mitihani

National Examinations Council of Tanzania (NECTA; Swahili: Baraza la Mitihani la Tanzania) is an agency of the Tanzanian government, headquartered in Dar Es Salaam, that proctors tests given nationally.
It manages the Certificate of Secondary Education Examination.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini wazazi wengi bado wako 'obsessed' na As na Bs za matokeo ya mitihani?

    Leo Baraza la mitihani limetangaza matokeo ya kidato cha 2,4 na mitihani ya ufahamu kwa wanafunzi wote waliofanya hiyo mitihani mwaka 2021. Mwezi june 2022 itatutangazia matokeo ya form 6 pia kama kawaida ya miaka yote, kila mwaka ni matokeo ya ulinganifu wa nani kafanya vizuri na nani kafanya...
  2. Aliyepata elimu ya msingi na sekondari katika shule za serikali hajui chochote zaidi ya kukariri majibu kwaajili ya mitihani ya taifa

    Habari! Hii mada imeshushwa kama ina kakejeli ndani yake ila ndio ukweli. Ukiondoa shule chache za msingi za serikali ambazo kidogo zina afadhali kama Diamond primary school and like. Ukuondoa sekondari zile za vipaji vya juu na kati tulizosoma zamani ambazo mnakutana wanafunzi kutoka kona...
  3. Marudio ya Mitihani ya NTA Level 5 kufanyika kuanzia Desemba 13

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KUVUJA KWA MITIHANI YA UTABIBU Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ina jukumu la kusimamia na kutathmini sera na miongozo mbalimbali ikiwemo ya rasilimali watu katika Sekta ya Afya nchini. Wizara inatambua umuhimu...
  4. M

    Mfumo wa utoaji matokeo ya mitihani ubadilike, huu wa sasa unashawishi udanganyifu

    Hili ni suala la kisera linalohitaji utashi wa kisiasa. Kwa matokeo ya darasa la saba kwa mfano, kinachotakiwa ni alama na grade kwa kila mtoto maana ndicho kigezo kinachotakiwa ili mtoto aweze kuendelea na masomo au la na ndicho kipimo cha ufaulu wa mtoto. Kuhusu shule kupangwa ipi ya kwanza...
  5. Serikali imefuta matokeo ya nadharia kwa masomo ya Utabibu Ngazi ya Tano baada ya kubainika kuwa ilivuja

    Serikali imefuta matokeo ya nadharia (theory) kwa masomo ya program ya Utabibu Ngazi ya Tano (NTA Level 5) baada ya kubainika kuvuja kwa mitihani ya muhula wa pili wa programu hiyo. ======
  6. K

    Mbivu na mbichi kuhusu wizi wa mitihani ya afya alizoahidi Waziri ziko wapi?

    Waziri wa Afya kupitia vyombo vya habari alituhabarisha kuwa mbivu na mbichi wa wizi wa mitihani ya Afya itajulikana Jumatatu iliyopita ya wiki hii. Ninauliza, Je, Waziri wa Afya ametoa taarifa hii kupitia vyombo vya habari?
  7. Zanzibar: Rais Mwinyi amtumbua Mkurugenzi wa Baraza la Mitihani Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Baraza la Mitihani Zanzibar, Zubeir Juma Khamis kuanzia leo November 03,2021.
  8. Waziri Doroth Gwajima, Wazazi na Wanafunzi tunasubiri ahadi yako kuhusu hatma ya waliovujisha mitihani ya utabibu

    Habari JF Serikali kupitia Wizara ya Afya ilitoa taarifa kuwa ipo katika hatua za mwisho kuwachukulia hatua wote watakaobainika walihusika katika kuvujisha mtihani wa kitaaluma wa mwaka wa pili wa matabibu pindi tu ripoti ya uchunguzi itakapokamilika na kuwasilishwa. Hayo yamesemwa na Waziri...
  9. Rais Samia na mitihani migumu

    Sijui sana kuhusu awamu nyingine za uongozi, lakini nimemuona Kikwete, nimemuona Magufuli, na sasa namuona Samia. Kati ya Marais hao, siajona aliyepitia mambo mazito ndani ya muda mfupi kumzidi Samia: 1. Kuchukua uongozi kufuatia kifo cha mtangulizi wake. 2. Suala la Corona. Huu umekuwa...
  10. T

