Area 56
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,555
- 4,085
Nimepita Arusha kuelekea kanda ya ziwa, kuanzia pale KIA (Kilimanjaro International Airport) mpaka nimefika Arusha town hakuna trafiki barabarani.
Zaidi ya kukutana na barrier za Wanajeshi pale Kikatiti na hapa Monduli.
Tena wanajeshi ni wengi sana kuanzia hapo Tengeru mpaka mjini.
Hakuna cha tochi, ni wewe tu kumaliza kisahani!!
Hali sio hali wakuu