Nauza bajaj niliyoichukua kwa mkopo, atakayeitaka atatakiwa kurudisha rejesho

Mp4real

Senior Member
Oct 20, 2013
141
144
Nilikopa bajaj TVS KING TUKTUK mpya kwa kampuni flani ila nilitanguliza Tsh 1m kama dhamana, imetembea km 300 tu na ina bima ndogo, ina fire extinguisher, Latra na triangle zake ikiipata ni road tu.

Rejesho ni 139,400 kwa wiki nimesharejesha mwezi kama na kitu. Kwa anaehitaji hii bajaj na deni lake ili akimaliza deni iwe yake aje pm mi nahitaji laki 8 tu kati ya milioni niliyotanguliza,kisha namkabidhi.

Karibuni na picha hizi hapa;

IMG_20230131_074219_041.jpg

Nilikopa bajaj TVS KING TUKTUK mpya kwa kampuni flani ila nilitanguliza Tsh 1m kama dhamana,imetembea km 300 tu na ina bima ndogo,ina fire extinguisher,latra na triangle zake ikiipata ni road tu.

Rejesho ni 139400 kwa wiki nimesharejesha mwezi kama na kitu. Kwa anaehitaji hii bajaj na deni lake ili akimaliza deni iwe yake aje pm mi nahitaji laki 8 tu kati ya milioni niliyotanguliza,kisha namkabidhi.karibuni na picha hizi hapa;

View attachment 2555226
Uko mkoa upi ndugu?

Eleza kwa kina je makubaliano yatafanyika vipi kuhamisha deni?
 
Siyo kwa riba hiyo.

Hii ni sawa na wale jamaa BAYPORT.

Sema tu BAYPORT unapewa Pesa ila kwa hawa jamaa unapewa chombo. Ila model ya unyonyaji kwa watu maskini bila huruma ni ileile. Mungu atunusuru na huu unyonyaji kwa sababu ya umaskini wetu sisi wabongo!
 
Ni hatari sana; hizi hesabu ni ngumu
Rejesho kwa wiki 139,400 kwa muda miezi 24

Kimahesabu: 139,400 X 4 = 557,600/- kwa mwezi

557,600 x 12 = 6,691,200/- kwa mwaka

6,691,200 x 2 = 13,382,400/- kwa miaka miwili

Ili urudishe huu mkopo wa namna hii unahitaji ''discipline'' ya hali ya juu.
 
Wabongo tunanyonywa sana kutokana na umaskini wetu. Wenye mamlaka nao wapo kimya kama hawaoni..
 
Siyo kwa riba hiyo.

Hii ni sawa na wale jamaa BAYPORT.

Sema tu BAYPORT unapewa Pesa ila kwa hawa jamaa unapewa chombo. Ila model ya unyonyaji kwa watu maskini bila huruma ni ileile. Mungu atunusuru na huu unyonyaji kwa sababu ya umaskini wetu sisi wabongo!
Dah jamaa hatakiwi kulala kwa miaka miwili Ni balaa 9.5 above.
Hakika dunia sio fair
 
Ni hatari sana; hizi hesabu ni ngumu
Rejesho kwa wiki 139,400 kwa muda miezi 24

Kimahesabu: 139,400 X 4 = 557,600/- kwa mwezi

557,600 x 12 = 6,691,200/- kwa mwaka

6,691,200 x 2 = 13,382,400/- kwa miaka miwili

Ili urudishe huu mkopo wa namna hii unahitaji ''discipline'' ya hali ya juu.
Khaaa jamaa aingize elfu 30 kwa siku labda ndo itawezekanaa sasa bajaji elfu 30 kwa siku utaitoa wapi??? hapo hujalaa..mafutaaa pia.
 
Khaaa jamaa aingize elfu 30 kwa siku labda ndo itawezekanaa sasa bajaji elfu 30 kwa siku utaitoa wapi??? hapo hujalaa..mafutaaa pia.
Ukiwa na shida ya njaa Mkuu, kisha ukaoneshwa chakula kilipo, unakuwa kama kipofu. Yaani unaweza sema nipeni hiyo Bajaji hata kwa rejesho la laki kwa siku mie nitapambana kufa kupona nilete. Narudia tena, njaa si rafiki mwema...
 
Back
Top Bottom