    Elimu ya Tanzania haiishi changamoto, NBAA sasa wameamua kuuza mitihani ya CPA

    Jana nilikuwa naongea na bwana mdogo anafanya mitihani ya wahasibu ya CPA mbayo inaanza jumanne. Bwana mdogo amefanya hii mitihani muda mrefu sasa jana namuuliza unamaliza lini mbona kila mara unarudia rudia, dogo akajitetea kwamba kutokana na shughuli zake huwa anakosa muda wa maandalizi vizuri...
  11. Tujadiliane kuhusu mitihani ya "Sat" ambayo kwa muda mrefu imekuwa siri ya wachache

    Nilikuwa nataka kufatilia zaidi ila huyo mtu aliekuwa anajua hizi ishu na kufanikiwa kuvusha ng'ambo ndugu zake kadhaa aligeuka kunikatisha tamaa wazi wazi, ndipo nilipojua hii kitu wachache waaifanya iwe siri ili watu wao wa karibu pekee ndio wasome nje kirahisi kwa kuhofia ushindani wakijua...
  12. C

    Kwanini mitihani ya matabibu tu? Mbona ya wauguzi nayo ilivuja na hakuna hatua zilizochukuliwa?

    Kwanza niwapongeze wale wote walioamua kuwa uchunguzi ufanywe ili kubaini wizi wa mitihani uliotokea kwa watahiniwa wa utabibu. Naamini hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wahusika kwani imekuwa kawaida yao kufanya kitendo hiki kwa muda mrefu. Pamoja na hayo yote, naomba kuuliza, je kwa nini...
  13. Kuvuja kwa mitihani ya muhula wa pili kwa kozi za uuguzi na utabibu; Tumebaini chanzo, tutafute suluhu haraka

    Habari JF Mnamo tarehe 15 Oktoba 2021 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) walitangaza matokeo ya awali ( provisional results) ya mitihani ya muhula wa pili iliyofanyika mwezi Agosti , 2021. Katika taarifa...
  14. Kuvuja kwa mitihani ya muhula wa pili kwa kozi za uuguzi na utabibu; tumebaini chanzo, tutafute suluhu haraka

    Habari JF Mnamo tarehe 15 Oktoba 2021 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) walitangaza matokeo ya awali ( provisional results) ya mitihani ya muhula wa pili iliyofanyika mwezi Agosti , 2021. Katika taarifa...
  15. NACTE na maamuzi ya utata kuhusu mitihani ya marudio kwa wanafunzi wa vyuo vya kati: Je, Waziri wa elimu anafahamu kilio hiki?

    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge Sura Namba 129 ili kusimamia na kuratibu utoaji wa elimu na mafunzo ya ufundi katika Vyuo ambavyo si Vyuo Vikuu ama Vyuo Vikuu Vishiriki nchini. Jukumu mojawapo la Baraza ni kuhakikisha kuwa mafunzo...
  16. Mitihani ya supplementary chuo cha ustawi wa jamii ngazi ya diploma inaanza mwezi wa ngapi na gharama ni sh. ngapi

    Habari za Leo wakuu, Naomba kufahamishwa katika hili. Mitihani ya supplementary chuo cha ustawi wa jamii ngazi ya diploma inaanza mwezi wa ngapi na gharama ni sh. ngapi.
  17. B

    CCM inawatakia kila la heri kwenye mitihani yao wanafunzi wote wa darasa la 7

    CCM inawatakia heri wanafunzi wote wa darasa la 7 wanaoanza mitihani yao leo
  18. Hivi aliyekuja na utaratibu wa mahafali kabla ya mitihani ni nani?

    Wakati mtihani wa kumaliza elimu ya msingi ukikaribia nimekuwa naona shule kadhaa zikifanya mahafali kabla watoto hawajafanya mitihani nakumbuka enzi zetu tulikuwa tunafanya pepa kisha mahafali. Yaani unasheherekea kumaliza halafu ndio unamaliza.
  19. China yapiga marufuku mitihani kwa Watoto wenye miaka 6 na 7

    Taifa la China limetangaza kupiga marufuku kwa Mitihani (ya kuandika) kwa Wanafunzi walio na umri wa miaka 6 na 7 ikisema imefanya hivyo kujaribu kuwaondolea Wanafunzi na Wazazi presha kubwa Wanafunzi Nchini humo wamekuwa wakifanya mitihani kuanzia mwaka wa kwanza wa Elimu ya Msingi hadi...
  20. Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

    Kutoka kwa mdau, Mimi ni kijana kutoka Kigoma, jana nimefanya written interview ya Tax Officer TRA inayosimamiwa na utumishi. Baada ya kufanya paper tukaanza kusikia kuwa paper ilivuja, leo kuna mdau kanitumia hiyo paper. Hii ni evidence tosha kuwa paper ilivuja maana mnapofanya huo mtihani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…