mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Napinga GSM kuingia mkataba na NBC ili kuendesha ligi kuu ya soka Tanzania

    Hawa ni wadhamini wa Yanga na kiukweli ndio wamiliki wa Yanga, sasa hii habari kwamba wanaingia mkataba na NBC wa Ushirikiano wa kuendesha ligi kuu ni pigo kubwa sana kwa timu zingine. Hii ni kwa sababu hawa GSM ni wafia Yanga ambao wako tayari kufanya lolote ili kuibeba Yanga, hawa kwa namna...
  2. M

    Haji Manara bado tu unamuamini Alex Mgongolwa kuwa ishtaki Simba SC kwa Kukuajiri bila Mkataba na atakusimamia Kisheria ushinde?

    Halafu nashangaa sana kuona ya kwamba ulitumia Nguvu Kubwa Kulisemea hili Mitandaoni huku Ukiwatisha Simba SC lakini ghafla ukapoa na sasa hivi hutaki hata Kuliongolea. Tunajua ni huyu huyu "Failure Lawyer' Alex Mgongolwa ndiyo alikutia Ndimu ( Kushawishi ) uwashtaki Simba SC kwa Kukuajiri bila...
  3. M

    TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M

    Watanzania naona tulisahau kabisa ajenda ya ufisadi wakati wa Magufuli, mpaka sasa kuna ufisadi umefanyika fasta fasta bila ya watu hata kushtuka. Mkataba uliosainiwa baina ya Serikali ya Tanzania (kupitia TANESCO) na kampuni ya Tech Mahindra ya India wenye thamani ya dola milioni 30 ni wa...
  4. J

    Waziri Mwambe: Mazungumzo ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanza rasmi

    Waziri wa uwekezaji Mr. Mwambe amesema hakuna mkataba wowote uliosainiwa hapo awali kuhusu bandari ya Bagamoyo zaidi ya minutes tu za vikao. Mwambe amesema serikali itaanza rasmi mazungumzo na Oman na China ikiwa na maagizo ya Rais Samia baada ya kuwa amezipitia nyaraka zote. Chanzo: ITV...
  5. Ni Mwambe au Kikwete yupi muongo kuhusu mkataba wa Bagamoyo?

    Nimeona wengi wakimshutumu Mwambe, lakini inawezekana Mwambe akawa yupo sawa Ila kikwete ndio aliongopa. Tarehe 17/10/2015 ilifanyika hafla ambapo raisi mstaafu J Kikwete alizindua jiwe la Msingi kwa ajili ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Hadi kufikia hatua ya kuweka jiwe la Msingi tafsiri...
  6. Bunge lichunguze mkataba wa Tsh bilioni 65 ilioingia Tanesco na kampuni ya Wahindi kuna harufu ya wizi

    Kwa nini uongozi wote wa Tanesco ulifutwa kazi kuanzia Waziri Kalemani na Bodi yote na Mkurugenzi wake mkuu?! Kwanini wakuu wa Idara wote walihamishiwa utumishi ili wapangiwe kazi zingine?! Kwanini mara baada ya yote hayo kutendeka Tanesco kupitia safu mpya ya uongozi waliingia mkataba wa...
  7. Mkataba wa Versailles uliomaliza WWI ilipotiwa sahihi mwaka 1919

    Mkataba huu ulitiwa sahihi miaka mitano baada ya kifo cha Archduke Franz Fernand aliyekua mrithi wa Ufalme wa Hungary, Bosnia na Austria, hii ilikua falme moja kabla ya mgawanyiko. Sababu ya mauwaji ilikua vuguvugu la wanafunzi wa Bosnia waliotaka Bosnia iwe huru kutoka katika utawala wa...
  8. S

    Nini hasa tangible benefits tulizozipata kama nchi kwa kuingia mkataba na Barrick baada ya kuwatimua Acacia?

    Serikali ya awamu ya tano ilitumia nguvu na rasilimali kubwa ya nchi ikiwamo rasilimali fedha kuwatumia Acacia na kuingia mkataba na Barrick (wanaume) na tukapewa matumaini makubwa kuwa Barrick wataleta mapinduzi katika sekta ya madini hapa nchini. Sasa ikiwa ni takribani miaka miwili kama...
  9. S

    Rais Samia tafuta fedha au ingia mkataba na sekta binafsi wajenge uwanja wa Mpira wa kisasa Dodoma

    Raisi Samia, utafanya yote, ila kama unataka kuacha jina, basi fanya kila uwezalo kuhakikisha eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa kisasa mkoani Dodoma ujenzi huo unaanza na kukamilika kabla ya 2025. Kwa ukimya uliopo na muda uliokwishapita, ni vigumu sisi wananchi...
  10. S

    Kuhusu kazi za mkataba

    Habari zenu wakuu Samahani kuna kazi zilitangazwa na Tumbi hospital kwa walio omba tujuzane Kuna waloitwa?
  11. K

