Mbivu na mbichi kuhusu wizi wa mitihani ya afya alizoahidi Waziri ziko wapi?

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Waziri wa Afya kupitia vyombo vya habari alituhabarisha kuwa mbivu na mbichi wa wizi wa mitihani ya Afya itajulikana Jumatatu iliyopita ya wiki hii.

Ninauliza, Je, Waziri wa Afya ametoa taarifa hii kupitia vyombo vya habari?
 
Mimi tu nawasikitikia sana watoto wa Darasa la Saba, wamefutiwa mitihani na hawajui wafanyeje
 
Mhe. Waziri wa Afya kupitia vyombo vya habari alituhabarisha kuwa mbivu na mbichi wa wizi wa mitihani ya Afya itajulikana Jumatatu iliyopita ya wiki hii. Ninauliza, Je Mhe. Waziri wa Afya amekwishatoa taarifa hii kupitia vyombo vya habari?.
Tafuta gazeti la Mwananchi toleo la leo tarehe 4
 
Nampongeza sana kwa kuifuta mitihani...tena ilitakiwa avifutie usajili hivyo vyuo uchwara....mtu anamaliza chuo kwa kozi ya nursing au co hajui hata kuchoma sindano ya i.m....kituko zaidi mwambie achome i.v bila kuweka cannular hapo ndio utaishiwa pozi.
 
Huu utitiri wa vyuo ndio unaleta yote haya,vyuo vingi vinafanya biashara wanajazana tu GPA
 
Waziri wa Afya kupitia vyombo vya habari alituhabarisha kuwa mbivu na mbichi wa wizi wa mitihani ya Afya itajulikana Jumatatu iliyopita ya wiki hii.

Ninauliza, Je, Waziri wa Afya ametoa taarifa hii kupitia vyombo vya habari?
Tayari taarifa ya utaratibu wa kurudia mtihani imeshatolewa.
 
Back
Top Bottom