la abiria. Mkataba kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja hicho unagharimu takriban shilingi bilioni 165 za...
  18. JamiiForums Tanzania Mtanzania mmoja akamatwa kwa kusafirisha wahamiaji 16 wa Ethiopia

    Kamanda wa polisi wa mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei ametangaza kuwa polisi wamemkamata raia mmoja wa Tanzania akihusishwa na usafirishaji wa wahamiaji haramu 16 wa Ethiopia, na kuongeza kuwa mtuhumiwa huyo ni Yohana Adam, mkazi wa Kasumulu katika wilaya ya Kyela mkoani Mbeya. Matei amesema kuwa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” lasaidia Afrika kuboresha miundombinu ili kupata maendeleo

    Huu ni mwaka wa nane tangu China itoe pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja”. Katika kipindi hicho, ujenzi wa miradi ya ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kutokana na pendekezo hilo umepamba moto, na kusaidia nchi za Afrika kuboresha miundombinu ili kupata maendeleo ya uchumi. Hali...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Natamani kufungua kesi dhidi ya WHO. Kwanini ugonjwa mmoja una chanjo zaidi ya 24?

    Tunaposema tuwe makini siyo kwamba ni ujinga. WHO imeruhusu chanjo zaidi ya 24 kwa ugonjwa mmoja tu.Hii maana yake chanjo bado ziko kwenye utafiti na zimetolewa kwa hati ya dharula (soma masharti). Na kama zimeshakuwa fully approved maana yake ni kuwa zinazidiana ubora au uwezo ni sawa na dawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…