MHE. JULIANA DANIEL SHONZA (MB) NA MIAKA 46 YA CCM MKOA WA SONGWE
"Katika kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 46 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) nimekabidhi bando tatu za bati zenye thamani ya Milion moja laki mbili kwa mlezi wa CCM Mkoa wa Songwe Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo pinda kwa ajili ya...
Kwa niaba ya Wananchi wa Jimbo la Igunga, Ninatoa shukrani kwa Chama chetu CCM Mkoa wa Tabora kwa kutupa heshima Wana Igunga kuwa wenyeji wa maadhimisho ya Miaka 46 ya Kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM).
Maadhimisho yamekuwa hamasa na chachu ya kufanya kazi kwa bidii katika kuleta...
Nimemsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tanga sakata la ajali ya Costa iliyoua watu 17. Kwa kumsikiliza Tu unagundua Hana maarifa. Kama si zao la awamu ya tano basi ana vimelea vya Wakuu wa Mikoa wa awamu ya tano. Walikuwa wakuu wa Mikoa wa kukamata, kufunga ,weka maabusu nk
Hospitali zetu zinajulikana...
Kwenye mkutano wa CCM, mkutano mkubwa,.sherehe kubwa,wasaniii wengi pale,.pamoja na Zuchu. Lakini kibaka kaiba simu ya mheshimiwa.
MC akaambiwa atangaze ili simu ipatikane.
Kwa hiyo MC ametangaza:"Yupo mwanaCCM mmoja mwaminifu ameichukua simu ya Katibu Mwenezi. Tunaomba airudishe."
Pamoja na kwamba Uteuzi wake ulitenguliwa, ameendelea kufanya kazi ndani ya Ofisi.
Katibu wa Baraza la Mashehe wa Dar es Salaam Shekh Ally Kizegero aitisha kikao kinyume cha Utaratibu
Nia ni kuwagawa Mashehe wa Dar. Kitendo kinachofanya na Elhad inadaiwa ni Uhaini
====
Aliyekua Sheikh wa...
Nenda Mkoa wa Geita ukajionee
Utekelezaji wa mradi wa REA awamu ya tatu mzunguko wa pili mkoani Geita umesitishwa bila sababu za msibgi na bila wakandarasi kujulishwa na mikataba tukiwa tumesainishwa.
Wananchi na wakandarasi huko wako wanakusubiri ukawape majibu na uelekeo wa mikataba na...
MBUNGE WA CHWAKA AZUNGUMZIA MIUNDOMBINU YA ELIMU - WILAYA YA KATI, MKOA KUSINI UNGUJA
Mbunge wa Jimbo la Chwaka Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Haji Mlenge katika kuonyesha utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025 kupitia miundombinu ya Elimu katika jimbo la Chwaka ameonyesha miundombinu...
Ripoti kutoka kwa Mganda Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Alfred Mwakalebela imeeleza kuwa idadi hiyo ni wastani wa Watoto 2 hadi 3 kwa wiki ambao hufanyiwa ukatili wa Kubakwa na Kulawitiwa.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Kihesa Kilolo, Omary Juma, amesema Watoto 30 walibakwa na Kesi ziko...
Mbunge wa Viti Maalum (UWT) CCM Mkoa wa Pwani Hawa Mchafu amekabidhi vifaa vya michezo (Mipira na Jezi) kwa vijana wa Raja Sports Academy iliyopo Kata ya Mtongani Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani.
Hawa Mchafu(Mb) katika ziara yake ameungana na timu ya Madiwani wa Viti Maalum wakicheza...
Daaah walio toboa kwenye huo mkoa hongereni. Daah mikoa mingine utasema upo KENYA siyo Tanzania.
Licha ya ugumu wa pesa hali ya hewa pia haikunifurahisha upepo mkali, maji chumvi daah, jua kali sana, viwanja vyao vipo na mawe, chakula cha shida pale, wamezoea ugali na mboga za mlenda. Wadada...
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Manyoni imetakiwa kuchunguza mauaji ambayo yamekuwa yakiripotiwa kutokea mfululizo pamoja na vitendo vya ushirikiana vinavyohusisha kufukua maiti na kuchukua nguo za ndani na baadhi ya vitu vya thamani.
Maagizo hayo yametolewa Januari 20, 2022 na Mkuu wa...
Sidhani kama nitaeleweka ila naomba ikae hivyo.
Ni juzi tu vijana wa kiume wa umri wa zaidi ya miaka 30 madereva bodaboda na mwingine kinyozi walikutwa wanalawitiwa, walivamiwa na kupigwa.
Kama haitoshi huwezi amini siku 35 zilizopita watoto kumi na mbili walibainika kuwa wanaingiliana wenyewe...
Watu kama Makala na Gondwe ambao hawajajiajiri maishani mwao miaka yote wanaishi kwa jasho la walipa kodi hawawezi kujua ugumu wa kusimamisha biashara kutoka mchangani.
Dada wa watu katega eneo zuri ambalo mmempa wenyewe, ameweka hela yake, ameitumia nguvu ku-brand biashara leo imekuwa imara...
Hili kundi sio la kufikirika lipo na litamtesa sana mama Samia.
Nipo kanda ya Ziwa kiukweli mama yangu Samia huku watu hawakupendi kwa sababu mbili.
Watu wa huku wana mfumo dume hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais.
Pili ni wivu tu na roho mbaya,wanaona kama wewe unafaidi matunda ya...
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, limedhamiria kuwapa mafunzo ya utayari walinzi wa makampuni binafsi ili kuhakikisha wanatekeleza kwa weledi shughuli zao za ulinzi na kuhakikisha wanajua namna ya kutumia silaha wanazopewa kwa ajili ya shughuli zao.
Hayo yamebainishwa katika kikao maalum cha...
Wadau leo kuna fukuto kali balaa hapa jijini Dar
Yaani kuna lile joto la kusababisha kutokwa na jasho jingi sana kama vile upo shimoni
Kinachosababisha ni high humidity au unyevunyevu mwingi kwenye hewa
Sababu ya kuwa karibu na bahari ya Hindi
Humidity ya leo ni 81% wakati kikawaida inakuwa ni...
Habari ndugu Wana jukwaa.
Ile ndoto ya Mwendazake kuifanya Chato kuwa Mkoa inaonekana kugonga mwamba Kama sio kuota mbawa kabisa kufuatia Mikoa Jirani Kugoma.
Taarifa kutoka huko Kigoma,Mwanza na Kagera Ni kwamba Wananchi wamekataa maeneo Yao kuwa sehemu ya Mkoa mpya wa Chato hivyo kuzika...
Nawahitaji mawakala wa mauzo kwa mkoa wa Morogoro na Wilaya zake zote.
Bidhaa Ni JikoKoa, Aina ya majiko ya kisasa yanayopunguza matumizi ya mkaa kwa hadi 70%.
Majiko Ni mazuri na yanapendwa Sana. kampuni yetu inauza jiko moja kwa 46,000 tu, ukilinganisha na kampuni zingine wanaouza 120,000...
Mkuu wa mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee ameanza Ziara ya kukagua na kupokea vyumba 58 vya Madarasa vikiwa na samani zake Katika shule 21 za sekondari zilizogharimu kiasi cha Billion 1.16 zilizotolewa na serikali ya awamu ya sita ,ziara hiyo itakayofanyika kwa muda wa siku Mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.