mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Mangi shangali

    JamiiForums Tanzania Namba 6 ishafika mjini..

    Habari zenu.. Simba wamesema leo watatawanya bahari kwa wachezaji watakao watambulisha. Ina maana ni wachezaji wanzuri,sasa simba wajiandae kisaikolojia vinzuri maana yanga watatambulisha namba 6 yao itakuwa boom kwa simba. Hao wachezaji wa 3 wa simba watafunikwq na mchezaji namba 6 wa yanga...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arusha, Mjini Mrisho Gambo atoa gari la kusafirishia maiti Jimboni kwake

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo ametoa msaada wa gari la kusafirisha mwili wa marehemu kwa wanajimbo wake. Hata hivyo, wana Arusha wameuponda msaada huo huku wakihoji kwa nini asipeleke madawa au magari ya Ambulance, na baadhi wametafsiri kwamba huo ni uchuro. Mmoja ya wachangiaji katika...
  3. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Ni Samsung aina gani inabamba kwa Sasa mitaani huko mjini?

    Wadau nina bajeti ya 600k Hadi 800k mwisho, nahitaji Samsung inayobamba Sasa hvi huko mjini Darisalama, Ni aina gani ya Samsung. Wadau wa Samsung naomba mukije huku.
  4. Satoh Hirosh

    JamiiForums Tanzania Kifo cha pesa Beach Kidimbwi

    Jumapili fulani nilikuwa na rafiki yangu mmoja aliyepiga mshindo wa hela ya mahali tumepozi mtaani. Jamaa akaniambia yooh Satoh wacha tukatembee mahali mida ya jioni, nikamuuliza wapi anataka twende maana mimi ni mwenyeji hapa mjini, akajibu twenzetu kidimbwi. Nilisita maana sikutegemea kabisa...
  5. Just Distinctions

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuzielewa Submeter za Umeme aje hapa

    Habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kuhusiana na submeter ambazo zinaonesha ni kiwango gani mpangaji anatumia umeme, Je zinafanyaje kazi?, je zipi ndio nzuri na ni brand gani ndio imara zaidi? Wapi zinapatikana na gharama yake ikoje?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Habari wana JF, Natafuta mwanamke ambaye yupo tayari ku settle na kuwa mke wangu halali na kujenga familia pamoja. Sifa za huyo mwanamke ziwe kama ifuatavyo: Mwenye hofu ya Mungu Anayejielewa na mwenye nia ya dhati ya kuwa na mume Elimu: KUANZIA DIPLOMA na kuendelea Awe na shughuli halali -...
  7. E

    JamiiForums Tanzania SoC03 Niende kijijini, ama nibaki mjini?

    Kuzaliwa mjini, sehemu ambayo imetawaliwa na usasa inaweza kuonekana ni bahati kwa wengi. Hii ni kwa sababu ya urahisi wa kupata vitu vingi ikiwemo huduma, taarifa na kadhalika. Lakini kwangu mimi sizioni faida hizo. Kwangu kuwa mjini ni kitu kinachoitesa sana akili yangu. Sio bahati. Kabisa...
  8. Sajo

    JamiiForums Tanzania IRINGA MJINI: Wafanyabiashara wagoma kufungua maduka na biashara zao kupinga uonevu wanaofanyiwa na Manispaa ya Iringa

    Leo tarehe 15.06.2023 wafanyabiashara wa Iringa mjini wamegoma kufungua biashara zao baada ya askari wa manispaa ya Iringa jana kuvunja na kuharibu biashara zao kwa kuvunja vibaraza vya maduka. Jambo hilo limeharibu mali zao wafanyabiashara na pia kufungwa kwa biashara kumesababisha kukosekana...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wakosoa Machinga kuondolewa mjini

    CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema hakikubaliani na uamuzi wa kuwaondoa wafanyabiashara wadogo (machinga) katikati ya mji badala yake serikali inatakiwa kutenga maeneo ambayo yana watu wengi kwa ajili ya kundi hilo kufanya biashara. Katika mkutano uliofanyika jijini Mwanza jana, Kiongozi wa chama...
  10. I

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi ya Kuboresha Elimu na Kusoma Katika Mazingira Magumu Mjini na Vijijini

    Elimu ni ufunguo wa maendeleo binafsi na maendeleo ya jamii kwa ujumla. Hata hivyo, kuna changamoto nyingi katika kutoa elimu bora, hasa katika mazingira magumu mjini na vijijini. Hali hii inaweza kusababishwa na ukosefu wa vifaa vya kujifunzia, walimu wenye ujuzi mdogo, na mazingira ya...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba kujua sehemu za starehe zenye pisi kali Tanga mjini

