mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu kwa huyu anayedate na mke wa mtu kiasi mpaka anasahau kusaidia familia yake

    Habari wakuu Nina rafiki yangu mmoja sio tu rafiki bali pia amekuwa kama ndugu yangu jamaa anadate na mke wa mtu Tena anakaa nae mtaa mmoja na mine wake ya huyo manzi anamjua, kibaya zaidi ameenda mbali anamgharamia kila kitu na anajua kabisa ni mke wa mtu na hapa anampango wa kumpangishia...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Makosa ya miaka mitano ya Hayati Magufuli yanasahihishwa sasa. Hongera CHADEMA kwa kuongoza hili kwa ufundi mkubwa

    Kumekuwa na mijadala mikubwa ikiendelea nchini sasa kuhusu yale yanayoitwa maridhiano ya kisiasa. Kimsingi ni maridhiano kati ya chama tawala na vyama vya upinzani. Lakini haikupaswa kuwa hivyo tu, wapo watu binafsi, mashirika na makampuni binafsi na hata baadhi ya nchi ambazo kipindi cha...
  3. JamiiForums Tanzania Haya anayofanya Freeman Mbowe ni unafiki mkubwa kuwahi kutokea. Angefanya Zitto Kabwe wa ACT moto ungewaka

    Kwakweli nimechoka na siasa za bongo. Miezi michache iliyopita Zitto Kabwe alikuwa anashambuliwa Kila Kona kwa sababu ya ruzuku. Wakamwita msaliti na matusi chungu nzima. Leo Chadema chini ya Freeman Mbowe wamechukua ruzuku na wamekausha kimyaaa. Unafiki! Miezi michache iliyopita...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: CHADEMA kuandaa mkutano mkubwa wa hadhara kwa ajili ya kutangaza msamaha kwa Mdee na wenzake

    Kuna tetesi kwamba Chadema wameamua kuweka "silaha chini", na muda si mrefu watatangaza msamaha kwa Mdee na wenzake. Mkutano mkubwa wa hadhara unapangwa ili kutangaza msamaha huo kwa msingi huohuo wa maridhiano, na wao wajikoshe kwamba hata kwao Kuna wema (charity begins at home). Itakumbukwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo na ...

    Wanabodi, Hii ni Makala ya Nipashe ya Leo. Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo, kuna wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume, ila wamekuwa wanabaniwa, na wanafunikwa na mfumo dume, wakipewa fursa za...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mkubwa yupi anaendesha bodaboda? CCM acheni hadaa

    Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine. Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda? Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda? Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
  7. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Nigeria 2023. Bola Tinubu atangazwa mshindi, upinzani wakacha kuhudhuria sherehe za utangazaji matokeo

    Wajuzi wa masuala ya kimataifa. Nigeria wanachagua Rais tarehe 25 mwezi huu wa pili. Nini kinaendelea huko? Nani anauwezekano mkubwa wa kushinda? ======= Siku ya Jumamosi, tarehe 25 Februari 2023, nchi yenye watu wengi zaidi barani Afrika itapiga kura kumchagua rais wao ajaye, Makamu wa Rais...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Magufuli kilileta udumavu mkubwa wa kifikra ambao ni hatari kwa Taifa. Watanzania tubadilike

    Habari JF, Inasikitisha sana kwa sana kuona Watanzania tumegawanyika na huu mgawanyiko umekaa kishabiki kiasi kwamba hata wale waliokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri huo uwezo haupo tena. Kwa sasa ni dhahiri tumegawanyika makundi matatu kama ifuatavyo: 1. Wafuasi wa Awamu ya Tano (JPM), hawa...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa Wakenya wanatamani utokee muungano kati ya Kenya na Tanzania ila wanashindwa kusema

    Hivi karibuni, Kenya wameonekana wakiimega Tanzania kutoka bara la Afrika na kuanzisha bara jipya ambalo linahusisha Kenya na Tanzania. Taarifa nyingi zinaonesha matamanio makubwa ya Kenya kuwa sehemu ya Tanzania. Je, muungano wa Kenya na Tanzania ni jambo linalowezekana? Wacha muda uongee.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nchi iko kwenye mikono salama, Jeshi la Wananchi limeleta utulivu mkubwa baada ya mtikisiko uliotokea Jumamosi

    Pongezi nyingi ziende kwa wapambanaji wote kuanzia mashabiki, viongozi, benchi la ufundi na wanachama wote wa Dar es Salaam Young Africans kwa ushirikiano mkubwa wa kuisapoti timu yao. Walistahili ushindi kwakuwa wameupiga mwingi mpaka ukamwagika, Master Nabi ni bingwa wa kumsoma mpinzani na...
  11. JamiiForums Tanzania Adui mkubwa wa Simba ni mganga wao, aliwaaminisha ameshamaliza kazi muongo mkubwa sana huyo sangoma! Nitamtaja!!!

