mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uwezekano wa Polepole kubadilishiwa majukumu na kutorejea Cuba ni mkubwa

    Huenda ndugu Polepole atabadilishiwa majukumu hivi karibuni. Na huenda asirejee kule Cuba kama Ambassador wetu huko, bali kuaga na kukabidhi ofisi. Mda ni Mwalimu.
  2. R

    JamiiForums Tanzania ALBERT EINSTEIN: Haya yanatokana au yana uhusiano mkubwa kutokana na theories zake za Special and General Relativity na Photoelectric Effect

    Kwa kutumia penseli, karatasi na kufikiri kusikomithirika (power of thinking), aliweza kuifanya dunia kuwa kama ilivyo sasa kwa kiwango kikubwa, may be by 90% or so! . Hakuwahi kuingia kwenye maabara kama za kisasa, bali kufikiri (power of thinking) na kufanya "practicals" kichwani (theoretical...
  3. JamiiForums Tanzania Wajue viongozi wenye ulinzi mkali zaidi, mkubwa na wa masala 24 duniani

    (Kwa hisani ya Shirika la Utangaji la Uingereza - BBC) Viongozi wote walio madarakani kuongoza nchi zao,taasisi na mashirika mbali mbali ya kiserikali hupewa ulinzi . Hata hivyo inafahamika kwamba marais na wakuu wa serikali ndio kitengo cha watu wanaopewa ulinzi wa juu kabisa kuliko wote ...
  4. JamiiForums Tanzania Dar: Moto mkubwa wazuka Mbezi Tangi Bovu

    Kuna moto mkubwa pale Mbezi kwa Komba. --- Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umezuka katika eneo la wafanyabiashara wa samani, lililopo Tangi Bovu-Kwa Komba, mkoani Dar es Salaam, huku ikidaiwa kuwa moto huo umeanza majira ya saa nne usiku ambapo uliendelea kuteketeza mali katika eneo...
  5. JamiiForums Tanzania Bilionea Wilfred Tarimo Apewa tuzo ya mlipa Kodi mkubwa

    Wilfred Lucas Tarimo siyo jina geni kwa watu wa kaskazini hasa mkoa wa Kilimanjaro na Arusha kutokana na baba yao mzazi mzee Lucas Tarimo[Marehemu] kuwa na utajiri kumkaribia Reginald Mengi. Mtoto wa Mzee Lukas Tarimo aitwaye a Wilfred Lucas Tarimo ambaye sasa ni mmiliki wa Snow Crest lakini...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kipindi unafurahia kulipwa mshahara mkubwa wakuanzia mil 3-5, basi tambua kuna watu nchi hii wanalipwa mpaka mil 13-27 private sector

    Hakika kuna watu wanalipwa aisee, sisi tuendelee kupambana. Nimeona salary slip ya Jamaa yangu nimejiona mie bado kabisa.
  7. JamiiForums Tanzania Binadamu Mwenye Umri Mkubwa Kuliko Binadamu Wote Duniani ni Kane Tanaka, Mjapani Ana Umri wa Miaka 121, Atoa Siri ya Kuishi Umri Mkubwa

    Wanabodi This is C&P kutoka mtandao wa Quora. Story Time The Oldest Woman in the World Breaks Her Silence Before Her Death and Reveals Her Secret 2 years ago A video of a monk who was rumored to be 163 years old went viral a few days ago leaving people startled as a result some internet users...
  8. JamiiForums Tanzania Mnashangaa nini leo kuona CCM kumevurugika? Mimi si niliandika uzi hapa JF kuelezea mpasuko CCM mkanipuuza?

    Mkiambiwa kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu katuumba na Tunu / Shani Kuu ya Kimaono na Upeo msiwe mnatubishia au mnapinga. Kwa taarifa nilizonazo na nilizozipata Kitambo tu mnachokiona sasa it is just a tip of an iceberg ndani ya Bahari Nyeusi na yenye Kina Kirefu na makubwa yanakuja. Kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Taarifa za Kijasusi: Hamas bingwa wa mabingwa. Hivi karibuni kutatangazwa ushindi mkubwa kwa Wapalestina

    Sote tukae mkao wa kusubiri halwa ya sinia za harusini iliyopikwa ikapikika na Gidemi. Wengi wakazi wa jiji la Dar, wa zamani wenzangu, nikiitaja halwa ya Gidemi ya sinia wanaielewa utamu wake. Kwanza ilikuwa ikifika masinia yale wakati wa kugawanywa, kila mmoja anakodoa macho isije ikawahiwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamama mateka wa Kiisrael mateka wa Hamas, aandika barua kuwashukuru Hamas kwa wema wao na asema anatarajia urafiki wao utaendelea

