mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Unajua athari ya tabasamu lako kwa mke wako?

    Mwanamke! Kiumbe wa kipekee ambaye wanaume wengi hawajamfahamu kiusahihi! Mwanamke, kiumbe "dhaifu" lakini mwenye nguvu ajabu! Mwanamke ni kiwanda kinachoishi! Mpe mchele, atakurudishia ukiwa umegeuzwa na kupewa jina jingine, wali! Mhuzunishe, naye atakufanya "ulie" bila kupigwa! Mwanamke...
  2. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Kwanini mke mdogo anaogopeka sana na wanawake wengine?

    Hapo vip!! Katika uchunguzi wangu nimegundua mke mdogo katika familia ananguvu sana na anaogopeka sana na wanawake wengine pamoja na watoto wao. Na kama mwanamke wako anakusumbua na hakuheshimu dawa yake jaribu kumuongezea mwezake hapo utakuwa umempiga zaidi ya kumpiga makofi mara ngumi na...
  3. sanalii

    JamiiForums Tanzania Usimfanyie wema kupitiliza mke wa mtu

    Kama ikitokea mke wa mtu anahitaji msaada, basi iwe kwa kiasi usijifanye unajali kupitiliza sio vizuri. Sababu ni kuwa, binadamu tuna athiriwa sana na wema, ukimfanyia mtu wema ambao hajafanyiwa au hafanyiwi inaleta tashwishi moyoni. Mfano: Mfanyakazi mwenzako (mke wa mtu) anaumwa, itoshe...
  4. Termux

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ameenda hedhi kwa siku tisa. Je, ni shida?

    Habari JF, Mwezi huu nmekutana na changamoto kuhusu mke wangu maana mpaka sasa sijajua ana shida gani
  5. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kusaka mke / mume ni ngumu sana ukiwa above 30 na umejipata kimaisha. ila mwanamke / mume unamuona anafata hela zako. Ushauri kijana oa mapema

    Habari wadau. Kwa research yangu isiyo rasmi. Kazi ya kusaka mwenza wa maisha ni ngumu sana ukianza kuifanya ukiwa na age above 30s.. Imani yako kwa watu inakuwa ndogo sana kutokana na uhalisia wa ubongo wako ulivyopevuka. Hii inawatokea vijana wengi wa kiume na wa kike waliojipata. Yaani...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nimemchoka mke wangu natafuta jinsi ya kumpiga chini

    Aisee hii mindset ya kusema kabila fulani ni mzuri halafu kabila lingine ni mbaya ni kitu kubaya sana aisee asikuambie mtu wakuu na unatakiwa kuindoa hiyo mindaet kabisa Miezi kadhaa nilimchumbia binti mmoja wa kabila la kanda ya ziwa mkoa wa simiyu yeye ni Mkristo (Msabato) mie ni ni mlokole...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

    Umuofia kwenu!! Kama mada ilivyo, nimempeleka kwanza kwao kwa muda usiopungua miezi miwili.....akajifunze kitu (kama ni mwenye kujifunza). Siku moja tu baada ya kutoka kwake; 1. Leo kwa mara ya kwanza, katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu, nimefanikiwa kutulia nyumbani saa mbili usiku na...
  8. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Dogo aliyekuwa anatembea na mke wa jirani yangu sasa ana mazoea na mwanamke wangu

    Wakuu mulibwanji? Aisee hapa nlipohamia sasa nina miezi 8 nilikuta kuna mpangaji 1 na mwenye nyumba mimi nikawa mpangaji wa pili, huyu ndugu niliyemkuta alikuwa anaishi na mkewe na hawana mtoto wala mtu mwngne wanayeishi naye. Habari niliyoikuta hapa ni kwamba mtoto wa kiume wa mwenye nyumba...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nitagawana Mali 50/50 na Mke wangu

    NITAGAWANA MALI 50/50 NA MKE WANGU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mali hazikuwa na kamwe hazitakuwa kipaombele changu. Sio mimi tuu bali Watibeli wote. Ikiwa ni mke wangu. Ambaye naye ni Mtibeli. Na ambaye kwake mali sio kipaombele. Ikiwa itatokea Mimi na mke wangu tukaachana basi...
  10. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke anataka ndoa ivunjike kwa kuwa mumewe anapewa vya ziada na mchepuko

    Jirani yangu kafikwa na mkasa wa kuhuzunisha. Mkewe alikuwa anapitiapitia sms za simu yake akagundua jamaa ana mchepuko ambao unampa huduma ya "Pandezote" yaani huku kwa bibi na kule kwingine kama bonus. Sasa huyu mama kawaka sana anataka ndoa ivunjwe wakati huyu jamaa bado anampenda maiwaifu...
  11. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Mdau anaomba ushauri: Nimetembea na Mfanyakazi wangu ana sifa zote za kuwa mke ila ameshazalishwa, nifanyeje?

    Huu ni ujumbe wa Mdau kutoka Instagram huko. "Nina miaka 25 nataman sana kuoa lakin naumiza kichwa sana kuangalia mwanamke wakunifaa kulingana na wanawake wa siku hizi. Sasa kuna Dada nafanya nae kazi mimi ni kama boss wake nimemuajiri ananiuzia Mitumba, yeye anamiaka 26 ana mtoto mmoja...
  12. Mwalimu wa tuisheni

    JamiiForums Tanzania Mke akoswakoswa kuuawa na mume wake kwa kisu

    Munghonie bhandu bha kyala? Mwiputie? Haya bondeni tena huko, kijana aliyefahamika kwa jina la Ntembeko Myalo anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kujaribu kumuua mke wake kwa kumchoma na visu. Kijana huyo alikua ni wanafunzi wa chuo cha western cape na mkewe akisoma Cape Peninsula...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tuondoleeni utata huu wa taarifa za kifo cha mke wa Askofu wa Anglikana Biharamulo

    Taarifa zinasema kuwa Mke wa Askofu Vitalis Yusuf, wa kanisa la Anglikan Dayosisi ya Biharamulo mkoani Kagera, maziko yake yatafanyika leo Jumamosi nyumbani kwao wilayani Chato mkoani Geita. Maziko hayo yanafuatia, kifo cha mke huyo Monica Zablon mwenye umri wa miaka 45, kilichotokea usiku wa...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mke ajiua kwa sumu ya Wadudu baada ya kupekua na kusoma SMS kwenye simu ya mumewe

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma (ACP) Marco G. Chilya akielezea kuhusu tukio hilo Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Marietha Bosco Sagana (32) Mkazi wa Kitongoji cha Matarawe, Kijiji cha Marungu Kata ya Tingi Tarafa ya Mpepo, Wilaya ya Nyasa amefariki Dunia wakati anapatiwa matibabu...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hawakumpenda mke wa kaka yao matokeo yake hawawezi tena kumuona mtoto, ndoa inavunjika na mali zinaenda kupigwa pasu kwa pasu

    Ni upande wa mume ndio wenye matatizo, ndugu zake kwa miaka takribani miwili hawampendi mke wa kaka yao, kwa makadirio ni kwamba kaka yao ana kazi nzuri na biashara zake, uchumi upo stable na mafanikio hayajifichi haya yanaonekana wazi kabisa, ni watu wa Mbeya huko (Mbeya ina makabila mengi)...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba aje kuwa mke

    Habari za Kazi, Mimi ni mwanaume mwenye umri 40+. Natafuta Mchumba baadae aje kuwa mke, nahitaji sana watoto kwa sasa. Tafadhali naomba binti ambaye yuko tayari kuwa na mimi aje PM, umri usizidi 38, awe mcha Mungu kiasi au sana ni sawa tu, awe mfanyakazi na awe tayari kuja kuishi Dar kama...
  17. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Kaka yangu anatafuta mke mwema

    Kaka yangu anatafuta mke mwema . Sifa zake : awe ni mweupe , mrefu wastani , awe na umbo namba 8. Awe tayari kuamia mwanza . Mkristo mcha Mungu na awe na kazi. Weka namba zako inbox
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Iringa: Mke wa Mtu na Mume wa Mtu wafia Mgahawani wakiwa uchi

    Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Swiga John Mwakalobo (35) ambaye ni Mfanyabiashara wa mgahawa pamoja na Mwanaume ambaye amefahamika kwa jina la Jacob Chang’a wote Wakazi wa Kata ya Mkwawa Wilaya na Mkoa wa Iringa wamekutwa wamefariki ndani katika mgahawa huku wakiwa watupu (bila nguo)...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Mke mwema anahitajika

    Sifa zangu Elimu: degree Kazi: nimejiajiri (phone accessories) Mahali Kanda ya ziwa Umri: 30 Dini: pentecoste SIFA ZA MKE Elimu: kuanzia form 4 Umri: chini ya 30 Dini: mkristo akiwa na vocal ya kuimba itapendeza zaidi Awe mrembo na mwenye shepu yakuvutia NOTE: ASIWE NA MTOTO KABILA LOLOTE...
  20. African Geek

    JamiiForums Tanzania Naombeni Mbinu kwenye hili la Ndoa

    Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa. Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka. Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye...
Back
Top Bottom