Watoto mjini Nantong mkoani Jiangsu China wapata mafunzo yenye furaha shambani wakati wa mapumziko ya majira ya joto

ldleo

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
1,010
1,034
Agosti 8, 2022 watoto huko Nantong mkoani Jiangsu China walijifunza ujuzi kuhusu kilimo katika uwanja wa mazoezi wa “shamba la furaha” katika kijiji cha Hangqiao mjini Rugao. Kwenye mapumziko hayo ya majira ya joto, shamba hilo lilifunguliwa bure kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, na kuwafundisha wanafunzi ujuzi wa kilimo na ujuzi wa kazi na kuongeza furaha katika maisha yao ya mapumziko ya majira ya joto.
VCG111395529029.jpg

VCG111395529026.jpg
 
View attachment 2318710
View attachment 2318709
Saf
 
Back
Top Bottom