Nina miaka 32, nishaanza kupuuza kufanya mapenzi. Je, hii ni kawaida?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,028
Kwanza nitie msisitizo nguvu bado ninazo na moto napeleka fresh tu.

Nina miaka 32, Nmeajiriwa serikalini, Mshahara 2.x take home, ni mfanyabiashara pia, nina mke na watoto wawili wa kiume, Hivi karibuni nmekuwa mdau sana wa maendeleo.

Tatizo ni kwamba, zamani nilikuwa napenda sana kufanya hii ibada ya damu, mifupa na nafsi, zamani nlikuwa napania sana, hata nikifika home nilikuwa naweka akili nyingi kusubiria mda wa mechi na wife.

Kwa sasa utaratibu unaendelea vilevile na wife kama kawa nampa dozi yake ya afya ila ni kwamba saizi nawaza sana mambo ya kimaendeleo.

mfano, kuna kipindi nlikuwa natumia internet kufatlia ishu za sex ila saizi mfano leo nilikuwa bizi kufatilia michoro ya nyumba ndogo (mita 4 kwa 5) kutafuta mtindo mzuri wa hostel nizijenge kwenye viwanja viwili nlivyonunua.

pia badala ya kufatilia sana blog za mapenzi kwa sasa nmeanza kusoma vitabu vya maendeleo.

Saizi kwangu nafanya kwajili ya kumridhisha wife tofauti na zamani nlikuwa nafocuss zaidi iwe starehe
yangu, Nitilie msisitizo hakuna kilichobadilika kwamba labda nguvu zimepungua, LA HASHA!!

Mfano saizi wakati wife kainama mbuzi kagoma (doggy) mi huwa naangalia mbele kwenye pazia huku nikiwa natafari maendeleo, akili inakuwa kwenye sex kidogo, mi nachezesha tu kiuno ilimradi mpini ukidhi haja za wife, Yes, naskia utam wa mfikicho kama kawaida ila nakua nawaza ishu za maendeleo, mda pekee ambao na pause kidogo haya mawazo ni napofika kileleni hapa huwa naanza kupiga tak* za fasta fasta, ila naada ya kumwaga wazungu napumzika kidogo naendelea kuwaza maendelek, round ya pili nayo huwa hivyo hivyo sema nikienda raundi ya tatu huwa akili inaanza kupata taabu kidogo kuwaza.

Kitu kilichobadilika ni kuchelewa kupiga goli, nilifatilia hii nikaona akili inapokuwa sijapania sex hii inachangua kuchelewa, wife anantaniaga nmeanza kula matunda sana 😂😂, Pia kuhusu wife kuridhika hili sina shaka maana ni muwazi kuna kipindi nlikuwa si perfom vizuri kwasababu ya kufany kazi ngumu mchana, aliniwakia sana na kuzani nina mchepuko kesi nusi ifike kwa wazazi, So hii sekta sina shaka kumridhisha.

Hii imekaaje.
 
Majukumu ya kifamilia na kuwaza future huchukua nafasi Sana kwenye tendo. Ule muda wa kuwaza papuchi hupungua na badala yake mawazo hujaa kuhusu ada za watoto,kiwanja,Ujenzi,chakula Cha familia,kazi,viporo vya kazi,bosi mkorofi,mikopo, n.k

Kingine unajua papuchi ipo tu...unakuwa una uhakika.
 
Mimi pia nyege kama zimeniisha kabisa..

Nina jamaa yangu amefariki mwaka jana kwa co infection ya hepatitis b na hiv.. amenifanya nikose kabisa hamu ya papuchi hasa baada ya kumuona mateso aliyopitia kabla hajafariki

Mtu ambaye mmekua pamoja.. chuo kikuu mmeenda kimoja.. bata pamoja kibao na memories... akiondoka kumbukubu hazipotei
 
Kwanza nitie msisitizo nguvu bado ninazo na moto napeleka fresh tu.

Tatizo ni kwamba, zamani nilikuwa napenda sana kufanya hii ibada ya damu, mifupa na nafsi, zamani nlikuwa napania sana, hata nikifika home nilikuwa naweka akili nyingi kudubiria mda wa mechi na wife.

Kwa sasa utaratibu unaendelea vilevile na wife kama kawa nampa dozi yake ya afya.

ila ni kwamba saizi nawaza sana mambo mengine mfano, kuna kipindi nlikuwa natumia internet kufatlia ishu za sex ila saizi mfano leo nilikuwa bizi kufatilia michoro ya nyumba ndogo (mita 4 kwa 5) nizijenge karibu na chuo ama nijenge tu hostel ya kawaida.

pia nmeanza kusoma vitabu, n.k

Saizi kwangu nafanya kwajili ya kumridhisha wife tu tofauti na zamani nlikuwa nafocuss zaidi iwe statehe kwajili yangu.

Mfano saizi wakati wife kainama mbuzi kagoma (doggy) mi huwa naangalia mbele kwenye pazia huku nikiwa natafakari mambo mengine, akili inakuwa haipo kwenye tendo kwa asilimia 80 hivi, mi nachezesha tu kiuno ilimradi mpini ukidhi haja za wife, midadi (utam) kama kawaida nausikia ila nakua nawaza vitu vingine mfano kesho niamke saa ngapi, mda pekee ambao na pause kidogo ni napofika kileleni hapa huwa kidogo mawazo yanakandamizwa, nikianza kupiga tak* za fasta nae wife huwa anajua ndo nafika kileleni, ila naada ya kumwaga wazungu napumzika kidogo naendelea na mawazo yangu, round ya pili nayo huwa hivyo hivyo sema nikienda raundi ya tatu huwa akili inaanza kupata taabu kidogo kuwaza.

Hii imekaaje
Miaka 32 umeoa, HONGERAAA..
Wengine tuna hiyo miaka hata wachumba hatuna..!!!

#YNWA
 
Kama Mimi tu yani siku hizi sinaga kabisa time na masuala ya mademu,Nina michepuko 5 lakini sina hata mzuka nao naweza kuwapanga kukutana kila mmoja kwa wakati wake lakini at the end of time naghairisha,siku za nyuma nilikuwa nahusudu sana ngono ,ila kwa sasa naona sio inshu kwangu,wife tangu nimtie mimba ya tatu na kujifungua mtoto wa 3 sina hata mzuka nae ,akili yangu inawaza namna ya ku-make life gud, nikiwa na hamu napiga Nyeto nimetoka hiyo ,kwangu kwa sasa mapenzi sio kipaumbele hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia nyege kama zimeniisha kabisa..

Nina jamaa yangu amefariki mwaka jana kwa co infection ya hepatitis b na hiv.. amenifanya nikose kabisa hamu ya papuchi hasa baada ya kumuona mateso aliyopitia kabla hajafariki

Mtu ambaye mmekua pamoja.. chuo kikuu mmeenda kimoja.. bata pamoja kibao na memories... akiondoka kumbukubu hazipotei
Hebu elezea iyo hepatitis B kidogo boss
 
Mimi pia nyege kama zimeniisha kabisa..

Nina jamaa yangu amefariki mwaka jana kwa co infection ya hepatitis b na hiv.. amenifanya nikose kabisa hamu ya papuchi hasa baada ya kumuona mateso aliyopitia kabla hajafariki

Mtu ambaye mmekua pamoja.. chuo kikuu mmeenda kimoja.. bata pamoja kibao na memories... akiondoka kumbukubu hazipotei
pole sana brother.
 
Back
Top Bottom