Habari,
Sisi ni wanafunzi wa afya ambao mwaka jana mitihani ilivuja kwa baadhi ya Vyuo na uamuzi uliofikiwa ni kufutia matokeo na kufanya mitihani upya jambo ambalo ni sawa kabisa.
Shida imekuja hivi matokeo yalivyotoka wanafunzi waliofeli ni wengi kuliko walio faulu na pia wanafunzi wengi wamepata supplementary.
Tatizo limekuja kwamba kama mtu umepata supplementary unarudi nyumbani unakaa miezi nane ndio unarudi kufanya mitihani hyo ya supplementary jambo ambalo litaumiza wengi na litapelekea madhara makubwa.
Mapendekezo yetu tunaomba serikal ituangalie kwa jicho la tatu kama walivyo kuwa wanafanya kwa miaka ya nyuma wafanye hivyo hivyo na kwenye sheria mwanafunzi anatakiwa apewe supplementary ndani ya week nne mpaka sita.
MAONI YETU:
1. Turuhusiwe kuwafanya mitihani hiyo ya supplementary na March intake
2. Kama kuna garama ambazo zitahitajika basi kila mwenye supplementary atozwe pesa
3. Kama yote yanashindikana basi waruhusu watu wa carry hizo supplementary huku wanaendelea mwaka wa tatu na ikifika huo mwezi wa nane wafanye hizo supplementary
NI MAONI YANGU KUWA HILI LITAFANYIWA KAZI
====
UPDATES:
=====
Baada ya Malalamiko haya, Serikali imetolea ufafanuzi na kuwaruhusu kuendelea na Mitihani.
Zaidi, soma: Ummy Mwalimu: Mtihani wa Awali kwa Madaktari Watarajali, uendelee kufanyika bila Kumzuia Mtarajali kujiunga na Mafunzo