Naomba Muongozo wa kuandaa barua ya kukata rufaa kwa waliokosa mkopo

karare

Member
Jun 4, 2019
31
95
Naomba mnisaidie Kichwa cha Habari kinachofaa kuandika kwenye barua ya rufaa kwa waliokosa mkopo.

Msaada tafadhali

Link ya Appel iliwekwa mwanzoni kabisa baadae ikatolewa kwa wote. Ili u appeal ni lazima u-Logout na ingia tena kwenye page ya OLAS halafu utaona kuna Login as a registered user. Utaiacha utaenda walipo andika Appeal (New) utajaza namba yako ya Form Four uta Create Appel Account
 
karare

Member
Jun 4, 2019
31
95
chuoni tumeambiwa tuandike barua kwa sisi ambao acount zetu hazina link ya kuapeal online,, ndo wamesema heslb wametoa mwongozo huo
 
BENNICK

JF-Expert Member
May 2, 2013
555
1,000
chuoni tumeambiwa tuandike barua kwa sisi ambao acount zetu hazina link ya kuapeal online,, ndo wamesema heslb wametoa mwongozo huo
Link ya Appel iliwekwa mwanzoni kabisa baadae ikatolewa kwa wote. Ili u appeal ni lazima u-Logout na ingia tena kwenye page ya OLAS halafu utaona kuna Login as a registered user. Utaiacha utaenda walipo andika Appeal (New) utajaza namba yako ya Form Four uta Create Appel Account
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom