Kwanini mashamba ya Miti hayana fulsa kwenye dhamana ya mkopo?

pelezicr

Member
Jun 30, 2016
28
17
Naomba msaada,

Kama kuna mdau ameshawahi kupata mkopo kupitia dhamana ya shamba la miti anipe maelekezo ya vigezo vya kuzingatiwa.

Asante.
20160512_122518.jpg
 
Wale majamaa wa fursa si waliwaambia munaweza kupata mkopo,au sasa wamekimbia.Ikumbukwe kuwa benki/taasisi za fedha zina masharti kabla hawajakupatia mkopo,kuwa na shamba LA miti pekee si kigezo cha wao kukuamini.Je wakikupa fedha watapataje rejesho lao LA kila mwezi?au mpaka uvune mbao zako?Hivyo lazima tutambue kuwa uwekezaji wa miti ni lazima uendane na kujituma kwenye shughuli zingine za kukuingizia kipato ili uweze kujihudumia wewe pamoja na shamba.
 
shamba ni ka dhamana tu endapo utashindwa kurudisha ial wao wanategemea kupata ada ya mkopo, makato ya mwezi pia bima ya mkopo kwa kipindi flani kulingana na makubaliano na kiwango chako cha mkopo, ila wanataka kujua unachanzo cha kipato ambacho ni chauhakika kuweza kurudisha hayo makato ya mwezi? ka huna hawawezi kupatia pesa yao
 
Back
Top Bottom