mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Ajira kwenye Utumishi wa Umma iwe kwa MKATABA

    TUNA TATIZO KUBWA LA HUDUMA DUNI KWENYE TAASISI ZETU ZA UMMA/SERIKALI...KIINI CHA TATIZO NI MFUMO WA AJIRA ZA SO CALLED "PERMANENT AND PENSIONABLE" Nafahamu Taasisi mbalimbali za serikali zina targets lakini hali haiko hivyo kwa watumishi wao ambao target yao ni kuishi kazini hadi kustaafu...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama unaingia Mkataba ulipwe Mshahara kidunchu unategemea nchi yako ifanyeje?

    Habari Wakuu! Mambo yetu yanasikitisha mno. Yanahuzunisha Sana. Tumezoea kulalamika. Tumezoea kulaumu wengine huku Sisi tukifanya yaleyale. Taikon sitaki kumlaumu yeyote. Siku zote nitakuwa msema ukweli hata Kama unaumiza. Ukweli ndio dawa pekee ya kuikomboa nchi. Hakunaga maendeleo pasipo...
  3. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuandaa mkataba kati ya mpangaji na mwenye nyumba

    Makubaliano kati ya mpangaji na mwenye nyumba ni jambo muhimu sana kufanyika. Makubaliano kati ya watu hawa wawili ndio muongozo wa mahusiano, na jinsi ya kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoweza kujitokeza kipindi ambacho mpangaji atakuwa katika nyumba ya mwenye nyumba. Uwekezaji...
  4. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kusainiwa mkataba wa EPA, kuwabeza wawekezaji wa ndani

    KUSAINIWA MKATABA WA EPA,KUWABEZA WAWEKEZAJI WA NDANI. Nimeona ACT wakitoa hofu yao kama ile ya Hayati Mkapa ya kuhofia bidhaa nyingi nchini hivyo kutowalinda wawekezaji wa ndani. 1. Tujiulize faida za kuruhusu bidhaa za nje kuingia nchini yaani import goods nyingi nazo ni zipi? 2. Kwanini...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo: Mkataba wa Mashirikiano ya kibiashara na Jumuiya ya Ulaya (EPA), unaruhusu upotevu mkubwa wa Mapato

    Utangulizi: Mkataba wa Mashirikiano/Muungano wa Kiuchumi (European Partnership Agreement-EPA) ni makubaliano ya kiuchumi yanayolenga kuunda eneo huru la biashara (Free Trade Area) kati ya nchi za umoja wa Ulaya (EU) na mataifa ya Afrika. Makubaliano haya yanajadiliwa na kuingiwa kupitia...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Country boy adai mkataba wake alio uingia Konde Gang ulikuwa unamruhusu kutoa nyimbo 2 kwa mwaka

    Aliyekuwa msanii wa Konde Gang ,Country boy wakati akihojiwa na Millard Ayo, Anadai mkataba wake ulikuwa unamruhusu kuachia nyimbo mbili tu kwa mwaka. Naona anaanza kutoa siri za kambi polepole, juzi kadai kapokonywa gari, leo tena anadai mkataba ulikuwa unambana kutoa nyimbo. Koh koh koh...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Ufaransa: Tanzania yasaini Mkataba wa Mkopo wa Masharti nafuu wa Euro Milioni 178

    Utiaji Saini wa Mikataba na Makubaliano hiyo unalenga kuendeleza Uhusiano kati ya Mataifa hayo mawili. Miongoni mwa Makubaliano hayo ni Mkataba wa Mkopo wa Masharti nafuu wa Euro Milioni 178 kwa ajili ya kugharamia mradi wa ujenzi wa barabara wa mabasi yaendayo haraka Vilevile, Tanzania na...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Vijembe vya mpambe/Afisa wa GSM aliyekuwepo kwenye kutia saini mkataba hewa wa udhamini

    Amini usiamini hawa jamaa wanadai ni kampuni iliyoko serious na ilikuwa inataka kufanya kazi na simba ili biashara yao itangazwe..anyway sishangai sana maana wao hata kuikongoroa logo ya NBC hawakuona shida wanenda kisela mno, vuluvululu. Embu soma upuuzi huu ulioandikwa na mpambe/afisa wa...
  9. luangalila

    JamiiForums Tanzania Hata Yanga waliwahi kugomea mkataba wa AZAM tv na TPL board mwaka 2013

    Kifuatia sakata la GSM aliyekuwa akiitwa mdhamini mwenza wa NBC Premier league kuvunja mkataba na TfF lwa kisingizio cha ukiukwaji wa mkataba baina ya pande mbili, hasa hasa kifuatia klabu ya Simba kugomea nembo ya kampunil iyo. Naomba niwakumbushe ya kuwa Ata Yanga mwaka 2013 chini ya...
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Haji manara na Bumbuli walitumwa na GSM kufanya press ili kuzima story za kuvunja mkataba

