mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vibaka wamekithiri katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja

    Mimi ni mdau wa JamiiForums, naishi Zanzibar mkoa wa Mjini Magharibi, Shehia ya Kwahani. Kero yangu kwa mamlaka za Usalama na hasa Jeshi la Polisi Zanzibar - mbona lipo kimya sana huku kukiwa na matukio ya baadhi ya wananchi mitaa hiyo wakitembea usiku na mchana Kuna vibaka wanawapora Mali...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Julai 31, Rais Samia kuzindua bandari kavu ya Kwala, malori kuingia mjini sasa basi

    Mkuu wa mkoa wa Pwani bwana Abubakar Kunenge kwenye mkutano na waandishi wa habari amebainisha kuwa mnamo tarehe 31 July Rais Samia atawaongoza watanzania kuzindua mradi mwingine wa kimkakati wa bandari kavu ya Kwala. Mradi huo ni wa aina yake kwani unatarajiwa kupunguza foleni jijini Dares...
  3. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais TLS ampigia chapuo Nkuba Ubunge Kahama Mjini

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amewaomaba wananchi wa Kahama Mjini kumchagua Sweetbert Nkuba aliyewania kugombea ubunge endapo atapitishwa na chama chake cha CCM. Wakili Mwabukusi ameandika katika ukurasa wake wa Facebook baada ya Nkuba kumtembelea ofisini...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Utoaji wa misaada makanisani na misikitini ni kigezo cha kuteulia kugombea ubunge kupitia CCM Moshi Mjini?

    Ibra Line, ambaye ni mtia nia kupitia CCM, anajulikana sana kwenye mitandao ya kijamii akitoa mamilioni ya fedha kama michango katika makanisa na misikiti huko Moshi Mjini. Hii inakuja wakati ambapo amejaza fomu ya kugombea ubunge katika eneo hilo. Swali langu kwa wanamoshi ni hili: Je...
  5. MNEKI

    JamiiForums Tanzania Ujinga umezidi sana mjini,

    Wana hoja
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Tumalize hapa hapa Msemo Maarufu Mjini Kwa Sasa.

    GT Da ila huyu mzee ni kiboko twafa.
  7. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Kumbe kule gizani kulikuwa na giza lingine bila wao kujua sasa ni Mtu kati lazma akubali na kuna lingine zito zaidi linakuja vipi Mtoto wa mjini?

    Wakuu things are cottonfire the ground is hot,tutarajie something worst as soon as possible. siyo yeye tu anayetetemeka kwa presha na hasira kali habari ni kwamba ile press ya Slow Slow ni cha mtoto kuna mtu mzito anataka kuachia bomu na hapatakalika tena. unaambiwa hadi yule mtoto wa mjini...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Matunda matatu yasiyopatikana kiholela mjini

    Haya matunda ukiwa mjini unaweza usiyale miaka kadhaa.
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Dogo Patten na Mjini FM yazua mjadala Mitandaoni, ya muiuibua Haji Manara

    Wakuu! Baada ya msanii chipukizi wa Singeli, Dogo Patten, kususia mahojiano kwenye kipindi cha Gen Talk cha Mjini FM, gumzo limeibuka mitandaoni likihusisha watangazaji na mashabiki. Tukio hilo limezua hisia kali baada ya vipande vya mahojiano kuonyesha watangazaji wakimshinikiza msanii huyo...
  10. haszu

    JamiiForums Tanzania Watoto wengi hasa waliokulia mjini hawatakua na kumbukumbu nzuri ya utotoni.

    Kwa tuliobahatika huwa kuna muda unakaa, unakumbuka nyumba yenu/ kijiji chenu utotoni wakati unakua, watoto wenzio uliokua ukicheza nao na maisha ya ujumla ya utotoni. Kwa bahati mbaya kwa sasa watoto wengi wanalelewa kwenye nyumba lakini hawana nyumbani. Wazazi wanahama nyumba za kupanga mara...
  11. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump alimuuliza Zelensky iwapo anaweza kushambulia mjini Moscow' - Financial Times

    Gazeti la Uingereza la Financial Times linathibitisha kuwa Rais wa Marekani Donald Trump hivi majuzi alimuuliza Volodymyr Zelensky iwapo Ukraine inaweza kushambulia Moscow na St. Petersburg. Wa kwanza kuripoti juu ya mazungumzo kama haya alikuwa mwandishi wa gazeti la Washington Post David...
  12. apathy

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya vifusi barabara za Kondoa mjini

    Huku Kondoa mjini hapa kunao wakandarasi wamepewa kazi za barabara ila sasa ni wiki ya pili wamemwaga kifusi barabara za mtaani na wamemwaga katikati ya barabara mpaka pikipiki hazipiti inaleta kero sasa tumevumilia tumechoka kama hawawezi kuvisambaza kwa haraka wasimwage vifusi bila mpangilio
  13. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Wakuu hizi baiskeli zinapatikana huko mjini Dar es salaam?

    Naomba kufahamu kama baiskeli aina hii zinapatikana hapa Tanzania, hii picha nimeitoa Alibaba. Poor Brain dosho12 Harmful Mama Ndege secretarybird
  14. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO LATRA tumsaidie hili la Daladala kukatisha ruti Mbeya

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) tunaomba mtusaidie katika hili maana sasa imekuwa mazoea Kwa madereva daladala. Daladala za Nsalaga kwenda Stand kuu zimekuwa zinakatisha ruti kwa kuishia Mwanjelwa badala ya kufika Stand Kuu. Ukiachana na hizo daladala za Nsalaga Kuna hizi za kutoka...
  15. shamzugi

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za usimamizi wa usafiri wa abiria kutoka Moshi mjini kwenda wilaya jirani mko wapi abiria wananyanyasika

    Habari za muda huu wakuu?? Jumamosi ya tarehe 5/7/2025 nilisafiri kuelekea mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Hai mjini wa Bomang'ombe. Nilifika Moshi mjini majira ya saa Moja usiku. Pale stendi ndogo nilikuta magari machache ya abiria yanayoelekea maeneo mbalimbali ya jirani. Gari za kuelekea...
  16. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania MWIZI WA GARI AKIFANYA MICHEZO YA HATARI HUKO MJINI MELBOURNE AUSTRALIA

    Mwanaume wa miaka 36, huko mjini Melbourne nchini Australia amekamatwa na polisi baada ya kuruka katika gari ambayo inasadikika iliibiwa. Mtuhumiwa huyo alianza kukimbizwa na polisi baada ya kushindwa kusimama kwenye trafiki. Mapema ijumaa polisi walipewa taarifa ya kuibiwa kwa gari katika...
  17. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Vijana mjini

    Nawasalimu, Leo nimeona niwape Tip ya Kijanja kuhusu life la mjini, sio kubwa sana ila nzuri na tamu mnoo. Ukiwa na uwezo walau jenga kibanda kijijini,Sio ulikozaliwa. Iwe sehemu mpya ambayo hata rafiki yako wala mkeo hapajui, Room moja tu inatosha kuanzia. Huko wakujue kwa jina tofauti, na...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania maisha ya kijijini ni magumu zaidi kuliko mjini kwa ujumla

    Kuna watu huwa waanamini maisha ya vijijini ni mepesi na bora kuliko mjini, sijui hizi fikra zinatokana na nini ila kwa ukweli ukiacha vijiji vichache vya mikoa kama ya Kilimanjaro, Njombe, Mbeya labda na vya mikoa mingine michache maisha kwa ujumla wake vijijini ni magumu sana kuliko mjini...
  19. W

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU nawasihi Fikeni Wilaya ya Mpwapwa Dodoma

    Wilaya ya Mpwapwa ina Majimbo mawili, Mpwapwa Mjini na Kibakwe. Hamtakosa kuondoka na VICHWA kadhaa vya mtoaji na mpoleaji Sisi ngoja tuendelee kukusanya Ushahidi.
  20. ZOYA internet

    JamiiForums Tanzania Wi-fi router za yas saiv ndio habari ya mjini, utaenjoy hadi basi!

    UNAONA UNAVYOHANGAIKA KUNUNUA BANDO KILA SIKU? WI-FI ROUTER ZA YAS (TIGO) NDO KITU PEKEEE KINGEKUSAIDIA Kua na wi-fi router kuna faida nyingi sana, kama unajiweza kidogo, jitahidi usikose kifaa hiki. 1. Ukiwa na wi-fi unaweza kukuza biashara yako. kwasababu wateja watapenda kuja ofisin...
Back
Top Bottom