mkurugenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia Umetubadilishia Mkurugenzi wa EWURA, tubadilishie na wa TPDC na PURA

    Nimeyazungumzia haya mashirika mawili yanayohusika na uendelezaji wa mafuta na gesi Tanzania. Tunaomba tubadilishie wakurugenzi wa hayo mashirika tuone mabadiliko katika sekta ya mafuta na gesi. Wakurugenzi wanakaa kwa muda mrefu sana, hapo inaweza kuwa ngumu kuona mabadiliko. Zoezi la...
  2. Madiwani na mkurugenzi wa Mbeya kauli yenu inamaanisha biashara ya bajaji Mbeya ni haramu!! Maduka ya bajaji yafungwe, na hamtowatoza Kodi?

    Nachojua Mimi madiwani wa Mbeya ndio wamiliki wakubwa wa bajaji hapo mjini ,.nawafahamu na bajaji mnazomiliki nazifahamu mnataka kuwadhibiti raia wa kawaida wasimiliki bajaji ili biashara yenu isiwe na ushindani?? Biashara ni huria huwezi kuzuia watu wasiingize bajaji barabarani kwa sababu...
  3. Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini REA, Hassan Said Njoo Mkoa wa Geita

    Nenda Mkoa wa Geita ukajionee Utekelezaji wa mradi wa REA awamu ya tatu mzunguko wa pili mkoani Geita umesitishwa bila sababu za msibgi na bila wakandarasi kujulishwa na mikataba tukiwa tumesainishwa. Wananchi na wakandarasi huko wako wanakusubiri ukawape majibu na uelekeo wa mikataba na...
  4. Muuguzi Mkunga na Mteknolojia wa Maabara wakutwa na Tuhuma za kujibu, Wasimamishwa kazi

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Uyui mkoani Tabora amewasimamisha kazi Rose Shirima, aliyekutwa na tuhuma ya matumizi ya lugha isiyo na staha mahali pa kazi na James Chuchu aliyekutwa na tuhuma ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii na kuleta taharuki katika jamii. Hatua hiyo inakuja kufuatia...
  5. Mkurugenzi TANESCO atakiwa kujieleza mbele ya Kamati ya Bunge (PIC)

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC), imewatimua vigogo wa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) kwa kushindwa kufika mbele ya kamati hiyo kwa Mkurugenzi Mkuu na Mwenyekiti wa Bodi wa shirika hilo. Mbali na hilo, kamati hiyo imewataka vigogo wa shirika hilo kuandika barua...
  6. Mkurugenzi KADCO: Ndege ilibeba watalii

    Mbona kama ufafanuzi umekua mwingi, siku zote hua najisemea ukiona ufafanuzi umeanza kua mwingi ujue kuna kitu hakipo sawa === "Wananchi waelewe kuwa ndege ile sio mara ya kwanza kutua kwenye uwanja wa KIA, ilishatua huko nyuma, nilivyoona ile taarifa mitandaoni nilishanga sana kwa sababu hawa...
  7. Mkurugenzi wa Iramba na wenzake 6 Kizimbani kwa uhujumu uchumi

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Iramba mkoani Singida, Augustino Matomola na wenzake sita wamefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wakituhumiwa kwa uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya ofisi. Watuhumiwa hao...
  8. D

    Sakata la RC Malima na Mkurugenzi Mwanza halina tofauti na wale wauguzi kubishania vifaa tiba feki

    Kuna tuhuma nzito zimetangazwa na mkuu wa mkoa wa Mwanza RC Adam Malima ameonekana akimtuhumu Mkurugenzi wa jiji kuhusika na utapeli wa kuuza viwanja viwili vyenye thamani ya Bilioni moja! Hii ni taharuki na tuhuma nzito sana! Ukitafakali kwa kina jambo hili linaibua maswali mengi sana yasiyo...
  9. Mkurugenzi Jiji la Mwanza ashtakiwa TAMISEMI madai ya kuuza viwanja

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima 'amemshtaki' mkurugenzi wa jiji hilo, Sekiete Yahya kwa Wizara ya Tamisemi ambayo ndio mamlaka yake ya nidhamu, akimtuhumu kuhusika na uuzaji wa viwanja viwili vyenye thamani ya Sh1 bilioni. Wakati barua ya mashtaka ikitua Tamisemi, Malima ameagiza watumishi...
  10. Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu Mpya wa TISS, Said H. Masoro, na Mtazamo wangu

    Pengine huu ni mwanzo mpya wa mageuzi ya Idara ya Usalama wa Taifa. Mabadiliko haya ya uongozi yana maana kubwa sana kwa Idara yetu, ni matumaini yangu kwamba mabadiliko yatakwenda mbali zaidi kuguza muundo wa idara, mfumo wa idara, sheria na kanuni za idara ili kuendana na ulimwengu mpya wa...
  11. Kuuliza si ujinga: Hivi Diwani Athumani kashuka au kapanda?

