mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohammed wa 5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

    Inawezekana Nina pasaka chache na eid chache humu JF lakini kwa uchunguzi wangu mke bora hayupo JF, wanawake wengi wapo JF kwa ajili ya stress zao za mahusiano au ndoa. Embu niambie Kuna member gani waliwahi kukutana JF mpaka wakaoana, na kuwa na familia kabisa, mtakaonijibu mje na ushaidi...
  2. Ma mbwa

    JamiiForums Tanzania Nina damu group 0+ na mke wangu ana group 0- msaada tafadhali

    Habari waungwana, Niende moja kwa moja kwenye mada, ni hivi mimi Nina group 0+ lakin wife ana 0- mke wangu alipopata ujauzito niliambiwa ili mtoto wetu aweze kuishi ni lazima achome sindano ya ant-D. Sindano moja tu inauzwa laki mbili na elfu themanini kwa kipindi hicho na kweli alichoma...
  3. Zee la madawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natarajia kumuoa mke wangu Elineema Shayo

    Mke wangu ni Elineema Shayo mtoto wa kibopa,msomi wa ngazi ya shahada ya uzamili na mwanamke au katika wanawake wenye akili kuwahi kuishi nae maisha yangu sijui kwanini nimechelewa kumpata ila japo ni single mother lakini ananipenda sana na kunijali kwenye shida na raha Elineema shayo alinikuta...
  4. Mohammed wa 5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, watoto watanichukia

    Habari zenu Wana Jf Tumekuwa tuna ugomvi Mara kadhaa na wife me sio muongeaji Sana..nikionaga ugomvi ni mkubwa nakaa kimya au naondoka lkn Kama mmegombana usiku ujue uwezi kulala ataongea na kulaumu kila kitu. Wife ana tabia mkigombana tu au ukampiga vibao viwili vitatu anakimbilia...
  5. Kusini pride

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna utofauti wa mke wangu na hao wake zenu sometime wana act kama dada poa

    Hivi fikiri mke wa mtu anavaa nguo fupi sana haipiti magoti halafu mbaya zaidi akikutana na wanaume anaweka kanga ili wanaume wasione mbunye huo si Udada poa? Wake zenu wanavaa Madera marefu halafu anatumia mkono wa kushoto kulishikia huo ni uchangudoa nawaambia Mke wangu yeye ni full stara...
  6. Desierto

    JamiiForums Tanzania Nimeota tunasafiri kwa kupaa nikiwa na mke wangu na mtoto

    Ilikuwa na safari nzuri sana japo kuna wakati yale mafeni tuliyokuwa tunayatumia kupaa yalikuwa yanagoma kuzunguka ila kabla hatujadondoka yanazunguka tena huku mke wangu akiwa na mtoto mgongoni tulienda kutua kwenye mji mmoja ambao nilona kuna fremu nyingi za biashara huku kukiwa na biashara...
  7. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu nifundisheni jinsi ya kumpa mwanamke mimba

    Kama kichwa cha habari kinavyojielezea sijui nakosea wapi. Nina mchumba wangu tumemaliza mwaka sasa nikimpanda ila hashiki mimba na anaingia period kama kawaida. Nawaza labda naeza kwenda kujaribu kwa mwanamke mwingine kisha inase na sipo tayari kuzaa na mwanamke mwingine zaidi ya huyu. Kama...
  8. dyuteromaikota

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbo 'naheshimu madanga ya mke wangu'

    Kwani basata kazi imewashinda? Nipo kwenye basi naskia wimbo wa singeli mtu anaimba et naheshimu madanga ya mke wangu! Hivi wanetu watajifunza nini kwenye wimbo kama huu?
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu vitendo ulivyomfanyia Mama yangu sitosahau kamwe

    Ilikuwa ni mwishoni mwa Mwaka jana 2022. Basi kutokana na kazi nyingi za kijamii huku ikizingatiwa kuwa Taifa tulikuwa bize ktk kujenga nchi, huku wengine tukihitajika zaidi katika maswala ya kitaifa ikiwemo swala la maridhiano, katiba Mpya, mfumuko wa bei ya bidhaa, kuifungua nchi na harakati...
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijamuelewa mke wangu

    Wandugu habari zenu, napitia wakati mgumu kimaisha na mke WANGU kwakweli nimeishi nae miaka 17 bila shida yeyote lakini hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana. Wiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda...
  11. Heci

