Mjini shule. Ndivyo unavyoweza kusema. Ukija mjini njoo na akili usije na jembe. Huku mjini ni mahali pa kutumia akili zaidi kuliko nguvu.
Kuna aina mpya ya utapeli imeibuka hapa mjini kupitia michango feki ya harusi. Mtu akijiona amepigika sana kimaisha hutafuta senti kidogo za kuchapisha kadi...
Dereva akimchana live Chalamila
MY TAKE
Chalamila kaagiza Malori yote yanayo egesha kando ya barabara yakamatwe.
Lakini ICD zote zipo kando ya barabara na hazina Parking.
Maseva 50 wanaweza kukutana wote kwenye ICD ili washshe au wapakie. Unategemea nini kitatokea.
Mfano MOFAT saaa hivi...
Chalamila anasema, ili kupunguza msongamano wa magari mjini, mabasi yaishie Magufuli stand, halafu wawe na shuttle za kupeleka watu mjini. Hivi mnamwelewa huyu bwana? Basi moja la abiria 45 likifika Magufuli stand litahitaji kwa wastani shuttle mbili ili kufikisha watu mjini. Sasa basi moja kwa...
Mwaka Fulani nikiwa Dar coco beach, nilibahatika KUMUONA Mukoko Tonombe akifanya mazoezi mepesi nadhani hicho ndio kilikua kipindi katoka majeruhi ya muda mrefu.
Kwa pembeni yake alikuwepo mtoto mzuuri alikua ameshikilia viatu vya mukoko, mi nilidhani yule demu ni mkongo mwenzake kumbe la hasha...
Naona lengo la ccm kuwapumbaza watanzania linaenda kutimia.
Angalieni jinsi baadhi ya wana Mbeya wanavyo kimbilia kupata mgao wa bagia na soda kutoka kwa Mbunge wao kupitia ccm.
Ni jambo jema kwa viongozi, taasisi na wananchi kuhakikisha kuwa mali zinazotumika kwa ajili ya kutoa huduma za umma zinasimamiwa kwa uwazi na kwa kuzingatia sheria na taratibu za Serikali.
Kutokana na taarifa zilizotolewa kuhusu magari yaliyokabidhiwa kwa ajili ya kuhudumia wananchi wa Jimbo...
Kufanya kazi katika maeneo ya vijijini huku makazi yako yakiwa mjini kunaleta changamoto nyingi za kifedha na kijamii. Baadhi ya changamoto hizo ni:
1. Gharama kubwa za kununua usafiri
Watumishi wengi wanaofanya kazi katika maeneo ya pembezoni hulazimika kumiliki usafiri binafsi, hasa pikipiki...
Tuchukulie mfano wa mtu anayesafiri km 30 hadi 35 kila siku ndani ya mji.
Kwa mwezi (siku 30), atakuwa amesafiri takribani km 900.
Petrol - 4000 kwa lita
Gesi - 1545 kwa Kg
Sasa tuangalie upande wa gesi.
Kwa gari la CC 1900, mfano Nissan X-Trail, kwa mafuta inaweza kukulamba lita 1 kwa km...
gari
gesi
gharama
gharama za mafuta
kila mwezi
kubadili
kuokoa
kutumia
mafuta
matembezi
matumizi
mbili
mfumo
mjini
msingi
muhimu
mwezi
naomba
naweza
sababu
sababu za
shilingi
wakati
yangu
zaidi ya
Habarini wakuu, kiwanja kinauzwa Dodoma Mjini mtaa wa Chinyoya uliopo karibu na Uzunguni kina ukubwa wa Sqm 800 pia kina Hati, Huduma za maji na umeme zipo zote kwenye kiwanja kwahiyo ukinunua huna haja ya kuvuta umeme wala kuunganisha maji.....
Bei yake ni 60M kama ukihitaji nicheki Dm tuongee.
Ni wiki sasa inakwenda, wakazi wa kata ya Sombetini hatuna huduma ya maji safi. Hakuna taarifa yoyote toka kwa mamlaka husika ya maji safi na maji taka ya jiji la Arusha (AUWSA) huku wananchi tukitaabika na adha ya kupata maji safi kwa matumizi mbalimbali ya shughuli za kila siku.
Tunaomba...
Anonymous
Thread
arusha
arusha mjini
maji
mjini
ukosefu
ukosefu wa maji
wilaya
Mimi ni kijana mwenye umri 28 nipo iringa ni fundi sofa na vitanda vya sofa kwa pamoja, najua kutumia cherehani na kukata vitambaa kwa jiri ya kushonea sofa, hivyo kama Kuna mtu anahitaji mtu wa kazi iyo naomba anitumie ujumbe, inbox kwa mawasiliano zaidi, hata kama ipo kazi nyingine yoyote...
Kuna malalamiko sana kuhusu nauli za dadadala mjini Arusha.
Daladala zinatoza nauli Tshs 1000 badala ya nauli elekezi ya Tshs 700.
Mamlaka zipo kimya kwenye hili. Simu zikipigwa hawapokei.
Je hii ni sahihi?
Tunaziomba mamlaka zilitazame hili jambo limekuwa mwiba mchungu kwa wanachi wa...
Anonymous
Thread
arusha
daladala
kim
kuhusu
malalamiko
mamlaka
mjini
nauli
sana
Anahitajika binti mwenye uwezo mkubwa wa kutumia simu na computer.
Ofisi yetu inafanya kazi 2 ambazo ni kutoa huduma ya internet Morogoro mjini na kukata tiketi za treni ya SGR.
Anahitajika mdada smart anayefahamu kutumia computer na simu vizuri, awe sharp na asiye na hasira za hapa na pale...
Habari,hongereni Kwan kazi nzuri ya kufichua maovu,Mimi ni mdau wa Vituo afya wilaya tarime
Napenda kuziomba mamlaka za juu zifuatilie kwa makini mwenendo wa usimamizi wa vituo binafsi vya afya katika Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara.
Katika kipindi cha takribani miaka miwili , zaidi ya vituo 11...
Anonymous
Thread
afya
binafsi
makini
mamlaka
mara
mjini
mkoa
mkoa wa mara
mwenendo
sauti
tarime
tarime mjini
usimamizi
vituo
vituo vya afya
wadau
wamiliki
wilaya
Wenyeviti wa Mamlaka ya mji mdogo mjini Maswa mkoani Simiyu wamegomea agizo la Mkuu wa wilaya ya Maswa,Dkt Vicent Anney la kuwataka kutotumia mihuri katika kutekekeza majukumu yao wakidai inawanyima nguvu ya kufanya kazi.
Katika mazingira ya mjini ambapo mara nyingi tunaendesha kwa mwendo mdogo chini ya 45 km/h na kusimama-simama kutokana na matuta, mashimo, wapita njia, foleni, bodaboda, bajaji, makutano ya barabara, n.k.
je ni bora kuacha Overdrive ikiwa ON au kuizima (OFF)?
Overdrive (O/D) ni gia ya juu...
Mamlaka ya maji safi na taka Mtwara mjini imeshindwa kutoa maji kwa wakazi wa shangani east, sijui na maeneo mengine kwa muda wa takriban miezi miwili.
Afya za watu hawa zipo hatarini kwani hakuna vyanzo vingine vya maji wanaweza kupata watu hawa.
Jitahidini kuja na majibu ya changamoto hii...
Anonymous
Thread
afya
hawana
kimya
maisha
maji
maji safi
mamlaka
miezi
miezi miwili
mjini
mtwara
mtwara mjini
muda
safi
taka
wananchi
Hapa Mpwapwa Mjini tuna kero kubwa ya kuwa na dampo lango la stendi ya mabasi taka zinakaa muda mrefu sana na imekuwa changamoto ya muda mrefu sana harufu kali inahatarisha afya za watumiaji wa eneo hili gari la taka haliji kwa wakati kubeba taka mpaka imekuwa kero.
Mda mwingine inapita hadi...
Anonymous
Thread
dampo
kero
kubwa
mabasi
mjini
mpwapwa
stendi
stendi ya mabasi
tuna
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.