Heshima kwenu Wakuu,
Majamaa tajwa hapo juu yawezekana kuwa wamelipwa rushwa kubwa sana na mamlaka za juu ili waharibu mjadala wa kitaifa juu ya uwekezaji wa DP WORLD katika bandari ya Dar es Salaam.
Hili limetokana na ukweli kwamba mara tu mjadala ulipoanza watu hawa walikimbilia kushambulia...
Kuna clip zinatembea zikionesha vijana wa mkoa wa Arusha wakiwa mochwari kwaajili ya kuchukua mwili wa mwenzao aliyefariki kwa ajali ya pikipiki.
Namna ya maisha ya vijana wa Arusha wanavyoishi, kuvaa, kuongea, ku-behave nafikiri tunahitaji mjadala wa kitaifa. Yaani wanafanya mambo ya kizamani...
Nasikiliza mjadala unaondelea unahusu DP World huko Club House kwa kweli comment zote zinakataa uwepo wa Muwekezaji huyo kutoka Dubai kupewa bandari yetu, sijui kwa nini Serikali bado imekomaza shingo na kutaka watu wakubaliane nao na huku hali inaonesha wamekataa kila sababu wanayopewa na...
Nimemsikia bungeni Mbunge Subira Mgalu akimshambulia ndani ya Bunge, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka kuwa anapotosha umma kuhusu suala la DP World wakati akichangia Bajeti Kuu ya Serikali.
Kwa mujibu wa Kanuni za Bunge, Subira Mgalu alikosea kumzunguzia Prof Tibaijuka au kuzungumzia suala la...
Profesa Kabudi aliteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa ndiye BABA wa mikataba na mwenyekiti wa timu za kitaifa za majadiliano ya mikataba.
Huu mkataba wa bandari umepitaje mikononi mwake ukiwa na mapungufu haya?
Bado hawaamini kama Watanganyika wameamka na wanatolea macho maliasili zao walizopewa na Mungu.
Wamesahau kama bongo movie ilishakufa, kila mwaka graduate laki sita wanaingia mtaani na hawana kazi, wanasubiri kusoma kila tangazo la Serikali, wakaona tangazo la kuuza bandari, bwana wee...
Hadi muda huu, hakuna mkataba wowote ambao umeshasainiwa kati ya TPA na DP WORLD
Vile vile hakuna mkataba uliosainiwa kati ya nchi yetu na Dubai, isipokuwa kilichosainiwa ni AGREEMENT kati ya Tanzania na Dubai; kwa Dubai kuwekeza kwenye sekta ya Bandari
NOT ALL AGREEMENTS ARE CONTRACTS, BUT...
Wakuu,
Huu mjadala bungeni ni geresha tu, kutuuza mchana kweupe na watu tupo tu tunafatilia eti tuone maajabu yakitokea. Mnafikiri kitatokea kitu tofauti?
Si ni kuridhisha tu watu kuwa kuna taratibu zilifanywa kutoa maelezo kwa wananchi kuwa mkataba huu ulipitiwa vizuri kabla haujapitishwa😂😂...
"Debt ceiling" ni mjadala fikirishi. America kama ipo kwenye anguko la kiuchumi vilee.., na pia wapo kama vilee kwenye kubana mzunguko wa dollar yao kutishia uchumi wa dunia kuanguka kama mbinu ya kutafuta uungwaji mkono wa kidiplomasia kutengeneza washirika wapya juu ya vita vya kuinusuru...
Elimu ni nini? Ni ujuzi ambao kitu chochote au mtu yeyote mwenye ufahamu anaupata ambao atamsaidia katika maisha yake ya kila siku. Unapopata ujuzi katika maisha ni moja ya njia ya kujikomboa na kujua nini kifanyike katika mazingira yanayokuzunguka. Ukiwa na ujuzi wa elimu mbalimbali hapa...
Kila timu italipwa kulingana na kiwango ilichofikia. Hakuna hela inayotolewa kwa kuvuka kila hatua, hawawezi kulipa kila hatua kwasababu fungu la bajeti halina uwezo huo.
Ukiingia mashindano ya CAF ukatolewa hatua ya awali ukashindwa kuingia kwenye makundi utakuwa umetoka patupu hata mia...
Kwa kifupi tu..Kupata katiba mpya nchini Tanzania kuna hatua kadhaa ambazo zinapaswa kufuatwa. Hapa ni baadhi ya hatua hizo:
1. Kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya:
Hatua ya kwanza ni kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya. Hii inaweza kufanywa na Rais, Bunge au kwa kuitishwa na...
Tarehe 29 Machi, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na TAKUKURU kwa mwaka 2021/2022. Ripoti hiyo imeibua ubadhirifu katika sekta mbalimbali za umma na kuibua mijadala miongoni mwa wananchi...
Imekua kawaida kila mechi unapoibuka mjadala wa Feisal Yanga imekua ikipata ushindi wa kishindo
Mechi ya Azam na mechi za CAFCC zote zilizotanguliwa na mijadala hii zimekua za neema nyingi kunako club hii ya jangwani
Sasa mjadala huu umeibuka tena kuelekea mechi ya dabi baina ya Simba na...
Kuna watu wameongeza 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani.
Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania...
hii
kauli
kuhusu
kutokana
maamuzi
manufaa
mara
mara ya kwanza
matusi
mizigo
mjadala
rais
rais samia
tujadili
ununuzi wa ndege
upigaji wa pesa za ndege
video
wazi
Viongozi, kumekuwa na mijadala kuhusu viongozi hususa, hawa wa kuteuliwa kutokuwa na maadili na matokeo yake kuonekana kama vyeo vya asante na shukrani kwa makada.
Je, nini kimechangia kushusha maandali? Je, ni upatikanaji wao? Kutokuandaliwa vizuri kuja kuongoza ama ni kuteuliwa kwa kujuana...
Taarifa haijawa rasmi lakini hali iko hivi, huko katika Kata ya Kanyangereko, Wilayani Bukoba Vijijini, kwa marehemu Benjamini.
Wiki 2 zilizopita kijana alifariki, kwa kushikwa na homa kali na kutokwa damu mdomoni na puani, baadae mama mzazi akaumwa ugonjwa huo amefariki jana mchana.
Kijana wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.