Naingia mwaka wa pili sijapata mkopo

Tprecious

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
224
296
Naombeni mnieleweshe mimi naingia Second Year kozi ya Education lakini sijapata mkopo baada ya kukosa First Year nikaomba tena lakini mpaka awamu mbili zimetoka sijapata.

Je, sisi tunaondelea majina yetu yatatumwa vyuoni au ndio tayari tumeshakosa naombeni mnieleweshe?
 
Pole sana,nakumbuka na mimi ilikua hivyo hivyo
Nlivuta subira sana nikaja kupata batch 6 Januari mwanzoni..Majina hua yanatumwa moja kwa moja chuo but usichoke kufuatilia maana kuna muda mpaka upush kidogo mara nyingine ukiwafuata ofisini kwao kama umekosa watakwambia kwanini umekosa.
Naombeni mnieleweshe mimi naingia Second Year kozi ya Education lakini sijapata mkopo baada ya kukosa First Year nikaomba tena lakini mpaka awamu mbili zimetoka sijapata.

Je, sisi tunaondelea majina yetu yatatumwa vyuoni au ndio tayari tumeshakosa naombeni mnieleweshe?
 
Acha Chuo mapema usipoteze muda wako utaujutia sana. Ajira hakuna tena kwenye hiyo kozi. Bora uanze kujiajiri mapema
Unapataje ujasiri wa kumshauri mwenzio asikate ticket wakati yupo safarini, si vyema muache akomae amalize apate ticket yake. akirudi kitaa atumie elimu yake kujiajiri, na kwakua yupo safarin na ticket anayo isipokua bus lake halijawasil tayar kwa safar, basi muda wowote likifika atakua tayar kwa safar.
 
Back
Top Bottom