    Simba timu yangu msipoacha uchawi hakika mtazidi kupata aibu ! Tabia yenu ya kumtegemea huyo sangoma wa kike hapo klabuni niyakipumbavu sana ! Mbaya zaidi mnampa na pesa kabisa awasaidie kuloga mechi hayo mambo niyakipuuzi sana na hamtafanikiwa kamwe!! Aliwaaminisha wachezaji ameshamaliza kazi...
  12. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa tunanunua simu na laptop zenye uwezo mkubwa na pesa kubwa wakati matumizi yake ni madogo

    Ili jambo watanzania tunajikuta tunapoteza sana pesa kwa kununua kitu chenye uwezo mkubwa kuliko matumizi.yani mtu ana nunua laptop yenye uwezo wakufanya kazi za production,game na injinia alafu yeye anaenda kutumia kwa ajili ya kuandikia barua na kazi za ofisi. Tuje kwenye simu huku ndio...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya kichina “The Knockout” yajizolea umaarufu mkubwa wakati China ikiendelea na vita dhidi ya ufisadi bila kusita

    Siku hizi, tamthilia ya kichina “The Knockout” inayosimulia vita kati ya uovu na uadilifu imendelea kupata umaarufu mkubwa, na hadi sasa idadi ya watazamaji wa tamthilia hiyo katika China bara pekee imezidi milioni 320. Utayarishaji bora na ustadi mkubwa wa waigizaji ndio sababu zinazofanya...
  14. JamiiForums Tanzania SportPesa yaonyesha uwezekano wa Yanga kufungwa na US Monastir ni mkubwa

    Wadhamini wa Yanga hawana imani na timu yao
  15. JamiiForums Tanzania Mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya bil 17.5 wasainiwa jijini mbeya, barabara ya njia nne kuanza kujengwa upesi

    Katika harakati za Mh.rais Samia za kumtua mama ndoo kichwani, leo mradi mkubwa wa maji utakao maliza kabisa tatizo la maji jijini mbeya na viunga vyake umesainiwa mbele ya waziri wa maji Mh.Jumaa aweso huku mbunge wa jimbo hilo Dr. Tulia akidokeza kuwa ujenzi wa barabara ya njia nne kuanza...
  16. JamiiForums Tanzania Vurugu za London za mwaka 2011 zinaweza kuwa za msaada mkubwa kwa tume ya haki jinai

    https://theconversation.com/the-london-riots-ten-years-on-how-a-crackdown-on-protest-became-their-main-legacy-165048
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuhitaji gari lake aliloshambuliwa nalo hapa kuna mtego mkubwa na hesabu kali inachezwa

    Haya Majiniasi (Akili Kubwa) wa JamiiForums hebu njooni mtupe Ujiniasi wenu katika hili Sisi Mangumbaru (Akili Ndogo) kwani wenye Akili Kubwa wanadai katika hili kuna mahala Tundu Lissu Kawatega lakini pia kuna Hesabu Kali mno inachezwa hapa ambayo ikikosewa tu Mzanzibari atadharaulika na hatoamini.
  18. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wanauelewa mkubwa wa mambo kuliko wanaume kiufupi mi nawaita akili kubwa

    Wanawake ila sio wote maana wanawake wengine akili zao wanazijuaga wenyewe mimi na uanaume wangu wote nikili tu vitu vingi vya tech nimeelekezwa na mwanamke wangu huyu mfano jambo dogo tu ilikua mwaka 2015 nimenunua simu mpya sasa nataka niingie play store nipakue vitu ninavyo vitaka niseme...
  19. JamiiForums Tanzania Ujasiriamali unahitaji uvumilivu mkubwa

    Wapo watu wengi, wanatamani kuwa wajasiriamali; wamiliki biashara zao, kampuni, kiwanda n.k Na wengi wetu huwa tunalenga kupata faida kwa haraka haraka, na inapotokea ukapata faida kidogo, baada ya kuondoa gharama za uendeshaji, ndipo changamoto za biashara uanza; unakuta umewekeza mtaji labda...
  20. JamiiForums Tanzania Chama cha CUF wananchi wilaya ya Kinondoni kufanya mkutano mkubwa wa hadhara Magomeni Februari 2, 2023

    CuF- chama cha wananchi wilaya ya kinondini Mkutano mkuu wa hadhara Viongozi wakuu wa chama watakuwepo wakiongozwa na bingwa wa uchumi dunia prof.Lipumba. Usipange kukosa njoo tuisimamishe kinondoni, njoo tuijaze magomeni. #ChamaMakini #ViongoziMakini
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…