Habarini ndugu zangu,
Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya mkonze,Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho
(i)Cement, misumari, binding wire, kench wire...
Heshima Kwenu
Mwenye kujua lodges au gesti nzuri zilizopo Geita mjini na bei yake nitashukuru.
Pia nitashukuru msaada wa namba za hiyo lodge kama mnazo.
Ahsante
Haina haja ya salamu.
Hawa wavaa vibaya na wasema hovyo wanatabia nyingi mbovu. Hapa nielezee kidogo nauli. Wandugu kama hujui bei watakukanyaga watakutoza kiasi wanachotaka wao.
Kabla mafuta hayajapanda Kwa sababu za vita ya Ukraine vs Russia nauli ilikuwa 750 kutoka pande zote za mbali. Hapa...
Hivi inakuaje mkoa uliozungukwa na Congo na Burundi kuwa chini vile? Singida wasemaje?
Nilipata fursa ya kutembelea mji wa Kigoma wiki iliyopita nikaanza na Nyakanazi, Kibondo, Kasulu, Manyovu na Kigoma mjini.
Kuanzia kibondo mpaka kasulu ni vumbi la kutosha na kuna Kilometer Nyingi saana...
Kama wewe ni muajiriwa, na una watoto wanne nakuendelea, na unaishi mjini, fanya yafuatayo:-
Tafuta chanzo kingine cha mapato, iwe biashara, udalali n.k
Tafuta shamba ulime, au nunua chakula kwa wingi pale kinapokuwa kimeshuka bei na uweke stock, ili kuweza kupata chakula cha kutosha; haya...
WAKATI uchanguzi ndani ya chama cha mapinduzi ccm ukitarajiwa kufanyika wiki ijayo kwa ngazi ya wilaya,katibu wa Itikadi na uenezi wa chama hicho manispaa ya moshi,seleman Aman anazongwa na mikasa mbali mbali ikiwamo kudaiwa kuendesha biashara ya vinywaji baridi na kisha kuondoka kwenye nyumba...
Septemba 12, Zhengzhou, samaki wanaolishwa kwa chupa wameonekana katika bustani ya wanyama mjini Zhengzhou China. Wafanyakazi waliweka chakula cha samaki kwenye "chupa za kuwalisha" kwa fimbo ndefu. Watalii wanapoweka chupa ndani ya maji, samaki wengi wanagombea chakula.
Kichwa cha habari kinajieleza. Natafuta Nike Air Jordan ndefu. Najua Original siwezi bei au ata kuipata ikawa changamoto lakini angalau inayoendana endana na "uorijino".
Ndio nishacheki za wakina Robby Fashion na David Sports wear zile za 35 naona plastic kabisa.
Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwa na wimbi kubwa la Imani potofu ambayo watu kutoka nje ya kisiwa Cha Pemba wanaifanya iendelee kuota mizizi siku hadi siku. Hiii ni kutokana na baadhi ya watu kuamini kuwa Pemba ndio kitovu au zizi la itikadi za matendo ya kishirikina hali ambayo imekuwa...
Mwenyekiti CCM wilaya Shinyanga Mjini, Bwana Abui, unamchafua na unatumia jina la Mh. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano vibaya kwa maslahi ya nani? unaeneza siasa za udini kwamba Mwk wa CCM taifa anataka waisilam wachaguliwe kwa asilimia kubwa ili wampitishe 2025 kwa kura nginyi...
Habari wana jf, asalaam aleykum Muslimina.
Nianze moja kwa moja suala langu, nimekuwa na utaratibu wa kuomba overdraft miaka 4 iliyopita kiasi cha shilingi million 15.
Nimekuwa nikichukuwa kutumia fedha hizo kwa shughuli zangu za biashara ya mpunga na mahindi pamoja na korosho, kama kawaida...
26 August 2022
Tunis, Tunisia
MKUTANO WA TICAD
Mh. Kassim Majaliwa yupo mjini Tunis akimwakilisha rais wa Jamhuri ya Muungano ktk mkutano wa TICAD
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa akipokewa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mhe. madame Najla Bouden Romdhane katika uwanja wa ndege wa Carthage, jijini...
Habari wakuu,
Kumekua na hii tabia inayokuwa kwa kasi inayofanywa na wadada wanaofanya kazi za nyumbani. Tabia ambayo imegharimu na inaendelea kuwagharimu watu, hivyo wanajamvi muwe makini na watu hawa mnaowachukua kwa lengo la kusaidia kazi za nyumbani.
Iko hivi, utakuwa na uhitaji wa kupata...
Agosti 10, 2022, katika mji wa Hefei, eneo la makazi la Hupotan lilishirikiana na kituo cha huduma za matibabu katika mtaa wa Hupo kutoa huduma ya kupima afya kwa wazee, ambapo watu wanaojitolea na madaktari waliwatembelea wazee wenye umri mkubwa na kuwapima afya nyumbani kwao.
Chumba cha sanaa cha "Stone House" kilichobadilishwa kutoka handaki lisilotumika la kujikinga na mashambulizi ya anga huko mjini Chongqing, China kimewavutia watu wengi kupiga picha. Handaki hilo lenye urefu wa mita 68 na upana wa mita 3.2, ni sanaa iliyoundwa na picha, uchoraji, taa, nk.
Hali...
Agosti 9, 2022, katika mji wa Meishan mkoani Sichuan China, wanawake wanashiriki kwenye mafunzo ya ustadi wa kutunza nyumba katika shule ya mafunzo ya kisiasa katika Kaunti ya Renshou.
Kuanzia mwaka 2022, serikali ya wilaya ya Renshou ilitegemea vituo vya mafunzo ya ustadi wa utunzaji nyumba na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.