robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 740
- 1,214
Kwanza lazima tuelewe kwamba Mkataba siyo sera ya kisiasa ya cahama chochote. NI suala la kiuchumi. Hivyo kuujadili siyo siasa, ni mjadala wa kiuchumi.
Kama ni uchumi nani asiyefahamu kwamba Katoliki ni moja ya madhehebu yanayotoa mchango mkubwa kwenye sekta za kiuchumi, Afya na Elimu? Wanaisaidia serikali kutoa huduma hizo. Sasa kama serikali inakubali mchango wao wa maendeleo, kwa nini wasitoe maoni yao kwa utendaji mbovu wa serikali?
Kinachosikitisha kuna dini na madhehebu wao hawana lengo lolote zaidi ya kuwapeleka watu Mbinguni, leo hii nao wanaisema Katoliki iache kuingilia mambo ya siasa. Siasa ipi? Kama dini yako au dhehebu lako halina mchango wa kiuchumi kwa serikali acha wahusika waseme maoni yao! FINITO!