miundombinu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Umeweza kufanya shughuli zako vizuri katika kipindi hiki cha mvua?

    Wakuu, Shughuli zako za kila siku zimeweza kufanyika vizuri bila tatizo lolote? Una la kuwaambia serikali kuhusu hali ya miundombinu kipindi hiki cha mvua? Hali iko shwari huko ulipo? Maji yanapita bila shida yoyote?
  2. JamiiForums Tanzania Kwa hali ya Miundombinu ya Barabara na Maji hapo Mtaani, Utamchagua tena Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wako?

    Tanzania inatarajia kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 ambapo kwa mujibu wa Muongozo, Serikali za Mitaa zimeanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 145 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Madhumuni ya kuwepo kwa Serikali za Mitaa ni kupeleka madaraka kwa wananchi...
  3. JamiiForums Tanzania Inasikitisha: Hali ya miundombinu baadhi ya majengo Hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar

    Awali niliona uzi humu JF kuhusu Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja iliyopo Unguja, Zanzibar, sikuamini kama ni kweli, lakini juzi(Novemba 13, 2023) nilifika hospitalini hapo ukweli ni kuwa hali ya miundombinu katika baadhi ya maeneo si nzuri. Nilishindwa kupiga picha lakini miundombinu mingi haipo...
  4. JamiiForums Tanzania Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

    Miundombinu mibovu ndani ya jiji la Arusha. Barabara za lami,ndani ya jiji la Arusha barabara nyingi za lami ni nyembamba na haziendani kabisa na wingi wa magari yaliyopo. Barabara za vumbi,jiji la Arusha limezungukwa na barabara za vumbi kila kona,hii ni aibu kubwa sana kwa jiji ambalo...
  5. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ni mkoa uliojaa masikini wengi wanaojificha kwenye kivuli cha miundombinu tu

    Acha ukweli usemwe DSM ni mkoa wa kimaskini sana, kelele kibao lakini uhalisia ground maisha ni mabovu sana DSM, watu wana stress, maisha duni ndio mana DSM ni mkoa unaongoza katika idadi ya ufukara na vifo katika ngazi ya kaya ama familia. Matajiri wachache wanaibeba DSM, ila watu wanateseka...
  6. JamiiForums Tanzania Kuhusu El niño Je athari za Mivua hizo Ni za wananchi Peke yake ? je miundombinu ya serikali Kama Madaraja na Tanesco wamejiandaaje?

    Hakuna Haja ya Salaam Maana naona kama hili swala halijakaa sawa sana.. Kila nikifungua TV au Redio nasikia nakuona Serikali ikieleza Athari za Mvua ya Elnino na Athari zote zikielekezwa kwa Wananchi.. Na serkali ikifika mpaka kutishia wananchi wanaoishi Bondeni kwamba hakutakuwa na Malipo wala...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tunaendelea kuimarisha miundombinu ya barabara na madaraja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea na juhudi mbalimbali za kuimarisha miundombinu ya Barabara na Madaraja Nchini kwani ndio kilio cha wananchi kwa sasa. Rais Samia amesema hayo wakati akizungumza na wananchi...
  8. JamiiForums Tanzania Mamlaka Iringa shughulikieni ukosefu wa miundombinu ya vyoo Soko la Machinga

    Wafanyabiashara katika Soko la Machinga, lililopo kata ya Mlandege, mkoani Iringa, wanakabiliana na changamoto kubwa ya kukosa miundombinu ya vyoo. Hali hii inawalazimu kutumia eneo la nyuma ya soko, ambalo ni la makaburi, kama sehemu ya kujisaidia. Hii ni hali ya hatari kwa afya, kwani eneo...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ndio Urusi, Ulaya na Marekani wanaiogopa (Miundombinu, Utamaduni, Viwanda, Uchumi na Maliasili)

    BWANA YESU ASIFIWE Nimekuwa nikifanya utafiti wangu wa mara kwa mara na kuleta taarifa sahii zenye uchunguzi wa kina kuhusu nchi mbalimbali na kisha watu waweze kuelewa undani wake. NImefanya utafiti wangu kwa miaka mitano kuhusu nchi ya Urusi. Leo hii nitawaletea hali halisi ya nchi hii...
  10. JamiiForums Tanzania Ijue Miji, Majiji na Miundombinu ya China - Je, Ulaya na Marekani imefunikwa?

