mkopo

  1. Profesa Ndalichako aagiza uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuwachukulia hatua viongozi wa serikali ya wanafunzi

    Mama hafahamu mwenye njaa haogopi kufa, kwani hata njaa itamuua. Kuna muda nawaza hawa watu wamesomeshwa na mission nini? Hawajui njaa kabisa. Tuliopitia huu msoto kipindi kile tunaelewa. ===== Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameuagiza uongozi wa Chuo Kikuu...
  2. IMF yaidhinisha mkopo wa dola milioni 368 kuisaidia DRC

    IMF imeidhinisha mkopo wa Dola milioni 368.4 kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ili kuwezesha nchi hiyo kukidhi mahitaji ya haraka. Shirika la fedha duniani IMF limeidhinisha mkopo wa Dola milioni 368.4 kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ili kuwezesha nchi hiyo kukidhi mahitaji ya...
  3. Trump aitaka Benki ya Dunia kuacha kuipa mkopo China, adai ina hela nyingi na kama haina inazitengeneza

    Rais wa Marekani Bwana Trump ameitaka Benki ya Dunia kusitisha kuipa mikopo China kwa sababu China ina pesa nyingi ambazo inakopesha nchi nyingine, iweje China anakopesha wengine kupitia mradi wake wa Road lnitiative halafu iseme haina hela iende kukopa Benki ya Dunia?
  4. H

    Fedha ya mkopo kwa wanafunzi hucheleweshwa katika baadhi ya vyuo (Mfano IFM)

    Nimefuatilia na kupata kufahamu kuwa baadhi ya taasisi kwa elimu ya juu bado wanafanya michezo mibaya kwa fedha ya kujikimu ya wanafunzi. Wako watumishi wa hizo taasisi sio waaminifu na wanachelewesha kwa makusudi kabisa kutoa hizi fedha kwa wanafunzi kwa sababu wanazojua wenyewe. Hizi fedha...
  5. Tusichotambua wengi wetu ni kwamba pesa za mkopo inazokopa Serikali kwa ajili ya miradi mbalimbali ni pesa zetu

    Wengi wetu tumekuwa mabingwa wa kukejeli pale ambapo Serikali inapokopa pesa kwenye mabenki mbalimbali eti si pesa yetu ya ndani bali ni mkopo jambo ambalo si kweli! Ukweli ni kwamba pesa inayokopwa na Serikali hurejeshwa kwa wale waliotukopesha kwa makusanyo yetu ya kodi kwa makubaliano ya...
  6. Naomba Muongozo wa kuandaa barua ya kukata rufaa kwa waliokosa mkopo

    Naomba mnisaidie Kichwa cha Habari kinachofaa kuandika kwenye barua ya rufaa kwa waliokosa mkopo. Msaada tafadhali
  7. Wanafunzi wanaoendelea na masomo walioomba mkopo

    Habari, Nilikua naomba kuuliza, hivi ni lazima kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo ambao wameomba mkopo kupeleka majina yao chuo ili waweze kutumiwa matokeo yao bodi ya mkopo? Na kama mtu hajatuma matokeo yake anaweza kupata huo mkopo?
  8. T

    Naingia mwaka wa pili sijapata mkopo

    Naombeni mnieleweshe mimi naingia Second Year kozi ya Education lakini sijapata mkopo baada ya kukosa First Year nikaomba tena lakini mpaka awamu mbili zimetoka sijapata. Je, sisi tunaondelea majina yetu yatatumwa vyuoni au ndio tayari tumeshakosa naombeni mnieleweshe?
  9. Msaada kwa anayejua kuhusu Third Batch ya mkopo wa HESLB

    Jamani kwa anaejua labda, kama kuna Third Batch ya mikopo kutoka HESLB maana naona hakuna taarifa yoyote. Kama unajua lolote naomba tujuzane inatoka lini?
  10. Mkopo sio zawadi, 1st lazima mjue hilo

    Naamini muwazima wa afya, awali ya yote niwapongeze wote mliobahatika kupata mkopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB). Hiyo ni haki yenu kwani vigezo na sifa za kupata mkopo umevitimiza. Pia poleni kwa wote ambao hamjapata mkopo, pia nanyi vingezo na sifa naamini mnavyo...
  11. Hili la Wakorea kutoa 400,000/-Tshs kwa kila wanandoa Mitaani vipi?

    Wikiendi hii nimerudi Bongo na nimekuja kutembelea Uswahilini kwetu huku Mtaa wa Azimio, Kigogo Luhanga nimepata habari zenye Kiulizo inabidi niulize Wanajamvi humu ndani. Serikali ya Mtaa ya huku Mtaani imekuwa ikiandikisha wakazi wa hapa ( Wanandoa)/ (Wenza wanaoishi pamoja) na kuwapiga Picha...
  12. Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

    RAIS John Magufuli amesema sababu kubwa ya kusitishwa kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni masharti magumu yaliyomo katika mkataba wa utekelezaji wa kazi hiyo. Jiwe la msingi la ujenzi wa bandari hiyo liliwekwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete mwaka 2015 na ulitarajiwa kugharimu dola za Marekani...
  13. Nimechukua mkopo benki, naomba ushauri katika namna niliyopanga kuutumia

    Habari zenu Nimekopa shilingi milion 30 bank CRDB. Nahitaji kununua gari mojawapo katika hizi IST, ALEX, RACTIS, CARINA na pesa itayobaki nikamalizie mjengo wangu chanika (15MIL) na ibaki pesa kidogo ya kula bata. Je, mpango wangu unafaa? Naomba ushauri wadau NB: Nimechagua hizo gari kwa...
  14. R

    SOFTWARE Micro-finance software (mikopo/saccoss)

    Codelab Technologies Call us (0768 108 131) Micro-finance Software ni software kwajili ya makampuni ya kukopesha (micro-credit/micro-finance companies) software hii itaiwezesha kufanya yafuatayo kwa manufaa ya kampuni yako, 1. kuhifadhi taarifa za wateja, 2. Kurekodi taarifa za malipo ya...
  15. Kwanini mashamba ya Miti hayana fulsa kwenye dhamana ya mkopo?

    Naomba msaada, Kama kuna mdau ameshawahi kupata mkopo kupitia dhamana ya shamba la miti anipe maelekezo ya vigezo vya kuzingatiwa. Asante.
  16. Sasa unaweza kopa hadi shilingi milioni moja za kitanzania kupitia simu yako janja ya mkononi

    Sasa unaweza kopa hadi shilingi milioni moja za kitanzania kupitia simu yako janja ya mkononi na kurejesha kidogokidogo mahali popote na wakati wowote. Ili kupata mkopo inabidi uwe na vitu vifuatavyo:- (a)uwe na kitambulisho, eidha cha kupigia kura, cha taifa au leseni ya udereva. (b)laini ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…