    Katika hali ya kustaajabisha, mateka wanaohojiwa wamekuwa wakiwashukuru Hamas kwa junsi walivyokuwa wakiwatreat vizuri. Hali hii imepelekea mamlaka za Israel kuwapiga biti mateka kuwa wakae kimya kuhusu jambo hilo la sivyo watanyamazishwa. Alianza bibi mmoja mzee wa Kiyahudi akielezea jinsi...
  11. JamiiForums Tanzania TANESCO ni adui Mkubwa wa uwekezaji sekta Binafsi

    Hi Great thinkers. Kati ya Tasisi amabazo zinaitesa sekta binasfi ni TANESCO. Mi nafikiri wanatia fora kwa sasa. Ule ukiritimba wa TRA na BRELA wakasome, kwa sasa sekta binafsi zinateseka sana na mgawo wa umeme. Kiasi amabcho inakatisha tamaa hata kumvutia mwekezaji mpya. Magufuli alipokuja...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kuicheka Simba SC kutoka Sare na Kutoishangaa Wydad FC Bingwa Mtetezi kufungwa ni Uwendawazimu mkubwa

    Tafadhali naomba niwekewe hapa Jedwali la matokeo ya Mechi za Kwanza za Makundi ya Simba na Yanga ili nijue nani ni Mwanaume hasa na nani ni Mwanamke ( wa Kikeni ) hasa katika Mchezo wa Mpira wa Miguu.
  13. JamiiForums Tanzania Wananchi kuteleza sio kuanguka mnao uwezo mkubwa wa kubadili mambo, belouzdad wamewaamsha rasmi!

    Naweza kusema kwenye mpira uwa Kuna siku mbaya kazini Kila kitu kinaweza kwenda tofauti na mipangilio ya siku zote, na Jana yanga walikuwa na siku mbaya kazini! Timu ili icheze vizuri inatakiwa Kila mchezaji awe timamu kimwili na kiakili na Kila mchezaji atimize majukumu yake ipasavyo lakini kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Dharura! Kuna mlipuko mkubwa wa wadada kuota sharubu ma ndevu

    Kumetokea mlipuko wa ghafla sana wa wanawake kuota sharubu kwenye mashavu na ndevu jijini Dar. Hali hii tuliizoea kwa wamama waliosogea umri, hasa 50’s na kuendela. Ila sasa inatokea kwa wadada wadogo tu. Wizara ya afya, mmeanza kuchanganyia wadada homoni za testerone kwenye vidonge vya uzazi...
  15. JamiiForums Tanzania Wapalestina wamepata ushindi mkubwa vita ya Ghaza mpaka sasa. Nini kimepelekea ushindi wao huo?

    Mazayuni wamekubali masharti yote ya kusitisha mapigano yaliyowekwa na Hamas kinyume ma matakwa yao. Hivi sasa mapigano yamesimamishwa rasmi huko Ghaza. Jana niliandika hivi: - Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Makonda ni mhalifu mkubwa sana hapa Tanzania

    Ameongeza kwa kusema " kwa nchi zenye kufuatia utawala wa sheria Makonda alipaswa kuwa jela".
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ruzuku na pesa wanazopata ACT Wazalendo nilitegemea hawa wanachama wao walio na umasikini mkubwa wajengewe nyumba

    Huu ni umasikini uliokithiri
  18. JamiiForums Tanzania Mameneja watatu ila personality ya Diamond Platnumz inashuka siku hadi siku

    Huyu jamaa ana mameneja watatu ila naona kwenye suala la personality wameshindwa kumshauri kabisa. Kwa muonekano wa mondi wa sasa ni either kajiingiza kwenye drugs au mambo ya kigasho..muda utasema tu. Diamond wa leo karudi kwenye usela ule wa black Americans wa miaka ya 90 kuvaa manguo makubwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mkubwa siku zote hubaki mkubwa, mashindano ya Yuan, Ruble kuipokonya soko Dollar ya marekeni kiko wapi?

    Mashabiki wa Putini na China, vipi kuhusu Ruble na Yuan zimefikia wapi sokoni? Vipi, Dollar imeanguka? Mzungu atabaki mzungu tu! Nimekuwa nikijiuliza, siku Marekani aache kabisa kutoa misaada yoyote duniani awe kama nchi zingine, kila kitu afanye kwake tu! Sjui china na Urusi watafanya...
  20. JamiiForums Tanzania Kishindo kikubwa Houston Marekani

    Baadhi ya wakazi wa Houston alfajiri ya leo 9/11.2023 wametaharuki kwa kuamshwa na kishindo kikubwa kilichofatiwa na moshi mkubwa kilichotokea kwenye kiwanda kimoja cha makemikali. Kishindo na moshi kilisikika na kuonekana karibia Houston yote. Haijajulikana kishindo hicho kimeababbishwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…