mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Katibu wa Chadema Mkoa wa Mara amuasa Heche kukaa meza ya maridhiano ili Lissu atoke

    Katibu wa Chadema mkoa wa Mara anetoa wito huo akirejea mifano ya Nelson Mandela alivyoweza kukaa meza moja na makaburu na muafaka ukapatikana. My Take:Inaelekea kuna misimamo miwili kinzani ndani ya CDM juu ya hatua za kufanya katika utatuzi wa maswala muhimu ndani ya chama chao.
  2. JamiiForums Tanzania Mkoa wako upo?

    CCM hoyeee!
  3. JamiiForums Tanzania Jumanne Sagini awafunda viongozi na watendaji Dira 2050 Mkoa wa Songwe

    Imeelezwa kuwa namna ya kufikisha na kufanikisha Utekelezaji wa Dira 2050 ni kuwepo na uundaji wa Kamati za Usimamizi, Ufuatiliaji na Utekelezaji kwenye ngazi zote pamoja na mkakati mawasiliano utumiwe ipasavyo kufikisha ujumbe kwa viongozi na wananchi. Hayo yameelezwa na Jumanne Abdallah...
  4. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga: Tunamtafuta ndugu wa Mtoto ambaye Mama na Kaka yake walifariki katika ajali ya basi

    TAARIFA KWA UMMA Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga inawatafuta ndugu au jamaa wa mtoto huyu wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 5, ambaye hajafahamika jina lake. Mtoto huyo alinusurika katika ajali ya barabarani iliyotokea tarehe 20 Juni 2026 eneo la Wendele, iliyohusisha gari la...
  5. JamiiForums Tanzania Je, hii kauli aliyotamka mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ni sahihi kwa taifa?

    Shalom shalom watanzania! Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja. Hivi ni sahihi kwa mkuu wa mkoa wa mji mkubwa wa Dar es salaamu tena uliojaa matukio ya watu kutekwa, kupotezwa Hadi kuuliwa kutoa kauli hiyo mbele ya kadamnasi ya umma? Hivi hii kauli angeitoa kiongozi yeyote wa upinzani...
  6. JamiiForums Tanzania RCO wa mkoa wa Mwanza, ashitakiwe Kwa uharifu dhidi ya ubinadamu.

    Tanzania imegeukia kuwa uwanja wa damu. Kinachouma zaidi watanzania hawana kitu kinaitwa revenge. Hawa vibaka wangekuwa South Africa au hapa USA wangekuwa washaliwa vichwa. RCO wa mkoa wa Mwanza bwana Sudi, ametenda makosa makubwa mnoo, kiasi kwamba amefikia threshold ya kushitakiwa Kwa crime...
  7. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa yuko sahihi kuhusu Mabasi makubwa DSM, ni kero kwenye barabara za jiji.

    Sisi abiria tuna tabia ya kutaka kushushiwa popote karibu na nyumbani kwetu. Hivyo basi kubwa litalazimika kusimama na kushusha abiria kwenye vituo vidogo vya madaladala na kusababisha usumbufu kwa daladala na magari madogo mjini. Hivyo, hata kama mmiliki wa mabasi anayo terminal kubwa ya kupaki...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Morogoro, Wilaya ya Kilombero, Tarafa ya Mang'ula Wananchi waomba msaada kuhusu tatizo la Tembo

    MKOA WA MOROGORO, WILAYA YA KILOMBERO, TARAFA YA MANG'ULA: WANANCHI WAOMBEA MSAADA KUHUSU TATIZO LA TEMBO Vijiji vingi vilivyopo katika Tarafa ya Mang'ula, Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa Morogoro, vinapakana na Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa. Kwa ushirikiano kati ya TANAPA, Serikali na...
  9. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Morogoro ni kama vile umekuwa ukitudisha kimtindo

    Ajali ya alie kuwa waziri Mkuu sokoine ambaye alitazamiwa kuwa kiongozi mkubwa ambaye angebadilisha sana Tanzania Picha ya alie kuwa rais w Tanzania hayati John Magufuli akizindua kiwanda cha ngozi pale morogoro Wote wajaliwe kupumzika kwa amani
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vijana wanaofanya kazi ya kununua mchele kwa ajili ya Wilmar Rice wanateseka sana kwa mishahara duni na mazingira magumu ya kazi

    Habari, kuna vijana wanaofanya kazi ya kununua mpunga kutoka kwa wakulima katika maeneo mbalimbali kama Morogoro, Mbeya na Kanda ya Ziwa kwa ajili ya kiwanda cha mchele cha Wilmar Rice Tanzania kilichopo Morogoro. Kuna mmoja kati yao ambaye nimekuwa nikimdai fedha tangu alipofika huku. Alikuwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani unaukubali kwa Misosi?

