Mawifi inakuwaje? Kunakuwa na kutokuelewana na mke wa kaka yao

Hili halina ubishi tabu inayopatikana ni ya nguo kuchanika, hawa wanaojulikana mawifi inakuwa mtihani katika ndoa japo na wao huwa ni mawifi, yaani inakuwa hapaeleweki, embu wadada tupeni elimu inakuwaje?
Sina hata muda na wake za kaka zangu. Nina mengi sana ya kushughulika nayo. Kila familia zina maisha yake. Hakuna ugomvi ila Tunakutana kwenye mambo muhimu pekee.
 
Wanawake huwa tuna shida sana.... ukiachana na uanamke mawifi pia sisi ni shida nyingine....ukute sasa na mawifi hawana wanaume wa kuwakeep busy macho pua na masikio kwa kaka basi mnakua kama wake wenza.

hivo hivo tu tutafika, tukishindwa kufika tunakula kona.
 
Simtegemei chochote kila mtu na maisha yake. Changamoto ninayo pata ni mawifi dada wa mume wangu..hawa viumbe ni shida
Ipo hivi!

Wanawake kwa desturi hawapendani!! Muda pekee mwanamke anakuwa kitu kimoja na mwanamke mwenzie ni pale anapokuwa kwenye hardship ili ampe pole ya kinafiki!!

Sasa wifi anapohisi kaka yake yupo simple, romantic kwa mkewe, chuki inaanza hapo kwa kuona mwanamke mwenzie anafaidi

Ugomvi wa mawifi na wake hautokuja kuisha maisha, kwa sababu dada zetu wanatamani wapate wanaume wanaofanana na kaka zao
 
Ipo hivi!


Wanawake kwa desturi hawapendani,!! Muda pekee mwanamke anakuwa kitu kimoja na mwanamke mwenzie ni pale anapokuwa kwenye hardship ili ampe pole ya kinafiki!!
Sasa wifi anapohisi kaka yake yupo simple , romantic kwa mkewe , chuki inaanza hapo kwa kuona mwanamke mwenzie anafaidi

Ugomvi wa mawifi na wake hautokuja kuisha maisha , kwa sqbabu dada zetu wanatamani wapate wanaume wanaofanana na kaka zao

Sent from my RMX3085 using JamiiForums mobile app
Hiiiii eti wanaume wanaofanana na kaka zao 😂😂😂😂😂 nacheka kama mazuri
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom