Kumekuwa na wimbi kubwa la watu wanaoelekeza mashambulizi kwa upinzani, hasa mgombea wa CHADEMA, T. A. Lissu. Katika mazingira ya uchaguzi ambapo chama kimoja kinaomba kura kurejea madarakani (chama tawala) na vyama vingine (vya upinzani) vinatafuta kukiondoa madarakani chama tawala, ni udhaifu...