mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kamata kamata ya mkaa na wauza mkaa kwenye stoo za wauza mkaa mjini ni uonevu

    Habari zenu wanajukwaa, Aisee tokea jana pande za Goba jamaa wa maliasili wana operation kazi ya kutaifisha mkaa kwenye store za mikaa around Goba. Jana wikua makongo road na Goba center leo wapo Madale road pande za Marga. Aisee hatakama ni sheria hii ni too much jamaa wanataka vibali vya...
  2. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nina shida sana, nauza hiki kiwanja kipo Arusha Mjini

    Salaam Wakuu Nauza Kiwanja shilingi milioni 7.5 fixed Arusha mjini. Mahali Kilipo ni Engosheratoni Kata ya Sinoni Arusha. Ukubwa wa Kiwanja ni 550sqm. Haki miliki ya kiwanja kinatambulika na serikali ya mtaa, hii ni kwa maeneo yote ya engosheratoni. Ukaribu wa Kiwanja kipo karibu na shule ya...
  3. JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja changu Arusha mjini kwa Tsh 7.5 milioni

    Kiwanja ni changu mwenyewe na kina ukubwa wa 520 SQM. Kipo Engosheraton kata ya Sinoni. Jirani kabisa na Shule ya Sekondari ya Misheni ya Edmund Rice. Kiwanja kimezungukwa na Huduma zote za kijamii. Wasiliana nami kwa 0744718928. karibuni sana.
  4. JamiiForums Tanzania Hawa hapa 30 bora,(Top Bongo Music Beast) watoto wa mjini, bila hawa Bongoflava isingekuwepo

    Hii hapa ni list ya wasanii wa bongo hiphop, kizazi cha zamani kilichoshine wakati wote.. waasisi wa Bongoflava. Kipindi hicho Tanzania kukiwa na radio tatu tu na TV moja ya burdani, yes *EATV Credits to MJRecords, Bongo Records.... Mambo yalikuwa sawa sana mpaka pale muovu alipoingia...
  5. JamiiForums Tanzania Ni mashine gani hapa mjini ukiwa nayo unaweza kujipatia 50000/-isiyo na presha kwa siku?

    Nje ya magari na vifaa vya aina hiyo, Je ni mashine gani au chombo gani cha utendaji wa kazi za kiufundi au ukandarasi ukiwa nacho alhamdulilah utapumua.
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa watu wa mkoani wanaoishi Dar: Pangeni mjini na nje ya mji

    Mwaka 2020 jirani yangu alifukuzwa na mama mwenye nyumba wake (muhaya) usiku. Alikuwa na mke na watoto watatu. Hakuwa na pa kwenda. Kwa kuwa alikuwa na mazoea na Mimi (tulikuwa tunakunywa wote plus wote Yanga) akaja kuomba msaada kwangu. Msaada nilio mpa: 1. Nilimpa Hifadhi yeye na...
  7. JamiiForums Tanzania Oparesheni 255 yateketeza CCM Musoma Mjini bila huruma yoyote, imezikwa rasmi

    Tulionya mapema sana lakini tukapuuzwa , Tulisema kwamba Chadema ikipewa nafasi ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara , ccm haina pa kutokea , hii ni kwa sababu ccm ndio chama kilicholeta kila dhiki , shida , njaa , ugumu wa maisha , ukosefu wa dola , tozo na kila aina ya uchafu kwenye nchi...
  8. JamiiForums Tanzania Kiwanja robo Heka kinauzwa korogwe mjini

    Ni hatua chache kutoka magunga hospitali Kuna umeme na maji, kipo flat Bei Haipungui Tsh 2,500,000 tu Nipigie 0746 266 267
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kijana unakaaje mjini halafu unakosa vitu hivi?