    Baada ya Ole Nasha kufariki ni wakati wa Mkataba wa bandari ya Bagamoyo kuwa wazi

    Waziri Ole Nasha ndiye aliyekuwa waziri ambaye kapewa majukumu ya ufuatiliaji wa mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo wenye makadirio ya thamani $10B. Watanzania wengi ni lazima tujiulize huyu waziri kijana kuondoka katika mazingira haya akiwa katikati ya mkataba mkubwa hivi. Kwa kutoa...
  12. Ushauri kwa Serikali: Ajira za mkataba ndiyo suluhisho pekee la uhaba wa ajira nchini

    Kila mwaka wanavyuo wengi wana graduate na kurundikana mtaani bila ajira huku wakihangaika kutafuta ajira bila mafanikio. Serikali kama mdau wa ajira nchini inapaswa kuja na wazo la ajira za mkataba kama ifuatavyo;- 1.Kwenye utumishi wa umma: Mfumo wa ajira za maisha uondolewe yaani nesi...
  13. Another milestone: Klabu ya Simba SC na shirika la ndege ATCL zaingia mkataba wa udhamini kwa miaka miwili

    Klabu ya soka ya Simba ya Dar es Salaam na shirika la ndege Tanzania, ATCL zimeingia mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya takribani milioni mianne. Katika makubaliano hayo, Shirika la ndege ATCL litakua ndio mshirika rasmi wa klabu ya Simba katika masuala ya safari za anga za ndani na nje...
  14. Mkataba wa Vunjabei kutangazwa kwenye Jezi ya Simba uko wapi?

    Bila kupepesa maneno ni suala la kutafakari na kuhoji, Vunjabei ametoa fedha kwa ajili ya haki za mauzo ya jezi za Simba. Hik kiwang cha Fedha atakipata ama na faida kama ataendelea kuuza jezi kwa msimu huu mzima. Tunachojiuliza ni kuwa mtengeza Jezi ameweka Logo yake kwa chini pale na...
  15. Dereva wa mtandaoni Uber/ Bolt natafuta gari ya mkataba au hesabu

    Mimi ni dereva wa mtandaoni - Uber/Bolt/InDrive na ping - natafuta gari ya mkataba au hesabu. Akaunti zote zipo active. uzoefu wa kutosha/uwaminifu mkubwa. Gari (IST/Raum/ )zitafaa zaidi sio lazima inaweza ikawa gari yoyote. Napatikana Dar es salaam/TEGETA. Mawasiliano 0656539177. Asanteni
  16. Kweli kuwa Luis Miqquiesone kavunja mkataba?

    Kuna fununu za chini ya kapeti kuwa dogo kashawishiwa na wakala wake anaye msimamia kuwa avunje mkataba kwa maelewano ya pande kuu mbili ili kijana apate kujiunga kwenye upande atakao pata maslahi zaidi. Tetesi zanasema hizi pande kuu mbili zina surprise kubwa sana kwa mashabiki wao, kwamba...
  17. Wakuu hili la Yusuf Mhilu limekaaje kwa sheria za soka?

    Wakuu Nielewesheni Wajuzi tafadhali! Zinazuka Taarifa za kimkataba hapa kuhusu Hii ishu ya Yusuf Mhilu na Sakata la usajili wake kama si Usahili . Nasikia hii ya Release Clause ,Kwamba hii haikuwepo kimkataba kuipa nguvu Dili upande wa klabu ya Kagera , SAWA Nasikia hii ishu ya Kipengele cha...
  18. Ezekiel Kamwaga ni mtalaam, apewe mkataba

    Msikilize Easy E -Ezekiel Kamwaga akiongea kwa staha, weledi na umakini mkubwa. Anaongea kama msomi na mtu mwenye exposure. Hakuna porojo, povu wala mapovu. Anaeleza issues na vipengele kwa kina katika mipaka yake ya usemaji. Hata kwenye page yake ya Insta mashabiki tunapata facts zilizonyoshwa...
  19. Kimeumana! Mbappe hataki kusaini mkataba mpya PSG, Real Madrid wadaiwa kumshawishi

    Hakuna maelewano mazuri kati ya Viongozi wa Real Madrid na PSG mpaka sasa, PSG wakiwashutumu Madrid kumlaghai kijana na ndio sababu amegoma kusaini mpaka sasa. Taarifa za leo asubuhi ni kuwa, msimamo wa Mbappe upo palepale licha ya Messi kusainiwa ila yeye anahitaji kuondoka kujiunga na Real...
  20. Utata wagubika soka ya Hispania. Real Madrid na Barcelona watishia kugoma mechi zao kuoneshwa

    Soka la Hispania lipo chini ya Shirikisho lao la soka RFEF, ambao wao wana LA LIGA kama chombo huru kinachosimamia Ligi kuu na Daraja la kwanza Sasa kutokana na uhuru huo LA LIGA chini ya Javier Tebas wana mambo mengi wanafanya kinyume na mitazamo ya wengi, huku wakisema ni kibiashara zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…