mjinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania DRC: Wanajeshi walinda amani wa Tanzania wajeruhiwa katika mapigano na M23

    M 23 imewajeruhi wanajeshi wetu huko Kivu ya Kaskazini. Ifahamike m23 ni wahuni wanaoungwa mkono na Serikali ya Kigali na ikumbukwe wahuni hao m23 kipindi cha Kikwete tuliwatwanga hali iliyopelekea mgogoro mkubwa wa kidipromasia baina ya Serikali ya Kikwete na Serikali ya Kigali. Sasa baada ya...
  2. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Swali la mjinga: Mwenye mamlaka ya kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya ni nani?

    Swali la kijinga toka kwa mjinga. Kama hujui maana ya ujinga na mjinga, unaweza kunicheka kwa kuona au kudhani najitukana mwenyewe. Lakini ukweli wa mambo ni kwamba ujinga si tusi. Binadamu wote wana ujinga. Hakuna mtu ajuaye kila kitu. Sasa basi, leo ngoja niulize. Katika Tanzania yetu hii...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Imeandikwa ishi nao kwa akili, sikusikia yamenikuta

    Toka hapo awali nilikuwa nina ndoto na hamasa ya kufikia mafanikio kwa kutatua matatizo ya Jamii inayonizunguka. Nilianza kupenda habari za anga za juu na Sayari KWA ujumla , nilijisomea kila kitu kuhusu anga kilichokuja mbele yangu . Katika harakati za kutafuta mwekezaji nikaangukia KWA huyu...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku kwahiyo na Wewe ulivyokuwa Ukilalamika sana Kipindi cha Rais Kikwete ulikuwa na Shida na Mjinga au?

    "Watanzania wa Siku wamekuwa ni Watu wa Kulalamika tu sijui kwanini na sababu za Kulalamika huwa ni Mbili tu ambapo Kweli Mtu huwa ana Shida na nyingine ni Mtu tu kuwa Mjinga na kutojua Mambo mengi" Mzee Butiku Kada wa CCM na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere. Chanzo: ITV...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Msaada; Naomba kueleweshwa kwanini fomu za kuwania Uspika zinatolewa na CCM badala ya Bunge?

    Mpaka dakika hii mwenzenu sielewi dhana ya form za kugombea nafasi ya uspika kutolewa kwenye ofisi ya CCM. Mimi dhana yangu ni kwamba ukishakuwa mbunge wa chama fulani nafasi yeyote ile ya uongozi ikitokea bungeni ni suala la kumuona katibu wa bunge na kuchukua form na kugombea. Misingi ya...
  6. mtimawachi

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole na USEMI wa 'Mfalme mzee mjinga'

    Habari wanajamvi! Nimemsikiliza kijana mwenzetu ndugu POLEPOLE katika hoja zake nyingi sana na mwisho hapa juzi akihojiwa. IKANIBIDI nirudishe nyuma kumbukumbu hadi kipindi cha mchakato katiba mpya ulioongozwa na mzee wetu WARIOBA. Katika ile tume,POLEPOLE alipewa ''airtime'' sana...
  7. stakehigh

    JamiiForums Tanzania CAG Assad alisema ni mtu mjinga pekee ndo anaweza kufanya manunuzi cash: Anajifunza nini Entebbe Airport?

    Uganda to surrender Entebbe International Airport over Chinese cash - ------------- Top Ugandan officials have been boxed into a corner of bother after lenders in China rejected their request to re-negotiate ‘toxic clauses’ in the $200m (Shs713b) loan picked six years ago to expand Entebbe...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Masjid Rawadha na Soko Mjinga Kisutu

    MASJID RAWDHA NA SOKO MJINGA KISUTU Masjid Rawdha ni huo msikiti kushoto ambao zamani ulikuwa ukijulikana kama Masjid Badawy na hili ndilo jina nililolikuta mimi wakati napata akili. Kulia ni soko maarufu likijulikana kama Soko Mjinga. Majengo yote hayo yamebadilika kwa kuvunjwa yale ya zamani...
  9. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Jifanye Mjinga Unufaike

    Kuna huyu Dogo ambaye ukimwekea Noti ya shilingi elfu kumi na Sarafu ya shilingi mia tano yeye anachagua ile sarafu ya mia tano anaacha ile noti ya elfu kumi. Dogo aliwashangaza watu wengi na kila ikitokea mtu haamini jambo lile basi yule dogo anaitwa na vile vile anachagua mia tano. Siku...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

    Ni wazo baya sana kuwachanja chanjo ya Corona askari wa majeshi yetu kwa sababu hatujui usalama wa hizo chanjo. Baba Gwajima amesema anapinga kwa 100% vyombo vya dola kuchanjwa kwa sababu tunaweza kupoteza taifa. Askofu Gwajima amesema haya Kanisani kwake leo. Askofu Gwajima amewataka wafuasi...
  11. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbowe atumia lugha chafu. Amuita DC Ilemela mjinga, hana Wilaya

    "Watu wanadai katiba its about our life, RAIS anaita chokochoko, na sasa wameibuka na viongozi wa ajabu mfano kuna DC mjinga mjinga hapa ilemela aliita waandishi wa habari kuwaambia kuwa haruhusu mikutano ya hadhara wilayani kwangu. Wewe una wilaya yako?" @freemanmbowet ===
  12. meshack anyambilile

    JamiiForums Tanzania Nani mjinga? (Mawazo ya biashara)

    Mjinga Mjinga akimaliza la saba anaanza biashara ya kuchoma mahindi halafu atauza miwa, atalima viazi huku akikatisha mkaa. Baada ya miaka miwili mitatu ivi atafungua duka la nguo atasafiri kwenda Dar kufunga mzigo.... Kila hela atakayopata ataitunza kwa nidhamu kuu. Wafanyabiashara wenzake...
  13. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Sikuwa mjinga, niliamini niko sahihi, leo Ndugai amejibu

    SIKUWA MJINGA, NILIAMINI NIKO SAHIHI, LEO NDUGAI AMEJIBU. Na Yericko Nyerere Job Ndugai mfuasi kindakindaki wa hayati John Magufuli aliyeapa kumuongeza muda wa kutawala Tanzania, ananirejesha nyuma miaka miwili iliyopita 22 December 2019 nilipoandika Makala nikipinga hotuba ya Rais Magufuli...
Back
Top Bottom