Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba akizungumza wakati akitoa hotuba yake katika ufunguzi rasmi wa Semina ya siku moja kwa Wateja wa Benki ya CRDB wa mkoa wa Tanga, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Regal Naivera jijini Tanga, Novemba 14, 2022.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya...
===
Ni masaa machache tu baada ya kurejea kutoka katika Mkutano wa Dunia wa Uhifadhi wa Mazingira wa 27 yaani COP27 huko Nchini Misri,
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu...
Leo asubuhi kwenye taarifa nimesikia ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Talak amewapa siku mbili Wafugaji walioingia mkoani hapo kuondoka.
Kwa upande wangu sioni kama hii imekaa sawa, anachopaswa kujiuliza Kiongozi huyu ambaye ni Muwakilishi wa Raisi wa nchi hapo Mkoani kwake ni "waende wapi...
Watumishi wa afya katika wilaya ya Muheza waliohusika kusajili wagonjwa hewa 313 wa virusi vya Ukimwi (VVU) ili kuonyesha takwimu zipo juu za wanaoishi na VVU kwa maslahi yao binafsi ikiwemo kujinufaisha na fedha zinazotolewa na shirika la afya la AMREF.
Awali akitoa taarifa kwa waandishi wa...
Nashauri hivyo ili kuliongezea jiji la Dar eneo kijiografia pia wilaya hizo ni kama zimejitenga kimkoa wa Pwani na wilaya zingine
Nashauri mkoa wa Pwani ubaki na wilaya za Mkuranga, Kisarawe, Kibiti, Rufiji, na Mafia
Naomba kuuliza suala hili kwa Afande IGP, RPC wa Tanga na DTO wa Tanga je Mkoa wa Tanga ni Jamhuri inayojitegemea?
Katika kujitafutia maendeleo watanzania wanafanya kazi usiku na Mchana Ili kuweza kupambana na ugumu wa maisha na kupata mahitaji Yao ya kila siku.
Ni dhahiri kwamba katika...
Ni majumaa kadhaa nyuma nileta Uzi wa kuelezea jinsi biashara ya kuuza miili kwa wadada inavyofanywa hapa Shinyanga ktk eneo la Relini.
Nilikuja Shy na kukaa kama wiki 1 tu hivi awali, then wiki hii nimerejea tena kikazi vile vile, nikapita eneo lile ambalo ni kuna njia fupi ya kutokea kata ya...
Naandika kwa majonzi sana hawa ndugu zetu wa huku Arusha nao wamebahatika kuwekeawa lami mwaka huu japo ni nusu mradi kamili wa kuifikisha lami inapotakiwa kuishia bado aujakamilika.
Lami hii sasa imekuwa ikileta huzuni baada ya furaha kwani waendesha bodaboda wa huu mtaa wameigeuza rami hii...
Waliosimamishwa ni Ramadhani Mtingi (Idara ya ujenzi), Zainabu Mzindakaya (Mweka Hazina wa Halmashauri), Furaha Sarakikya (Idara ya Manunuzi) na Serapion Basgange (Afisa Elimu Sekondari).
Mkuu wa Mkoa Omary Mgumba amewatuhumu watumishi hao kutumia vibaya Fedha za Serikali na Usimamizi Mbovu wa...
Mnisaidie ndugu wanaJF kulidadavua suala hili. Zitto Kabwe ni mwenyeji wa Ujiji Kigoma. Na amewahi kuwa mbunge wa huko.
2015 alihamia Jimbo la Kigoma Mjini, na kuwa mbunge wa Jimbo hilo mpk 2020 ambapo uchafuzi ulimfanya ashindwe kutetea nafasi yake.
Hivi sasa Zitto Kabwe siyo mbunge, bali ni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma leo tarehe 18 Oktoba, 2022
Zitto Kabwe- Kiongozi Mkuu wa Chama, ACT Wazalendo
Nikiwa kiongozi wa kitaifa, napenda kuchukua nafasi hii kukupongeza sana...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu. Naomba mzoefu wa kilimo cha Kakao kwa mkoa wa Tanga au Morogoro ani pm tuwasiliane. Nahitaji kupata uzoefu na kujifunza zaidi kwa MTU anayefanya aina hii ya kilimo kabla ya kuingia kwenye ukulima wa hili zao.
Najua Kyela ni wazoefu zaidi lakini...
Nimeona maajabu Mkoa wa Geita.
Kila Rais anakopita haruhusu wananchi watoe yaliyo moyoni mwao kwa nini?
Ukweli wananchi wana kero nyingi ambapo JPM alikuwa anawasikiliza na watu kuuliza sasa mikutano imekuwa kinyume.
Poleni sana ndugu zangu wachagga najua inauma na itawaumiza sana Chato kuwa mkoa kabla ya Moshi kuwa jiji lakini tambueni kwamba vigezo vya sehemu kuwa mkoa sio sawa na vile kuifanya sehemu kuwa jiji na ndio maana majiji yapo matano ila mikoa ipo 26.
Niende kwenye mada baada ya salamu za...
Nasema hivo kwa kuwa tokea aingie kinachofaanyika ni ujuaji na kubishana tu na watendaji wenzake!
Mosi! Mfano mzuri ni ujenzi wa jengo la uwanja wa ndege MWANZA maana mkuu wa mkoa amesikika akibishana na TAA ambayo imepanga kuanza ujenzi wa jengo kubwa ambayo itaaccomodate abiaria wa...
Ndugu zanguni wazima?
Kwa kweli nimehamasishwa sana na huyu mfugaji wa kuku wa mayai 120,000. Ningependa kujifunza mambo machache kwake kama ukubwa wa shamba analomiliki, uwezo na ukubwa wa mabanda manne ambayo anatumia kufugia kuku 120,000 (kuku elfu 30 kwa kila banda).
Tafadhali mwenye...
Mnamo mwaka 2020 kuelekea mpaka 2021, ziwa Basotu, wilaya ya Hanang, mkoani Manyara lilikuwa linaleta madhara makubwa kwa wananchi kwa maji yake kujaa, kusambaa kwenye makazi ya watu na kusababisha mafuriko.
Nakumbuka vyombo vya habari vilitoa takwimu mwaka 2021 kuwa watu zaidi ya 90 walikosa...
Habari wana jamii forum,
Mimi Binti, Elimu yangu ni kidato cha 4. Natafuta kazi yoyote halali ndani Ya mkoa wa Mwanza .
Nipo tayari kufanya kazi pia katika (kazi za ndani, viwandani na kuuza duka, na stationary ). Naombeni msaada kwenu tafadhari. Mwenye connection yoyote aje DM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.