    HIVI KIJANA UNAKAAJE MJINI ALAFU UNAKOSA VITU HIVI? Anaandika, Robert Heriel Huwaga nashangaaga Sana. Kijana unakaaje mjini alafu unapiga kelele na kulalamika kuwa hakuna connection na Maisha magumu ilhali unakosa vitu hivi? Ni kwamba haujui umuhimu wake? Haya sitaki kukuchosha; 1. Huna...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya silaha za NATO zilizotekwa na Urusi yafana mjini Moscow

    Nchi za magharibi zimeshuikwa na kugugumizi!! hazijui ziseme nini. Akitambulisha maonesho hayo, waziri wa ulinzi wa urusi alisema silaha Marekani na NATO kwa ujumla hazifui dafu mbele ya makali ya silaha za urusi. Alisema hata silaha za kizamani enzi za kisoviet bado zina makali kuliko silaha za...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Lindi Mjini aungana na wadau kuishauri Afrika kuwekeza katika utafiti mbegu asili

    NCHI za Afrika zimeshauriwa kuwekeza katika utafiti wa mbegu asili kwa kuwa zina lishe bora, uhakika wa chakula na salama kwa afya ya mtumiaji. Ushauri huo umetolewa na wadau mbegu asili kutoka nchi 25 za Bara la Afrika, Marekani na Ulaya ambao wanakutana jijini Dar es Salaam kwa siku tatu...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kazi yako kubwa inayokuweka mjini ni ipi?

    Nmechoka kuficha ndugu zangu mimi kazi kubwa mjini nabeti hakuna kingine uboss wote nautolea hukoo kwenye igaming jamani, Ni pata potea hapakaliki kivumbi uko kwenye maslots mpaka ugali upatikane...😆😆😆 Niambie slot yako moja unayoipenda na inapatikana kampuni ipi. Je ushindi wako mkubwa pia...
  13. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mabomu ya machozi yanarindima Magu mjini

    Habarini wanajamvi, Leo kuna gari Moja ndogo ya abiria (hiace)imegonga watoto wawili wa shule na kuwaua karibu na sheli moja hivi. Sasa kuanzia asubuhi wananzengo wamefunga Barabara zote kuu hasa Ile ya Mwanza-Musoma. Gari linalolazimisha kupita linapigwa mawe balaa. Magari mengi yashaharibiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Tupe mbinu zako unawezaje ishi mjini bila kazi ya kudumu?

    Unawezaje kuishi mjini, kama DSM, bila deal la maana 🤔🤔🤔🤔
  15. JamiiForums Tanzania Operesheni 255 yaendelea kutikisa Geita Vijijini, Dkt. Musukuma akalia kuti kavu

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ameingia kwenye Jimbo la Geita Vijijini na kuwasha moto mkubwa wa Katiba Mpya, wananchi wamepata wasaa wa kupiga kura hadharani ya kuukataa Mkataba wa kitumwa wa Bandari na DP World. Kabla ya kura hiyo, Wananchi wa Jimbo hilo walilalamika kwamba, ukiacha...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Mzeru awapa tabasamu UWT Wilaya ya Morogoro Mjini

    MBUNGE MZERU AWAPA TABASAMU UWT WILAYA YA MOROGORO MJINI. MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Mzeru amekabidhi Cherehani ya kudarizi yenye thamani ya shilingi 500,000 katika Uongozi wa UWT Wilaya ya Morogoro Mjini. Makabidhiano hayo yamefanyika 02 Agosti, 2023 katika Ofisi ya...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinahtajika Tanga mjini

    Habari zenu, Kiwanja kinahtajika Tanga mjini isizid 1.5 - 2M. Mwenye nacho anisaidie. Asanteni
  18. JamiiForums Tanzania Tulio badilisha majina baada ya kufika mjini tujuane hapa

    Naanza na mimi mwenyewe kijijini kwetu naitwa Marwa Mahende ila mjini naitwa Emmanuel John.
  19. JamiiForums Tanzania Kijana mwenzangu focus na kilichokuleta mjini, mambo ya mjini waachie watu wa mjini

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, kwa kifupi tusichoshane!. Kijana mwenzangu napenda kukupa ushauri wa bure kabisa. Ushauri napenda kuwapa vijana (KIKE & ME) ambeo umetoka mkoani kuja mjini Dar es salaam kwa ajili ya kutafuta fedha,hapa mjini hatujaja kutafuta maisha,maisha hata mikoani yapo tena...
  20. JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla ni mtanzania mwenye kila sababu ya kuwa na pesa mjini ila ameshindwa kuwa mbunifu.

    Moderator naomba huu uzi msiufute maana umekusudia kumsaidia huyu bwana kuingia kwenye orodha ya watu wenye mafanikio kiuchumi. Pascal Mayalla wewe sio mtu wa kusubiri uteuzi, ulianza vizuri sana enzi za PPR ukateleza kidogo (ni kawaida kwenye maisha) ila sasa kwa upande wako kadiri unavyopata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…