Baada ya kuona Baba Levo ameteuliwa kuipeperusha bendera ya chama cha Mapinduzi kulitetea jimbo la Kigoma Mjini, hili limenifanya niamini kwa 100% kuwa kuna majimbo yameandaliwa kwa ajili ya ACT Wazalendo na CHAUMMA.
Kwa akili ya kawaida sioni ni nini CCM wamekilenga kwa Baba Levo zaidi ya...
Haya wazee wa CC timu mtueleze kuna nini leo.
Wazee wa CCM mikataba ya Kimataifa imewashinda na hii convoy ya Nyerere road iwashinde?
Kunani leo?
Maana hizi gari za heavy duty mara nyingi tunaziona moja moja tu lakini leo nne tano zimeongozana.
Katika kura za maoni za CCM zilizopigwa hivi punde kama unataka kujua maana ya upatikanaji wa uongozi kwa njia ya rushwa nenda Mbulu, mkoa wa Manyara. Mbunge wa jimbo Mbulu mjini Zakaria Isaay rushwa alizotoa kuongoza kura za maoni inatisha. Mwenyekiti wa kitongoji moja alipewa mpaka Sh. Milioni...
Utupaji hovyo wa taka kando ya Mto Matarawe umekuwa tatizo kubwa linalozidi kushamiri kila siku. Wananchi wanaoishi karibu na mto huo wamegeuza kingo za mto kuwa sehemu ya kutupia taka ngumu, taka za nyumbani, plastiki, mabaki ya chakula na hata vinyesi.
Tabia hii si tu inaharibu mandhari ya...
bomu
halmashauri ya manispaa ya songea
kimya
manispaa
manispaa ya songea
mjini
mto
mto matarawe
nec mazingira
rc ruvuma
songea
uchafuzi
uchafuzi wa mazingira
Mchakato wa kutafuta Mgombea Ubunge Pale Bukoba Mjini uligubikwa na hujuma kutoka kwa Byabato .
Pamoja na kwamba Byabato hakuwa sehemu ya wagombea Ila alikuwa akimwaga pesa ili kushinikiza Mbunge anayemtaka yeye na sio ambaye anakubalika na chama na wananchi.
Swali la kujiuliza hizi Pesa...
Korogwe Mjini, 4 Agosti 2025
Katika siku iliyojaa hamasa, matumaini, na shangwe, jina la Charles Mhando Njama limeandikwa upya kwenye historia ya siasa ya Korogwe Mjini.
Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamempatia ushindi wa kishindo katika kura za maoni akiwaacha mbali sana wapinzani...
Miaka imeenda Sana .
Tumepoteza ladha katika siasa zetu , Pale Bukoba Mjini kulikuwepo VITA Kali Sana Kati ya Lwkatare na Kagasheki hii ilikuwa zaidi ya Simba na Yanga.
Kura zilikuwa zikipigwa haijulikani nani atashindwa.
Wote hawa wamekalishana Benji. Mmoja anaingia mmoja anaingia benchi.
Mtia nia nafasi ya Ubenge Kigoma Mjini kupitia CCM, Clayton Revocatus Chipando almaarufu kama Baba Levo amesema wananchi wa Kigoma Mjini wanajisikia raha sana linapotajwa jina la Rais Samia kwani kuna vitu vingi amewafanyia wananchi hao na kusema kuwa yupo tayari kumsemea kwa mambo...
Habari za weekend wakuu.
Maneno yasiwe mengi. Kichwa cha habari kinajieleza vizuri.
Unaweza kumtoa mwanamke kijijini ukamleta mjini, hatasumbua sana, maisha yataenda.
Lakini, gari lazima litoke Japan. Namaanisha lazima liwe Japanese. Yaani liwe Toyota, Subaru, Nissan, Honda, et al. Achana...
Asee wakuu kwema?
Kijana abandoned bango 100, kila bango 1 shilingi za kitanzania 800. Bandika bango 100 uchukue 80000 mzee mambo yasiwe mengi..
Kazi inataka watu wa dar wenye ari na nguvu na uhitaji wa kazi.
Tunapendelea kufanya kazi na wa kiume zaidi. Kazi itaanza jumatatu na mwisho wa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha mfanyabiasha maarufu Salum Kinyoro 'Kibakuli' kuwania ubunge wa Jimbo la Handeni mjini.
Salum atachuana na wagombea wengine watano.
Katibu wa Itikadi na Uenezi, Amos Makala ametangaza majina hayo leo Julai 29, 2025.
Aliyekuwa kada wa CHADEMA Peter Msigwa amepenya kwenye hatua ya awali katika jimbo la Iringa mjini. Miongoni mwa aliopita nao ni Jesca Msambatavangu mbunge anayemaliza muda wake hivi sasa.
Wakuu, nimeamua kujiBabu Tale. Nimefikiria mbali sana kimaisha, ikanibidi nitafute wasanii chipukizi wanaopanua makoo yao kwenye viwanja vya mpira nyakati za jioni nikaona wacha niwasapoti kimuziki huenda nitapata chochote hapo baadae hususani kwenye ma show pindi watakapokuwa wakubwa
Au kama...
Wakazi na wenyeji wa mji wa Lindi..
Kiwanja cha kujenga nyumba ya makazi kinahitajika..
Kama unacho au kuna mtu unayemjua anacho na anauza basi unakaribishwa mtu wa nguvu.!!
Naandika huu Uzi kama tahadhari,
Hawa Jamaa " Arusha Home Design" wanaojinasibu kwa kutengeneza TV cases za kisasa na Majiko ya kisasa ni matepeli,
Niliwalipa 2.5M wanitengenezee TV cases, huu ni mwezi wa 3 wameshindwa kukamilisha kazi Yao,
Nikasema niwaase Wana Arusha na watanzania kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.