mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Watoto mjini Nantong mkoani Jiangsu China wapata mafunzo yenye furaha shambani wakati wa mapumziko ya majira ya joto

    Agosti 8, 2022 watoto huko Nantong mkoani Jiangsu China walijifunza ujuzi kuhusu kilimo katika uwanja wa mazoezi wa “shamba la furaha” katika kijiji cha Hangqiao mjini Rugao. Kwenye mapumziko hayo ya majira ya joto, shamba hilo lilifunguliwa bure kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, na...
  2. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Ni fursa zipi zipo Iringa Mjini?

    Matumaini yangu u mzima wa afya.. mimi ni kijana wa kiume kwa sasa naishi Iringa mjini, Kihesa ila bado sio mwenyeji sana wa hapa. Dhumuni la andiko langu ni kuwaomba wakazi na wenyeji wa Iringa mjini kunisaidia kujua fursa yoyote inayopatikana hapa Iringa mjini itakayoniwezesha angalao mkono...
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenzangu soma usomavyo ila kaa ukijua mjini koneksheni

    Kila mwaka maelfu ya vijana wanahitimu masomo yao katika vyuo mbalimbali ila changamoto imekuwa kwenye kupata ajira. Mfumo wa nchi hii kama hauna mtu yeyote wakukuunganisha na sekta yeyote aiseeeh utasota sana kupata ajira hata kama utakuwa na vigezo kupita wengine. Nina kaushuhuda kangu haka...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Karia ni Mtoto wa mjini

    Yaani anakujaza upepo unaingia kingi unamtukana hadharani anakuangalia tu. Sekretariate inakupeleka kamati ya nidhamu. Unaibuka kuwa hukumtukana Anakupigia simu kuwa njoo home tuyamalize. Unaenda nyumbani kwake kama bibi harusi ukiwa na mshega,unakaribishwa juice mtoto wake anakupiga picha na...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Trekta ya umeme yaoneshwa katika Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa mjini Luoyang, China

    Wafanyakazi wa Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa waliendesha kutoka mbali trekta ya umeme aina ya ET1004-W mjini Luoyang, mkoani Henan, katikati ya China. Katika miaka hii ya hivi karibuni, Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa kimetengeneza chip ya kwanza ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mohammed Dewji: Sio lazima kuja mjini ndio utajirike

    Msomeni hapa alichosema: "Vijana wengi tunakimbilia mjini, na takwimu zinaonesha kuwa vijana wengi ambao wapo nje ya Dar es Salaam na matajiri zaidi kuliko waliopo mjini, sio lazima kuja mjini ndo utajirike mimi nilianza kulima katani" - @moodewji
  7. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Malori yasiingie mjini yanaharibu barabara

    Ushauri kwa Rais kwa kuwa Sasa bandarini pamekuwa so soft shamba la Bibi hatuna namna ila tulindieni barabara yetu, hayo malori yasiingie mjini, tumieni treni.
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tunduru: Judith Sichalwe (29) sasa kuhamishiwa Mjini, ni baada ya kuzaa Mapacha wanne

    MTATIRO AAGIZA MWALIMU ALIYEZAA PACHA WANNE KUHAMISHIWA MJINI Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru kuanza mchakato wa kumhamishia kwenye shule iliyoko Tunduru mjini Mwalimu Judith Sichalwe mwenye miaka 29 (mwanamke...
  9. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama ya kukodi boti kwa ajili ya birthday party hapo mjini Darisalama

    Wakuu msaada kuna hela nilikuwa nimetunza kwa ajili ya kununua kiwanja lakini baada ya kufanya tathmini ya kina nikaona nitakuwa nimwfanya kitu Cha kitoto hasa ikizingatiwa hapa duniani tunapita tu, sisi hapa duniani ni wasafiri. Msaada nataka kujua Gharama ya kukodi boti hapo mjini kwa ajili...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika Mashariki lafunguliwa mjini Addis Ababa

    Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika Mashariki lilifunguliwa mjini Addis Ababa, nchini Ethiopia. Tamasha hilo litafanyika kwa siku kadhaa na kuonesha thamani ya sanaa na utamaduni ya watu wa Afrika Mashariki kwa kuonesha bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na watu wa Afrika, vyakula na dawa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Uber wamerudi mjini kimya kimya?