    Home shoping center,silent ocean ,GSM ni wahuni waliivamia mpira ,famikia yao wanazi wa simba ila wanafadhili yanga kimaslahi tu Baada ya uhuni uliofeli na kuepuka aibu wiki hii ,wakawatuma rafiki wa kabwili bwana manara na bumbuli ili watutoe kwenye reli, Walipeni timu 15 pesa zao...
  11. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Kishindo kingine cha Rais Samia katika SGR; TRC yaingia mkataba na kampuni ya China ununuzi wa behewa 1,430

    Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  12. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Sababu 8 zilizoifanya GSM kuvunja mkataba na TFF

    Andiko la Ali Kamwe 1. Mechi zote za nyumbani zinazoihusisha Simba zimekuwa zikichezwa bila ya nembo ya GSM kwenye mbao za matangazo hii ni kunyume na kifungu namba 4.1 na 4.8 cha makubaliano ya udhamini 2. GSM kwa makusudi imenyimwa haki ya kuonekana kwenye bango la mandhari la wadhamini kwa...
  13. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Simba waziponda Sh milioni tatu za GSM, zilikuwa ndogo sana, wataja lengo la mkataba

    Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amefunguka mambo kadhaa kuhusu udhamini uliositishwa. Ni kuhusu GSM kutangaza kuvunja mkataba wa kuwa mdhamini mwenzake wa Ligi Kuu Bara: “Simba hatukukubaliana na mkataba huo, tulipambana lakini wenzetu hawakuona kama tuko sahihi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibari ukivunjika,na ukatokea mgogoro, mgogoro huo utasuluhishwa na mahakama ipi au mkataba uko kimya juu ya hili?

    Ni wazi wananchi wa pande zote za Muungano huu hawaridhiki na huu Muungano na ni wanasiasa ndio wanaoung'ang'ania kwa masilahi yao, hivyo ni swala la muda Muungano huu kuja kuvunjika au kuzua mgogoro mkubwa. Swali langu ni je, Muungano ukivunjika na ukatokea mgogoro labda katika kugawana...
  15. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania TPDC yaingia mkataba na Kampuni ya Uingereza ya Baker Botts kwa ajili ya ushauri wa Kisheria

    Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi. TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi. Hivi Tanzania bado hatuna kampuni zenye uwezo wa kutoa ushauri wa kisheria hadi tutoe Ulaya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa watumishi wa umma waliofikisha umri wa kustaafu kuongezewa mkataba?

    Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba? Jamani nasema kuna watu wa shirika fulani la umma wanaongezewa mikataba ili hali wameshastaafu. Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba ili hali wameshastaafu?
  17. Kijogoodi

    JamiiForums Tanzania Serikali imeanza kuhakiki mkataba wa bandari ya Bagamoyo

    Gazeti la Mwananchi toleo la leo limekuja na habari kuwa serikali ya Rais Samia imeanza kupitia upya na kuhakiki mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uliotiliwa shaka na hayati Magufuli kuwa una mashariti magumu yanayolenga kuuwa taifa kiuchumi na ni kichaa tu anayeweza kusaini na...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bocco uvunjwe haraka kwa maslahi ya sisi mashabiki

    Sihitaji kueleza stori ndeefu,mpira unachezwa hadharani. Uwepo wake mpaka muda huu pengine kocha na uongozi wana maslahi naye.Ila kwa sisi mashabiki BIG NO. Ni hivi,mashabiki kwa umoja wetu tunasema hili ni garasa. Najitahidi kuandika kwa staha. Mkataba uvunjwe mara moja kwa maslahi ya sisi...
  19. arnjaam

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari ya kuendesha kama Uber au Bolt kwa mkataba

    Mimi n kijana mpambanaji hapa Mjini! Na ata kuna threads nyingine za nyuma mlishanishauri na sasa ni vyema tu mambo yanaenda vizuri namshukuru Mungu! Kwa uwepo wenu na mawazo yenu ila mimi leo nlikua naomba mnisaidie pia make najuaa hii n community kubwa na inawatu wazito pia ndani yake! Mimi...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumepatikana, mawaziri watakaokwenda na Rais mpaka 2025 ni kama huyu aliyesaini mkataba wa bil 69 kufunga software Tanesco

    Kweli ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hivyo mama kwa kauli yake kuwa lazima aunde baraza la mawaziri ambalo anahisi litamuunga mkono kuchapa kazi mpaka 2025 lazima liwe la vijana kama huyu aliyemteua kuwa waziri wa nishati. Waziri ambae alipoingia tu madarakani Tanesco ikapata mkandarasi wa...
Back
Top Bottom