Nina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini, kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi. Tuna watoto watatu.
Sasa mwaka juzi kuna rafiki yake nlikutana nae nje ya mkoa tunaoishi, kama zali tu. Tukapiga story mbili tatu...