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

    Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato. Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya. Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta...
  12. Phobia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechapiwa mke wangu na mzoa taka

    Mke wangu amechapwa na mzoa taka ama hakika nimeumia sana ila siwezi kumuacha huyu mke wangu kwa sababu namoenda sana ila ameniomba msamaha Amelia sana mpaka nimemuonea huruma sana mpaka na mimi nikaamua kulia nae Mimi nafanya kazi ya kuendesha magari makubwa ya kwenda Congo kupeleka mizigo...
  13. kwisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda mchepuko wangu kuliko mke wangu

    Pamoja na kuwa katika dunia ya sasa imekuwa vigumu saana kumpata mwanamke au mwanaume ambaye anatambua nafasi yake vizuri, yaani kama ni mwanamke anajua mwanaume na mwanamke hawako sawa, kama walivyo kuwa mama zetu wa zamani. Lakini kuna mwanamke nimempata nilimtongoza kwa nia ya kutaka kula...
  14. Mamujay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimkopesha mtaji akaenda kumwambia mke wangu yeye ni mke mwenza

    Wazee hakuna binadamu amezaliwa na roho mbaya tunafundishana nimeamini. Leo ndoa haikaliki kisa tu msaada na huruma yangu iliniponza, kiukweli nilimla siku 1 ila sasa anaharibu nyumbani. Hela yangu ameshanilipa sasa balaa ni hapo anasema nilimhonga na anatamba kwa mke wangu yeye ni mke mwenza...
  15. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kauli hii ya mke wangu ina maana gani?

    Habari Wana Jf niende moja kwa moja kwenye point, ni kwamba Mimi na mke wangu tulifunga ndoa miaka sita iliyopita na wakati huo tulikutana mkoani Ruvuma yeye akiwa mwajiriwa wa kampuni flani na Mimi wakati huo nilikuwa nafanya kazi na shirika flani. Baada ya mahusiano kama ya Mwaka mmoja...
  16. marehem x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anataka tuweke pochi mezani kila mwisho wa mwezi.

    Wakulungwa! Hii Ndio itakuwa Salam yangu rasmi. Wakulungwa!!!... Wakulu. Mimi Nina familia imebarikiwa niseme ukweli wa wazi. Na mabarikio yanatokana na kujituma na kutii wakubwa na wadogo. Kimsingi hata mtoto wangu wa miaka 2 namheshim na nikimkosea au ninapohisi amekosewa nikiwa around. Na...
  17. Gunst

    JamiiForums Tanzania Startimes mmenigombanisha na mke wangu

    Ni kawaida yangu kurudi nyumbani kuanzia saa 3:30 usiku, ila leo nimelazimika kuwahi kurudi nyumbani (saa 1:00 jioni) kutokana na sababu zangu binafasi. Kwakweli ni siku nyingi sijaangalia taarifa ya habari, hivyo ilipofika saa 2 usiku kwakuwa nimewahi kurudi nyumbani na sijagusa ulabu...
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuweka kumbukumbu sawa kuhusu kutokumjali mke wangu na kumsababishia kuchepuka

    Kabla sijaanza, tafadhali nawaomba sana moderators msiuhamishie huu uzi kwenye ule uzi wa member anaechepuka na mke wangu, nawaomba sana kwani nataka kuweka kumbukumbu sawa kwa watu wote humu. Kuna member humu ndani ameanzisha uzi juu ya kuchepuka na mke wa mtu, na pia akatoa ushauri kwa...
  19. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua kuna member humu anatembea na mke wangu, nitakachomfanya tusilaumiane

    Nimegundua kuna member humu ndani anatembea na mke wangu kutokana na uzi aliouandika humu. Uzi wenyewe ni huu Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza Member alieandika huu uzi anatembea na mke wangu, na mke wangu amemdanganya vitu vingi sana...
  20. mashatiboyee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    Habari za jioni wanajukwaa wa MMU, ikiwa mmetoka katika mihangaiko akili na mwili vimechoka nawaletea jambo jingine hili tupate kulijadili. Mimi na mke wangu ni waajiliwa yeye ni mtumishi wa umma na mimi ni mtumishi wa sekta binafsi, ndoa yetu ina miaka mitatu sasa na tuna mtoto mmoja (asante...
Back
Top Bottom