Utiaji Saini wa Mikataba na Makubaliano hiyo unalenga kuendeleza Uhusiano kati ya Mataifa hayo mawili. Miongoni mwa Makubaliano hayo ni Mkataba wa Mkopo wa Masharti nafuu wa Euro Milioni 178 kwa ajili ya kugharamia mradi wa ujenzi wa barabara wa mabasi yaendayo haraka
Vilevile, Tanzania na...
Amini usiamini hawa jamaa wanadai ni kampuni iliyoko serious na ilikuwa inataka kufanya kazi na simba ili biashara yao itangazwe..anyway sishangai sana maana wao hata kuikongoroa logo ya NBC hawakuona shida wanenda kisela mno, vuluvululu.
Embu soma upuuzi huu ulioandikwa na mpambe/afisa wa...
Kifuatia sakata la GSM aliyekuwa akiitwa mdhamini mwenza wa NBC Premier league kuvunja mkataba na TfF lwa kisingizio cha ukiukwaji wa mkataba baina ya pande mbili, hasa hasa kifuatia klabu ya Simba kugomea nembo ya kampunil iyo.
Naomba niwakumbushe ya kuwa Ata Yanga mwaka 2013 chini ya...
Home shoping center,silent ocean ,GSM ni wahuni waliivamia mpira ,famikia yao wanazi wa simba ila wanafadhili yanga kimaslahi tu
Baada ya uhuni uliofeli na kuepuka aibu wiki hii ,wakawatuma rafiki wa kabwili bwana manara na bumbuli ili watutoe kwenye reli,
Walipeni timu 15 pesa zao...
Andiko la Ali Kamwe
1. Mechi zote za nyumbani zinazoihusisha Simba zimekuwa zikichezwa bila ya nembo ya GSM kwenye mbao za matangazo hii ni kunyume na kifungu namba 4.1 na 4.8 cha makubaliano ya udhamini
2. GSM kwa makusudi imenyimwa haki ya kuonekana kwenye bango la mandhari la wadhamini kwa...
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amefunguka mambo kadhaa kuhusu udhamini uliositishwa.
Ni kuhusu GSM kutangaza kuvunja mkataba wa kuwa mdhamini mwenzake wa Ligi Kuu Bara:
“Simba hatukukubaliana na mkataba huo, tulipambana lakini wenzetu hawakuona kama tuko sahihi...
Ni wazi wananchi wa pande zote za Muungano huu hawaridhiki na huu Muungano na ni wanasiasa ndio wanaoung'ang'ania kwa masilahi yao, hivyo ni swala la muda Muungano huu kuja kuvunjika au kuzua mgogoro mkubwa.
Swali langu ni je, Muungano ukivunjika na ukatokea mgogoro labda katika kugawana...
Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi.
TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi.
Hivi Tanzania bado hatuna kampuni zenye uwezo wa kutoa ushauri wa kisheria hadi tutoe Ulaya...
Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba?
Jamani nasema kuna watu wa shirika fulani la umma wanaongezewa mikataba ili hali wameshastaafu. Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba ili hali wameshastaafu?
Gazeti la Mwananchi toleo la leo limekuja na habari kuwa serikali ya Rais Samia imeanza kupitia upya na kuhakiki mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uliotiliwa shaka na hayati Magufuli kuwa una mashariti magumu yanayolenga kuuwa taifa kiuchumi na ni kichaa tu anayeweza kusaini na...
Sihitaji kueleza stori ndeefu,mpira unachezwa hadharani.
Uwepo wake mpaka muda huu pengine kocha na uongozi wana maslahi naye.Ila kwa sisi mashabiki BIG NO.
Ni hivi,mashabiki kwa umoja wetu tunasema hili ni garasa. Najitahidi kuandika kwa staha.
Mkataba uvunjwe mara moja kwa maslahi ya sisi...
Mimi n kijana mpambanaji hapa Mjini! Na ata kuna threads nyingine za nyuma mlishanishauri na sasa ni vyema tu mambo yanaenda vizuri namshukuru Mungu! Kwa uwepo wenu na mawazo yenu
ila mimi leo nlikua naomba mnisaidie pia make najuaa hii n community kubwa na inawatu wazito pia ndani yake!
Mimi...
Kweli ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hivyo mama kwa kauli yake kuwa lazima aunde baraza la mawaziri ambalo anahisi litamuunga mkono kuchapa kazi mpaka 2025 lazima liwe la vijana kama huyu aliyemteua kuwa waziri wa nishati.
Waziri ambae alipoingia tu madarakani Tanesco ikapata mkandarasi wa...
Amevunja mkataba mchana huu na kila kitu kimeenda sawa kwa pande zote mbili.
Ikumbukwe mechi ya Galaxy alikuwa benchi la ufundi la Simba na Gomes akiwa jukwaani ,anapigiwa simu na Gomes afanye mabadiliko akawa hapokei simu,tuliona hata kwenye tv Gomes anapiga simu haipokelewi,mwisho wa siku...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika miezi michache aliyokaa kwenye Serikali ya Awamu ya Sita, ameona mambo mengi ambayo huko nyuma hayakuwa yakifanyika lakini sasa hivi yanataka kuanza, akisisitiza hatokubali
Amesema hayo baada ya kushuhudia utiaji saini Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Reli...
Kumbuka kuwa thamani ya nyumba ya biashara inaweza kuathiriwa na muda wa mkataba wa upangishaji wa nyumba husika.
Nyumba ya biashara yenye mkataba wa upangishaji wa miaka mingi inakuwa na thamani kubwa ukilinganisha na nyumba ya biashara yenye mkataba wa miezi michache tu.
Vilevile jambo hili...
BOOMPLAY, MERLIN WAONGEZA MKATABA WA LESENI SASA KUZIFIKIA NCHI 47 BARANI AFRIKA
Boomplay, App inayoongoza kwa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika na Merlin ambaye ni mshirika huru wa kutoa leseni ya muziki kidijitali, leo wametangaza upanuzi wa makubaliano ya leseni ambayo...
Habarini wakuu,
Naombeni msaada kujibiwa swali hili
Hivi kuna vyombo vya kisheria vinavyotetea haki za kibarua almaarufu deiwaka? Naombeni mnitajie tafadhali.
Nimejaribu kuchunguza nimeona vibarua hawa wananyanyasika sana kutokana na shida zao za maisha kwa kutopewa vifaa vya kuwaweka salama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.