mitihani

National Examinations Council of Tanzania (NECTA; Swahili: Baraza la Mitihani la Tanzania) is an agency of the Tanzanian government, headquartered in Dar Es Salaam, that proctors tests given nationally.
It manages the Certificate of Secondary Education Examination.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi UDOM ajirusha toka ghorofani akidai kufelishwa mitihani

    Inasikitisha sana. --- Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wa Shule ya Uuguzi na Afya ya umma (SoNPH) Ezekiel Sostenes amelazwa hospitali ya Rufaa ya Kanda ya kati Benjamin Mkapa baada ya kujirusha ghorofani. Awali kabla ya tukio hilo jana, kulikuwa na ujumbe wa WhatsApp ambao Mwananchi...
  2. Mpigamimba

    JamiiForums Tanzania Hatima ya shule zilizofutiwa matokeo ni ipi?

    Mustakabali wa shule zilizofutiwa ni upi Msaada kwa mwenye taarifa za BARAZA LA mitihani Tanzania (NECTA)
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nilifanikiwa kukutana na bosi ya skretarieti ya ajira,.alinipa Siri ya maswali ya mitihani wanayotoa kwa Sasa! Research hawatoi Tena!

    Nilifanikiwa kukutana na bosi ya skretarieti ya ajira,.alinipa Siri ya maswali ya mitihani wanayotoa kwa Sasa! Moja ya Maswali wanatoa kwenye "head job tittle" Mfano; Agric tutor-crop science Unatakiwa usome contents zote za crop science utafaulu mitihani! Msidanganyane na "research siku hizi...
  4. Page 94

    JamiiForums Tanzania Waliofutiwa Matokeo Darasa la Saba kurudia Mitihani Desemba 21-22

    Baraza la Mitihani NECTA ilizifutia matokeo shule kadhaa baada ya kubainika kufanyika kwa Udanganyifu kwenye mitihani ya Darasa la Saba iliyofanyika September 2021. Na kwa kuwa Wanafunzi hawahusiki na udanganyifu huo, wana haki ya kurudia mitihani yao ili kutoathiri maendeleo yao ya Kitaaluma...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikipewa Kusahihisha Mitihani ya Wanafunzi wa Darasa la Saba nchini Watakaofaulu ni Wawili tu Wengine Watafeli tu

    Kwa jinsi Wanafunzi wa Shule za Msingi ( hasa Darasa la Saba ) walivyo na Nidhamu mbaya katika Jamii zetu huku Wengi wao wakiwa hawana Akili Vichwani huwa nashangaa kuona kila mwaka katika Kutangazwa kwa Matokeo yao Kitaifa Wanaofaulu ni Wote / 99.9% Duniani kote haiwezekani sehemu ambayo...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Shule za msingi kanda ya Ziwa zaibuka kidedea wa udanganyifu wa mitihani. Mwanza na Bukoba waongoza

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limevifungia vituo vya mitihani 24 sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote 17,935 vilivyofanya mtihani ambavyo vimethibitika kupanga na kufanya udanganyifu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2022. Vituo hivi vimefungiwa hadi Baraza litakapojiridhisha...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shule 24 zafungiwa kuwa vituo vya Mitihani kwa udanganyifu

    Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limezifungia shule 24 kuwa vituo vya mitihani ya Taifa baada ya kuthibitika kupanga kufanya udanganyifu katika mitihani ya kumaliza elimu ya msingi. Shule hizo ambazo ni sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote vya mitihani nchini, ndani yake zipo shule maarufu...
  8. Barackachess

    JamiiForums Tanzania Kwa Wazazi na Walezi wenye Watoto/Wanafunzi wakati wa likizo wasajili wafanye mitihani mtandaoni

    Je wewe ni mzazi au mlezi na unamtoto ambaye yupo likizo katika msimu huu wa sikukuu za christimas na mwaka mpya? Au je wewe ni mwanafunzi na ungetamani kujipima na wanafunzi zaidi ya elfu2 nchi nzima kupitia mitihani inayoendeshwa kwa njia ya mtandao? Taifa International Online School kwa...
  9. Sajo

    JamiiForums Tanzania Wakati Ripoti ya Mwakyembe bado gizani, Law School of Tanzania waendelea kunoa 'wembe'. Watangaza ratiba ya mitihani inayohusisha supp

