SOFTWARE Micro-finance software (mikopo/saccoss)

roywily

Member
Oct 18, 2014
34
7
Codelab Technologies Call us (0768 108 131)
Micro-finance Software ni
software kwajili ya makampuni ya kukopesha (micro-credit/micro-finance companies) software hii itaiwezesha kufanya yafuatayo kwa manufaa ya kampuni yako,
1. kuhifadhi taarifa za wateja,
2. Kurekodi taarifa za malipo ya wateja kwa awamu,
3. kujua siku za malipo za wateja wako kwa haraka zaid,
4. kupata taarifa za kihasibu (Trial balance, Balance Sheet, PNL).
5. Kupata report mbali mbali za wateja, mikopo na mwenendo wa kampuni
6.Kuhifadhi deposits za wateja.
microcredit.png

loan.JPG
.
 
.
Codelab Technologies Call us (0768 108 131)
Micro-finance Software ni
software kwajili ya makampuni ya kukopesha (micro-credit/micro-finance companies) software hii itaiwezesha kufanya yafuatayo kwa manufaa ya kampuni yako,
1. kuhifadhi taarifa za wateja,
2. Kurekodi taarifa za malipo ya wateja kwa awamu,
3. kujua siku za malipo za wateja wako kwa haraka zaid,
4. kupata taarifa za kihasibu (Trial balance, Balance Sheet, PNL).
5. Kupata report mbali mbali za wateja, mikopo na mwenendo wa kampuni
6.Kuhifadhi deposits za wateja.View attachment 955799

View attachment 955801
login1.JPG

1547490363757.png

mobile view
 
Sikukatishi Tamaa ila bado upo nyuma sana!! Saccos software sio kitu raisi na isitoshe toka mwaka juzi uruhusiwi uza software kwa saccos bila kupata kibali cha mrajis wa vyama vya ushirika Dodoma. https://www.ushirika.go.tz/
Software yako ina miss
1.member share management
2.Loan product creation
3.Classification of loans
4.customized reports as per Tanzania saccos regulations
5.Loan guarantees information
6.Saccos member information and KYC
hayo ni bahadhi ya mambo ambayo saccos na microfinance za Tanzania wanazihitaji
kuna majamaaa wali invest $2M kununua software waje waziuzie mfi na saccos za hapa Tanzania huu ni mwaka wa 8 na kitu aijawalipa
 
SO unachomwambia ni nini hasa?kwamba system yake haifai au hatauza ama?
 
Codelab Technologies Call us (0768 108 131)
Micro-finance Software ni
software kwajili ya makampuni ya kukopesha (micro-credit/micro-finance companies) software hii itaiwezesha kufanya yafuatayo kwa manufaa ya kampuni yako,
1. kuhifadhi taarifa za wateja,
2. Kurekodi taarifa za malipo ya wateja kwa awamu,
3. kujua siku za malipo za wateja wako kwa haraka zaid,
4. kupata taarifa za kihasibu (Trial balance, Balance Sheet, PNL).
5. Kupata report mbali mbali za wateja, mikopo na mwenendo wa kampuni
6.Kuhifadhi deposits za wateja.View attachment 955799

View attachment 955801
mkuu hii ni hosted au non hosted:una deploy kwe web au local?unaweza access remotely?
 
Sikukatishi Tamaa ila bado upo nyuma sana!! Saccos software sio kitu raisi na isitoshe toka mwaka juzi uruhusiwi uza software kwa saccos bila kupata kibali cha mrajis wa vyama vya ushirika Dodoma. https://www.ushirika.go.tz/
Software yako ina miss
1.member share management
2.Loan product creation
3.Classification of loans
4.customized reports as per Tanzania saccos regulations
5.Loan guarantees information
6.Saccos member information and KYC
hayo ni bahadhi ya mambo ambayo saccos na microfinance za Tanzania wanazihitaji
kuna majamaaa wali invest $2M kununua software waje waziuzie mfi na saccos za hapa Tanzania huu ni mwaka wa 8 na kitu aijawalipa
Hii software so far nmeanza na microfinance companies.. thus y umeona hivyo.. incase nikipata mjeta wa saccos will customize the way anatakam
There is nothing impossible in software development what we need z time n user requirement, then we automate your idea to software

So far wateja wanatumia n they are happy with..
Incase u need tuwasiliane
 
newReceiptWeekly.JPG

Receipts Update..
Hii inaonyesha risit zote ambazo zimekua posted. Utaona kwa haraka na kuweza kujua kinachoendelea ofisi..
 
Back
Top Bottom