Sijawahi kuamini kama kuna mke mwema mwenye tabia hizi

KijanaHuru

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,822
2,290
Habari ya asubuhi,

Kwa mawazo na fikra zangu sijawahi amini kuna mke anaweza kuwa mwema au ukapata mke sahihi katika makundi haya

1. Wanaofanya Jogging
Yaani hapa aisee kama una mke anafanya huu udnunguazi wa makundi makundi jua hauko peke yako na hata ukipata mwanamke humu basi wakumaliza hamu zako tu ila hakuna malengo naye. Imani na hisia yangu haijawahi kabisa kukubaliana kama kunamwanamke anayekuwa anajielewa kwa kuheshimu utu wake akaingia jogging hamna kabisa kabisa kabisa, wala sitaki kuamini kabisaaa

NB:Isipokuwa anafanya jogging na mume wake tu wao binafsi au na mpenzi wake wao binafsi ila sio katika yale makundi makundi

2. Wanaoshabikia Mpira hadi wamejiunga vikundi vya kidedea na kila mechi wanaenda taifa
Yaani katika kundi hatari la wanawake ndio hawa shabiki wa mipira kindaki ndaki hadi wako kwenye vikundi vya kidedea na kila mechi lazima wazame uwanjani, yaaani hapana hapana tena hapana kwa herufi kubwa hata ingekuwaje hili jambo huyu mwanamke sina imani naye kabisa, wanaliwa kizembe sana na kuchezewa kizembe sana, mwanamke anayejiheshimu na kujali uutuwake sina imani anaweza kuwa katika kundi hili.
NB:Mwanamke anaweza akawa shabiki wa mpira kindaki ndaki ila uwanjani anaenda kwa mgongo wa mume wake au mtu wake na ushabiki wa mpira upo ndani kifamilia ila sio hadi kwenye videdea

3. Gym
Kuna hawa sasa wanaojifanya wanaenda gym kupunguza mwili nk yaani ndio wanaliwa kizembe sana tena sana, hakuna mwanamke anayejiheshimu na kujithamini mwili wake atahangaika na mambo haya ya halaiki kwenye gym nk.

NB: Labda kama anaenda na mume wake au mtu wake kidogo inaleta uafadhali

Hitimisho
Haina maana kila mwanamke anayejishugulisha na hayo mambo yuk hivyo nivile tu nikundi ambalo wanaume wengi hawalithamini kutokana na wingi wa tabia za hovyo zilizomo humo, zaidi ya yote asilimia chache sana wanakuwa poa japo nao utakutwa anaguswa guswa kisirisiri sana.

Hakuna raha kama mwanaume anayopata anapotembea na mwanamke wake mahali watu wanamuangalia na mwanaume ana uhakika kabisa huyu mama watoto wake ni salama kabisa na kuaminiwa, aisee inatia moyo sana na kujipa hadhi ya uanaume kwa asilimia nyingi.

Niishie hapo
 
Habari ya asubuhi,

Kwa mawazo na fikra zangu sijawahi amini kuna mke anaweza kuwa mwema au ukapata mke sahihi katika makundi haya

1. Wanaofanya Jogging
Yaani hapa aisee kama una mke anafanya huu udnunguazi wa makundi makundi jua hauko peke ako na hata ukipata mwanamke humu basi wakumaliza
Ni kweli 1000% Tena hao wa jogging ndio wumbwa kabisa
 
Mambo ya Wanawake Mkuu waachie wenyewe,, Yote hayo uliyoandika ni Ubatili mtupu....hawana Formula hao viumbe tokea Dunia imeumbwa,,,,na nadhani hadi Dunia itaisha bado formula haitakuwepo....

Jifunze kunata na Beat,,,Life is not that serious.
 
Ni kweli hawana formula ila umesahau jambo moja kila mmoja huwa anawaona kwa njia yake inayofanya kazi kwake kwa usahihi.

Huwezi ukawa Abdallah ukampata mwanamke kwa njia za Juma Au ukawa Hamza ukampata Mwanamke kwa njia za Kelvin.

Yaani ndio maana nikasema kwa upande wangu mwanamke wa makundi hayo awe wakuburudika naye tu ila hakuna wa kuwa na malengo naye hapo
 
Kama huwawezi nenda kwenu Chitipa kaoe huko hujalazimishwa.
Umeandika kwa hisia kali sana,

Kwani mke wako ni mdau wa hizo mambo nini? Maana umeandika kwa hisia kali sana za maumivu.
zaidi ya yote haina maana waliopo dar wote wanafanya hivyo kwahiyo solusheni sio kwenda chitipa.
Sema pole kwa wakwako ni mdau wa hizo mambo macho yanatofautiana na moyo pia
 
Umeandika kwa hisia kali sana,
Kwani mke wako ni mdau wa hizo mambo nini? maana umeandika kwa hisia kali sana za maumivu.
zaidi ya yote haina maana waliopo dar wote wanafanya hivyo kwahiyo solusheni sio kwenda chitipa.
Sema pole kwa wakwako ni mdau wa hizo mambo macho yanatofautiana na moyo pia

Kwanini mpo obsessed sana na tabia/mambo yafanywao na wanawake? Mwanaume kuongelea mambo ya KE ni ishara ya kutojiamini kwa kiwango cha juu. Kila siku ni wanawake hivi wanawake vile it says more about you kuliko wao.
 
Ndugu Bufa mbona unaumia sana? sasa unataka wanaume tusiwaseme wanawake halafu tumseme nani kwa mfano?

Yaani mwanaume unaona wivu kabisa mwanamke anapozungumziwa na mwanaume hivi uko sawa kabisa ndugu yangu?

Sasa anayeshindwa kujiamini niwewe hapo ambaye wanaongelewa wanawake lakini wewe mwanaume unaumia sana na unaandika kwahisia na uchungu wa hali ya juu mno.
pole sana ndugu
 
Ndugu Bufa mbona unaumia sana? sasa unataka wanaume tusiwaseme wanawake halafu tumseme nani kwa mfano?
yaani mwanaume unaona wivu kabisa mwanamke anapozungumziwa na mwanaume hivi uko sawa kabisa ndugu yangu?
Sasa anayeshindwa kujiamini niwewe hapo ambaye wanaongelewa wanawake lakini wewe mwanaume unaumia sana na unaandika kwahisia na uchungu wa hali ya juu mno.
pole sana ndugu

I have no time kujadili mambo ya KE na huwa sielewi nini kinawauma wanawake kufanya mambo yao. Endeleeni kujadili wanawake siku moja ikiwauma sana mtakua wao kuwaonyesha how to do it right.
 
I have no time kujadili mambo ya KE na huwa sielewi nini kinawauma wanawake kufanya mambo yao. Endeleeni kujadili wanawake siku moja ikiwauma sana mtakua wao kuwaonyesha how to do it right.
Ndugu kwani nimekuchukulia demu nini? mbona povu sana? Anyway uwe na mchana mwema
 
Sijawahi kuamini mwanamke anaeenda sokoni pekeake labda aende na mume wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom