Kitabu cha Biashara ya Vituo vya Mafuta Vijijini na Mjini

Kitabu cha Biashara ya Vituo vya Mafuta Vijijini na Mjini

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
9,274
Reaction score
12,240
Katika ulimwengu wa sasa, mahitaji ya nishati na mafuta yanaongezeka kila siku kutokana na ongezeko la idadi ya watu, ukuaji wa uchumi, na ongezeko la shughuli za usafirishaji mijini na vijijini. Biashara ya mafuta ni mojawapo ya sekta zenye mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa na katika kuongeza ajira. Kitabu hiki kimeandaliwa kwa lengo la kuwapatia wajasiriamali wapya na waliopo maarifa sahihi ya kuanzisha na kuendesha biashara ya mafuta kwa usalama, ufanisi, na faida.
Kupitia mwongozo huu wa hatua kwa hatua, utajifunza kuhusu aina za vituo vya mafuta, taratibu za vibali na leseni, gharama za ujenzi, changamoto na namna ya kuzitatua, mbinu za kuvutia wateja, na mikakati ya kudumu ya biashara hii nyeti. Tunaamini kuwa kupitia maarifa haya, utachukua hatua na kuanza safari yako ya mafanikio katika biashara ya mafuta.

KITABU_CHA_BIASHARA_YA_VITUO_VYA_MAFUTA_2026_2.png

Mawasiliano yetu:
Bright and Genius Editors;
Email: bandg.editors@gmail.com;
WhatsApp : +255687746471/+255747744895
Clean Energies Group;
Email: clean.energies.group@gmail.com;
WhatsApp : +255687746471/+255747744895
 
Kwenye kuomba kibali cha ujenzi wa kituo EWURA; nini natakiwa kuwanavyo on hand?
Kwenye kitabu chako hujasema namna gani naweza kuomba uwakala kwa supplier mkuu?
Kibali cha EWURA na Nyaraka za kuwa nazo on hand: Maelezo haya yanapatikana katika Sura ya Tisa (Sura ya 9) ya kitabu. Namna ya kuomba uwakala kwa Supplier mkuu: Mwongozo huu wa kibiashara unapatikana katika Sura ya Kumi (Sura ya 10), chini ya Kipengele cha 10.3.
 
Paragraph 10.3 kinazungumzia Taratibu za Kurejesha Mkopo wa REA. Hii ni current version ya 3 ya 2026
 
Back
Top Bottom