Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,382
- 1,246
Wakulima na Washauri wa Kilimo,
Salaam!
Tukitaka kusonga mbele katika sekta hii ya kilimo inabidi tubadili utamaduni na mfumo mzima wa kilimo kwa kuwa kuendekeza njia za mapokeo imesababisha tuendelee kukwama.
Kimkakati mazao ya muda mrefu ni pamoja na avocado (Hass hivi sasa bei kwa kilogram ni tzs 1500 - 2300);
Korosho nazo ni nzuri hata ukikutana na challenge bado zitakulinda, changamoto pekee inatokana na bodi kutokuwa madhubuti lkn fedha zipo nje nje;
Kahawa ni zao lingine ambalo limewainua wakulima wengi, ingawa kama ilivyo kwa #2 hata hii ni nzuri. Sasa kinachotakiwa ni uwekezaji wa muda na fedha;
Matunda kwa ujumla kulingana na jiografia ya eneo hisika i.e machungwa, chenza, limao, ndimu, ni mazao ambayo hayatakutupa;
Tulime kwa malengo tuinue vipato vyetu.