    Habari wakuu, Kwa wale tunaopenda kusafiri mikoa mbalimbali au hata wale tunaojivunia asili zetu, huwa kuna mkoa unaokubali kwenye mambo ya Misosi. Mfano kuna mshikaji wangu yeye anapakubali sana Mara anasema Kuna Sato, sangara, dagaa, maziwa na nyama kwa sababu wakurya wanafuga sana ng'ombe...
  12. JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi mkoa wa Iringa acheni kunibugudhi mimi ni raia mzalendo

    Kipindi nagawa vipeperushi vya amani kwenye mitaa mbalimbali ya mji wa Iringa, jeshi la polisi mkoani humo limeanza kunibugudhi kisa ujumbe uliopo ndani ya vipeperushi. Ujumbe huo ni mfupi tu unasomeka kuwa "tunamhitaji ndugu Humphrey Polepole aje atusaidie kujenga hoja za maridhiano" Nadhani...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu kuchelewa kuunganishiwa huduma ya TTCL Fiber Kigoma

    Wakazi wa Kigoma wanalalamikia kuchelewa kupatiwa huduma ya TTCL Fiber licha ya kulipia gharama za kuunganishiwa huduma hiyo zaidi ya miezi miwili iliyopita. Inadaiwa kuwa kila wanapowasiliana na ofisi za TTCL huambiwa kuwa kuna uhaba wa vifaa, huku wakipewa ahadi za mara kwa mara ambazo...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mkoa unakosa maadili kama Dar?

    Nimezunguka Tanzania nzima sijawahi kuona mwanamke na mwanaume wasiojuana wakibebwa mshikaki na bodaboda. Hiki kitu unakikuta Dar pekee. Nikiwa nimesimama, nikaona boda anapiga debe Ubungooo...Ubungooo huku akiwa amepakia abiria wa kike. Nikaamini kabisa labda anatafutwa abiria mwingine wa...
  15. JamiiForums Tanzania Heche akutana na Wazee wa Mkoa wa Mara leo

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, leo Julai 17, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Wazee wa Mkoa wa Mara katika Ukumbi wa Zablon Sports Arena mjini Tarime. Katika mkutano huo, wazee hao walimkabidhi Heche zawadi ya mbuzi mmoja pamoja na mikungu ya ndizi kama ishara ya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya (2025) Kada ya Ualimu Wilaya Mtwara Vijijini hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Sisi ajira mpya (2025) Kada ya Ualimu Wilaya Mtwara Vijijini mkoa Mtwara, bado hatujalipwa fedha zetu za kujikimu tukiuliza tunaambiwa jambo lipo kwenye mchakato.
  17. JamiiForums Tanzania Sheikh Walid aondolewa nafasi ya Sheikh wa Mkoa wa Dar kwa kukiuka misingi

    Baraza la Ulamaa BAKWATA limeazimia kumsimamisha Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Omar Kawambwa kutokana na mienendeo inayokiuka misingi ya kiungozi ya Kibaraza. Soma: PreGE2025 - Rais Samia ameahidi kujenga Msikiti wa Kisasa Vigwaza/Migude wenye hadhi ya Rais. Sheikh Walid ampigia debe...
  18. JamiiForums Tanzania Wabunge wote wa Mkoa wa Singida wamekuwa hawataki Lissu aachiliwe, too sad

    Leo Wekend nilipata wasaa wa kukutana na mtu wangu wa idara za juu, katika maongezi kanihabarusha jambo la ajabu sana kuhusu Lisu, kwamba swala la Lisu lina shinikizo kubwa sana la Kisiasa, kuna pande mbili ndani ya watu wa juu CCM, moja haitaki aachiliwe na nyingine ikisema aachiliwe tu. Ila...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kukosekana Maji Nandagala Siku 3

    Mamlaka ya Maji mkoa Lindi wilaya ya Ruangwa kijiji cha Nandagala, ni siku ya tatu sasa maji hayatoki na hakuna taarifa yoyote. Je wajibu wenu ni nini
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Mbeya ndiyo mkoa unaongoza kuwa na wajane wengi? Wanaua waume zao

    Mkoani Mbeya leo linafanyika kongamano la wajane linalolenga kuwaunganisha na fursa za kiuchumi baada ya kuondokewa na waume zao, ili kuwaepusha na manyanyaso ya kifamilia. Je, hatua hii itasaidia kuboresha maisha ya wajane na kuondoa changamoto wanazokumbana nazo? Tuandikie maoni yako
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…