    TUMSIFU YESU KRISTU. Kumekuwa na watu wengi kubeza, kuzomea na kubwatuka maneno ya hapa na pale kuhusu china. Lakini leo nimeamua kuwapitisha katika miji na majiji yaliyopo china huku tukilinganisha na miji iliyopo Ulaya na Marekani. China kwa sasa inajenga majiji yake na miji yake kisasa...
  11. JamiiForums Tanzania TANESCO kufanya ukarabati na Maboresho ya Miundombinu ya umeme kwenye baadhi ya Maeneo ya Dar es Salaam, Septemba 1 na 3, 2023

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake kuwa kutakuwa na ukarabati na maboresho ya miundombinu kwenye njia kuu ya kusafirishia Umeme ya Msongo wa Kilovoti 132 Mbagala - Dege na Kurasini siku ya ljumaa, tarehe 01 Septemba ,2023 na Jumapili, tarehe 03 Septemba, 2023 kuanzia...
  12. JamiiForums Tanzania TCCA Yatoa Semina kwa Kamati ya Miundombinu

    TCAA YATOA SEMINA KWA KAMATI YA MIUNNDOMBINU Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Selemani Kakoso akitoa maelekezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi), Mhe. Atupele Mwakibete, Katibu Mkuu-Uchukuzi, Gabriel Migire na Wataalam wa Mamlaka ya Viwanja...
  13. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Dugange Aipongeza TARURA kwa Kazi Nzuri ya Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara

    Naibu Waziri Dugange aipongeza TARURA kwa kazi nzuri ya Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara Naibu Waziri, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Festo Dugange ameipongeza TARURA kwa kazi nzuri ya ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini. Pongezi hizo amezitoa wakati alipotembelea mabanda ambayo yapo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Miundombinu ya mjini inachangia sana fursa ya kuzini; kijijini zinaa inafanyika kwa shida sana; Hapa ndipo nguvu za kiume na kike zinapopotelea

    Mjini ukitaka kuzini ni wewe tu na pesa yako; lodge kila kona lakini pia maisha yakupanga yanakuruhusu kuzini kila unapojisikia. Hii ni sababu kubwa ya wanaume wa mjini kuona tendo la zinaa ziyo tatizo na kubweteka. Kijijini kuzini hadi uoe au uishi kwenye vichaka; la sivyo ukiwa sehemu ambayo...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Ngassa: Miundombinu ni Uti wa Mgongo Kwenye Uchumi wa Nchi

    ".. Serikali yetu imeweka nguvu kwenye Miundombinu ya uchumi kwa kuwa miundombinu ni uti wa mgongo kwenye kukuza uchumi wa Taifa na mtu mmoja mmoja. Barabara, Umeme, Mawasiliano na Huduma za kifedha ni muhimu sana katika kukuza uchumi jumuishi na shindani..." "...Hivyo tunapoona wakandarasi...
  16. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kijiji afungwa Miaka 20 Jela kwa kuharibu Miundombinu ya Gesi

    Hukumu imetolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi dhidi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Mahumbika, Hamis Bandari baada ya kumkuta na hatia ya Matumizi Mabaya ya Madaraka. Hamisi na mwenzake Juma Kapilima, mkazi wa Liwale, walitenda kosa la kuharibu na kuuza miundombinu ya Kingo...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kweli Arusha ni Geneva ya Afrika?

    Uchache na ubovu wa miundombinu ya barabara ni changamoto sana hapa Arusha japo tumejaaliwa milima ya moramu na korongo la mchanga huko mirongo. Ukija kwenye masoko ya jiji hayako organised na masoko mengine yaliyo chini ya halmashauri. Ukiondoa utalii na madini, economic activities zingine...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali kuboresha miundombinu ya michezo nchini

    Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya kikao cha pamoja na ujumbe kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo wamejadili namna bora ya kuboresha miundombinu ya michezo nchini. Kikao hicho kimefanyika Juni 16, 2023 jijini Dodoma ambapo timu ya...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge wa kamati ya miundombinu waliotembelea Dubai wote walikabidhiwa nyumba

    Zipo tetesi pale mjengoni ugogoni wao kwa wao wameanza kufichuana wakidai wana kamati wote waliotembelea kule DP walikabidhiwa hati za nyumba za kisasa zenye umiliki wao. Wale wawili waongeaji zaidi waliahidiwa makubwa zaidi na kinara kwa kuropoka yeye pamoja kuahidiwa nyongeza alihongwa pia VX...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tunaoishi Mabondeni na kwenye Miundombinu mibovu, Kifurushi cha Mvua ya Alhamisi na Ijumaa ijayo si Kizuri Kwetu

    Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) ni kwamba Kifurushi cha Jana Jumatatu tarehe 5 kilichopiga Kutwa nzima ni cha Mtoto ila Kifurushi cha Alhamisi ya tarehe 8 na Ijumaa tarehe 9 ni cha HATARI zaidi kwani kitakuwa ni Kikubwa na chenye Madhara kwa tunaoishi Mabondeni na katika Miundombinu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…