    Majuzi juzi hapa nilisikia uber wamefunga biashara Tanzania kutokana na sheria kandamizi, za kutaka wachukue 20% ya mapato ya dereva na wao wanataka 25% kama sijakosea. Jana Uber wamenitumia meseji kwa kuniapa offer za safari za mjini kwa discount kubwa tu. Swali langu, je uber wamerudi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya utamaduni wa jadi "mwujiza na Afrika" yafanyika mjini Shenyang

    Juni 6, 2022, maonesho ya kitamaduni ya Egungun ya Afrika Magharibi "mwujiza na Afrika” yalifanyika mjini Shenyang. Mama Kanga
  13. jokotinda_Jr

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Njombe mjini lodge gani nzuri ya kufikia

    Kwa wenyeji wa njombe ni Lodge gani nzuri naweza fikia pia na leta shukrani zangu kwa yule ndugu wa JF aliye nipa namba za watu wa ABC VIP class hakika ni usafiri mzuri 🙏🙏
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kwanini hizi nyumba za wageni zilizopo nje ya mji, zinajaa haraka kuliko za mjini?

    Wiki iliyopita, niliamua kutoka nje ya mji kidogo kwenda kujipumzisha. Nilipofika huko, nikawa natafuta nyumba ya wageni iliyojificha, ili nipate utulivu wa kutafakari, maisha ya hapa duniani. Kuulizia nafasi, zimejaa; nikaenda nyingine tena kama tatu, zimejaa; daah, nikatamani nirudi mjini...
  15. Eric Cartman

    JamiiForums Tanzania Watoto wa kweli wa mjini

    Watoto wa mjini Dar waliamshwa na magoma hayo. Kama ukucheza hayo na umri wako wa Sasa ni 40-50 elewa wewe sio wa mjini. Sitaki kusema majina ya watu wenye majina yao maana leo wapo kivingine. Otherwise kama ukuyapiga hayo ukiwa Dar elewa we mluga mluga tu sio wa mjini: Vinginevyo wenyewe...
  16. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Salon kali ya kiume inauzwa- Mbeya mjini (Igawilo)

    Salon kali ya kiume inauzwa kwa bei ambayo ni sawa na bure. Salon ipo Mbeya mjini (Igawilo soko kuu) barabarani kabisa. Salon inakila kitu ndani kama vile FLAT TV MPYA, HAIR CUT MACHINE, SALON CHAIRS, SALON WAITERS SOFA, HEATER, SUBWOOFER nk. BEI NI SHILLING MILLION 1 NA LAKI 2 ( KODI YA...
  17. Ngarob

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya afikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na kufunguliwa kesi mpya. Amkataa Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kufunguliwa mashitaka mengine yanayomkabili, leo Jumatano Juni Mosi, 2022 Sabaya amefikishwa Mahakamani hapo Sa 11:40 Asubuhi. =========================== Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Morogoro Mjini

    Nauza nyumba yangu iliyopo mkoani Morogoro. Mimi ndio mmiliki wa hiyo nyumba. Ukubwa wa kiwanja ni 1500qm. Nyumba ni ya ghorofa. Vyumba vitano (vinne ni master bedroom) Dinning na kitchen ni open plan Sitting room Public toilet. Kuna garage na chumba vimeunganishawa inaweza kuwa kama servant...
  19. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta mpenzi (girl friend) awe Iringa mjini

    Natafuta mpenzi I mean a girlfriend- awe Iringa mjini au karibu na maeneo ya Iringa, umri uwe kati ya miaka 22-27, asiwe na mtoto Wala kuwahi kuzaa, awe na mwili wa kawaida sio mnene, Wala sio mwembamba sana, rangi yoyote tu Haina shida, elimu yake kuanzia kidato Cha nne na kuendelea, awe...
  20. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Babati: Viongozi BAVICHA Taifa wakamatwa na Jeshi la Polisi kwa kufanya mkusanyiko usio na kibali

    Leo, viongozi wa BAVICHA, John Pambalu na ujumbe wake wamekamatwa na jeshi la Polisi Babati wakiwa kijiweni, wakijadili na vijana wenzao masuala ya nchi yao. Polisi Babati wanasema hili ni kusanyiko lisilokuwa na kibali, hivyo John Pambalu (mwenyekiti wa BAVICHA) na wenzake 7 wamekamatwa kwa...
Back
Top Bottom