Mke wangu ndiye ukoo wangu, ndugu huna nyongeza yoyote

karue

Senior Member
Oct 31, 2018
191
347
Niende kwenye hoja, kumekuwa na desturi za ndugu na jamaa kuingilia mambo ya NDOA za watu na kutoa ushauri utadhani wao walisoma vyuo vya ndoa.

Ninavyojua mimi ndoa haiwezi kua na amani maisha yenu yote kuna siku mnatofautiana.

Mtu unamsema mke wa mwenzio vibaya sara siyo lika lako mara ni mfanyakazi atakunyanyasa, mara mchoyo, mara hapendi ndugu, sasa kama mawifi ni wanafiki asiseme eti kwa sababu kaolewa?

Binafsi sipendagi ujinga kama huo nikimuacha mke wangu NAOA ndugu sasa ili tuone hatima yake.

Nawasalimu kwa jina la jamhuri.
 
Umeandika kwa hisia na hasira sana..
Kama nakuona vile unavyofoka
Ni kweli haipendezi kuingilia mambo ya ndoa za watu,unakuta mke kajifungua ndugu mbiombio mtoto sio was ndugu yetu huyu..huu mdomo kautoa wapii...khaa!
Mawifi siku hizi wamegeuka DNA za kaka zao
 
Pale ambapo utamuhusisha sana mkeo na ndugu ndio hupelekea mazoea hayo. Principles zangu,
1. Mke ni wangu na hawezi kuwaridhisha ndugu zangu wote japo hawezi wadharau,
2. Sijazi ndugu nnapoishi na mke wangu, mimi, mke na watoto..kuja kusalimia sawa ila sio kuishi pamoja
3. Nasaidia ndugu wakiwa mbali sio kuchagamana nao,
4. Mambo ya familia/ndugu nawambia wanitafute mimi, kila ndugu yako akiwa na ukaribu na mkeo kwa familia za kiswahili ataambiwa mambo yako mpaka ya utoto, weka mipaka
5. Above all, wazazi wangu ni muhimu kuliko mtu yyte, ninapofanya mambo yawahusuyo inabidi atulie!
N.B mke sio ndugu yako, ni life partner, hivyo basi ishi nae kwa akili usivuruge ndoa kwa ajili ya ndugu zako and virse versa is true!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niende kwenye hoja ,kumekuwa na desturi za ndugu na jamaa kuingilia Mambo ya NDOA za watu na kutoa ushauri utadhani wao walisona vyuo vya ndoa.
Ninavyojua Mimi ndoa haiwezi kua na amani maisha yenu yote Kuna siku mnatofautiana

Mtu unamsema mke wa mwenzio vibaya Mara siyo lika ,lako Mara ni mfanyakazi atakunyanyasa ,Mara mchoyo ,Mara hapendi ndugu, Sasa Kama mawifi ni wanafiki asiseme eti kwa sababu kaolewa????

Binafsi sipendagi ujinga Kama huo nikimuacha mke wangu NAOA ndugu Sasa ili tuone hatima yake

Nawasalimu kwa jina la jamhuri..
:DMzee limbwata sio mchezo,kila unachoambiwa unaona unaonewa!....jokes.
 
Pale ambapo utamuhusisha sana mkeo na ndugu ndio hupelekea mazoea hayo. Principles zangu,
1. Mke ni wangu na hawezi kuwaridhisha ndugu zangu wote japo hawezi wadharau,
2. Sijazi ndugu nnapoishi na mke wangu, mimi, mke na watoto..kuja kusalimia sawa ila sio kuishi pamoja
3. Nasaidia ndugu wakiwa mbali sio kuchagamana nao,
4. Mambo ya familia/ndugu nawambia wanitafute mimi, kila ndugu yako akiwa na ukaribu na mkeo kwa familia za kiswahili ataambiwa mambo yako mpaka ya utoto, weka mipaka
5. Above all, wazazi wangu ni muhimu kuliko mtu yyte, ninapofanya mambo yawahusuyo inabidi atulie!
N.B mke sio ndugu yako, ni life partner, hivyo basi ishi nae kwa akili usivuruge ndoa kwa ajili ya ndugu zako and virse versa is true!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla hujaanza kujitegemea,ulikuwa unawaza kama hivyo?..
 
2748106_FB_IMG_1618939259602.jpg
 
Back
Top Bottom