    Wasalaam, Habarini wajameni, kwa wiki mbili ntakuwa safarini tanga got some friends from Ethiopia, Europe and Uganda a crew of 15 Baharia tunafanya regionwise city beak travels, and our exploring trip bogins with tanga, naombeni kujua maeneo recent yenye vyombo vikali. Hawa wageni nataka...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Yale makelele yote ya mjini ameyazima Rais Samia

    Baada ya ndugu zetu uto kufanikiwa kushinda ubingwa wa medali na kisha kualikwa chakula cha jioni na Rais Samia. Makelele yalikuwa mengi ohhhhh tumealikwa na mama sisi ndio timu ya taifa mablabla mengi. Baada ya kula ubwabwa na kupongezana kwa sana, sherehe ikaharibika mwishoni kabisa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya wa Tabora Mjini apinga kustaafishwa

    Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Tabora mjini Bw. Komanya Erick Kitwala apinga uamuzi wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumstaafisha bila kumpa sababu . Kesi aliyofungua Komanya Erick Kitwala ilisikilizwa mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania ambapo pia Komanya Erick Kitwala anataka arudishwe...
  14. Chief Wingia

    JamiiForums Tanzania Boxer BM 100cc na madereva bodaboda wa kanda ya ziwa hasa Bukoba na Mwanza mjini

    Habari zenu wadau. Last week nilikuwa pande za Kagera (Bukoba) na viunga vyake pia nilipita na jijini Mwanza (Mwanza town). Nikiri kuna mengi nilijionea ila la kushangaza ni madereva wengi wa bodaboda kutumia pikipiki za Boxer BM 100cc katika harakati zao za kuingiza kipato. Tofauti kabisa na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi kuna Bia za kuchakachua hapa mjini

    Sina nia ya kuwatisha wanywaji wenzangu wa bia. Lakini nimekuwa ninafanya ulinganifu ninapokunywa bia nikiwa Kenya na nikiwa Tz. Mfano ladha ya Heineken ya Kenya ni tofauti . Pia Heineken ya sehemu kama Serena hotel au Supermarket kubwa unakuta ina utofauti wa Ladha na hata harufu na...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nliingizwa Mjini kizembe sana. Nikajutia sana gharama zangu

    Basi miaka ya nyuma ilitokea nikawa na rafiki kwenye mtandao. Huyo dada alikuwa anaonekana mambo mazuri sana. Tunachat n.k na alibahatika kupata rangi ya mitume wengi. Basi tukadumu na kupeana mawasiliano ya simu. Na simu za hapa na pale zikawa zinapigwa. Basi mwezi wa pili nikaona si mbaya...
  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Makete Amshukuru Rais Samia Kwa Fedha za Kuboresha Elimu na Taa za Barabarani Makete Mjini

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mbunge wa Makete Festo Sanga ameandika ujumbu wa kumshukuru Rais Samia kwa kujibu kwa vitendo ombi la Wana-Makete la kuboresha zaidi miundombinu ya Elimu pamoja na barabara za mji wa Makete la kuwekewa taa zinazoongeza usalama na kuwezesha kuendelea kwa shughuli...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna Barber shop nzuri Arusha mjini

    Naomba kufahamu Barber shop nzuri Arusha mjini.( Wanaozingatia usafi wa hali ya juu, wenye customer care nzuri na wanaonyoa vizuri)
  19. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania OMBI: Mbunge wa Mbeya mjini, Kata ya Iyela haina maji wiki ya tatu sasa!

    Kwako Tulia Ackson, Wananchi wa kata yako ya Iyela inayoongoza kwa kukupa kura nyingi kwa wabunge wa ccm haina maji takriban wiki ya tatu! Hivyo kama umamua hutagombea 2025 kaa kimya ILA kama ndiyo wewe utagombea naomba ufwatilie swala la maji mana wanachi wako wanateseka! By Msemaji wa wasio...
  20. Ambiente Guru

    JamiiForums Tanzania Wanzibari igeni Bara kuondosha makelele Mjini (noise nuisance)

    Zanzibar is a tourist destination, however the level of noise is intolerable. Nimelala hapo Maisara kesho yake nikafungisha virago. Makelele ya miziki toka hizo kumbi za CheCheMe Maisara, Kilimani, Gofu na Gynkana Club ni shida, tena washindana. Pili milio ya bodaboda usiku kucha ni kero...
Back
Top Bottom