Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,280
Kwakeli wale waliochelewa kujiunga na elimu ya juu wanaulipa mpaka miaka ya kukaribia kustaafu. Infewezekana kusamehe wa miaka 50+ iliwaanze kujiandaa na maisha ya kustaafu.
Kuna wana aga dunia wakiacha deni Hilo. Kwakua uchumiwa nchi zinazoendelea bado ni mchanga kusamehe deni ni ndoto.
Mikopo hukatisha ndoto za wengi kujiunga na elimu na tunakosa wataalamu wapya. Familia za TASAFU zingepewa bursary. Bursary ni pesa isiyo na malipo.
Mikopo isamehewe kwa 50+ au bursary itolewe kwa familia zenye maisha ya chini kabisa?