    Wala hakuna tatizo lolote jamani, nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu, sijajua wapi ni juu? Je, sasa amepandishwa cheo au ameshushwa? Natanguliza shukrani.
  12. Ripoti IMF: Mwaka 2023 utakuwa mgumu zaidi Kiuchumi kuliko 2022

    Kwa sehemu kubwa ya uchumi wa dunia, 2023 utakuwa mwaka mgumu kwa kiuchumi. Hii inatokana na vichocheo vikuu vya ukuaji wa uchumi kimataifa yaani Marekani, Ulaya na China, zinakabiliwa na kudhoofu amesema mkuu wa shirika la kimataifa la fedha (IMF) Jumapili. Mwaka mpya utakuwa mgumu zaidi...
  13. Mtanzania Elizabeth M. Mrema ateuliwa kuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Mazingira - UN

    Katibu Mkuu wa UN, #AntónioGuterres amemteua Elizabeth Maruma Mrema kuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Mpango wa #UmojawaMataifa wa Mazingira (UNEP). Mrema anachukua nafasi ya Mtanzania mwingine, #JoyceMsuya aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu Msaidizi wa Masuala ya Binadamu na Naibu Mratibu wa...
  14. J

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Sheria TFF amaliza utata: Asema Fei Toto amekosea, mkataba hauvunjwi kienyeji vile

  15. Aliyekuwa Mkurugenzi wa PSSSF akutwa na kesi ya kujibu

    Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemkuta na kesi ya kujibu aliyekuwa Meneja wa Mfuko wa Pensheni kwa watumishi wa Umma (PSSSF), Rajabu Kinande na wenzake wanne. Mbali na Kinande washtakiwa wengine ni Ashura Kapera (37), Farida Mbonaheri (34), Mohamed Miraji (48) na Msafiri Raha ambapo wanakabiliwa...
  16. DOKEZO TRC, mtanitafuta kwa uchochezi au Mkurugenzi Mkuu Kadogosa utanishukuru mimi na JF? Treni imefungwa kwa waya!

    Ninavyofahamu kwenye usafiri wa mabasi kuna wakaguzi kama maofisa wa kitengo cha usalama barabarani. Sasa kwenu nyie shirika la reli TRC ya ndg Kadogosa sijui nani anawakagua mwanzo, katikati ya safari au mwisho. Pichani ni treni mnaita deluxe inayotoka Dar Es Salaam kwenda Arusha na hizo...
  17. Katavi: Mkurugenzi MUWASA asimamishwa kazi kwa kununua Pikipiki 30 kwa Tsh. Milioni 114

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeagizwa kumhoji Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Wilaya ya Mpanda, Hussein Nyemba kwa tuhuma za kukiuka Taratibu za Manunuzi ya Umma. Nyemba anadaiwa kununua Pikipiki 30 Jijini Dar es Salaam kwa Tsh. Milioni 3.8 kila moja huku...
  18. Mkurugenzi wa FBI asema wana wasiwasi na TikTok kuhusu usalama wa Marekani

    Mkurugenzi wa FBI, Chris Wray amesema mtandao wa kijamii wa China TikTok umeanza kuwatia "wasiwasi wa kuhusu usalama wa taifa la Marekani. Akizungumza katika hafla katika Chuo Kikuu cha Michigan, Wray alionesha wasiwasi kwamba Serikali ya China inaweza kutumia data zilizokusanywa kupitia TikTok...
  19. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Singida ashtakiwa kwa ubadhirifu, adaiwa kulipwa posho Tsh. Mil 7.5 baada ya kutenguliwa

    Zefrin Kimolo Lubuva ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Singida, ameshtakiwa kwa Matumizi Mabaya ya Ofisi na Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 7.25 Fedha hizo alilipwa kama posho za kujikimu kwa miezi 6 kuanzia Desemba 2021 hadi Juni 2022 wakati uteuzi wake ulitenguliwa na Rais...
  20. Mkurugenzi Tanesco: Jamii ielewe, sekta binafsi kuzalisha umeme sio tatizo. Adai ndio namna ya kufikia malengo

    Mkurugenzi wa Tanesco, Maharage Chande ameongelea mahitaji ya umeme miaka ijayo ambapo amesema mpaka 2035 angalau megawatt 80,000 zitahitajika akikadiria nchi itakuwa na watu milioni 70-80 kutoka milioni 61 iliyopo sasa ili watoto wanaokua wapate ajira kwenye viwanda na kinyume chake itakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…