    Wakati umma ukiendelea kusubiri ripoti ya Kamati ya Mwakyembe baada ya muda iliopewa ile kamati hiyo kuchunguza nini kinachosababisha wanafunzi wa Shule ya Sheria Tanzania kufeli kwa kiwango cha kutisha kwisha toka tarehe 13 Novemba 2022, hakuna taarifa ni lini Kamati hiyo itasoma na kukabidhi...
  10. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa mitihani ya bodi ya NBAA(CPA) lengo lake ni nini? Watu wanafeli mnoo

    Wadau. Watu wanaotafuta CPA wanafeli mno, pepa ngumu kinyama. Hali hii inasaidia nini? Wengine wanadai Uhasibu na Ukaguzi ni mgumu, sina hakika. Wengine wanadai lengo LA bodi ni kuepuka idadi ya wataalamu WA fani kuwa wengi. Sina hakika pia, Shida ni nini?
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Uadilifu chanzo cha wizi wa mitihani na udanganyifu

    Taifa lenye watu wengi wasio na uadilifu ni kawaida sana kuwepo kwa wizi wa mitihani ama udanganyifu kwenye mitihani. Uadilifu ni zaidi ya mtu kutokuiba ama kusema uongo, uadilifu pia ni pamoja na mtu kujali maslahi ya wengi pale anapokuwa na cheo kwa niaba ya Umma. watu waadilifu wataweka...
  12. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wazazi wawatishia watoto kifo endapo watafaulu mitihani ya Darasa la Saba

    Baadhi ya wazazi wilayani Makete mkoani Njombe wamedaiwa kuwatisha watoto wao wanaohitimu elimu ya msingi kufanya vibaya kwenye mitihani kwa madai kuwa wakifaulu wao watafariki dunia. Ameeleza hayo Ofisa Mtendaji wa Kata ya Lupila , Tumwanukye Ngakonda kwamba baada ya wanafunzi hao kuhojiwa...
  13. A HUMBLE LEADER

    JamiiForums Tanzania NECTA, kwanini msitumie teknolojia ya malipo kwa wasimamizi wa mitihani ili kuepusha malalamiko kama mkoani Tabora?

    MKOANI TABORA Wasimamizi wa mitihani ya NECTA ya Darasa la nne,kidato cha pili na cha nne walioitwa kwenye semina maalumu pale AMUCTA tarehe 15 na pale Themi Hill tarehe 17 wamelalamika kutolipwa posho za semina na nauli kwa kisingizio eti muongozo wa malipo haujatoka kutokea NECTA...
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Walimu 14 Dar es Salaam wanashikiliwa kwa kukiuka sheria katika mitihani ya Darasa la 7

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia Walimu 14 kwa tuhuma za kukiuka sheria, kanuni na taratibu mbalimbali za mitihani ya darasa la saba iliyofanyika Oktoba 5-6, 2022. Uchunguzi wa suala hili unaendelea na taarifa zitatolewa na mamlaka zinazohusika na masuala ya elimu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ni kweli matokeo ya mitihani NACTEVET yametumwa kwenye vyuo?

    Kuna kijana kasema amepata matokeo yake ya mitihani kupitia chuoni kwake. Je hii ni kweli kuwa mitihani imeshatumwa kwenye vyuo? Tujuzane!
  16. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa NECTA: Usimamizi wa mitihani kwa shule za Sekondari na Msingi

    Habari watanzania! Hivi karibuni Katibu mkuu wa NECTA aliyepita sasa ni naibu katibu mkuu TAMISEMI, ametuachia jambo geni kwenye usimamizi wa mitihani.anyway labda lina tija au wapo kwenye utafiti wa mfumo sijui kwanza nikwamba zamani ilikuwa walimu wa SEKONDARI walisimamia mitihani ya...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Mwaka juzi 2020 zaidi 90% ya wanafunzi wa Law School of Kenya walifeli, mitihani, uchunguzi ukaonyesha LSK ndio wenye makosa

    Hii sakata la wanafunzi wa Law School of Tanzania kushindwa kufaulu mitihani kwa kiwango kikubwa hivi imenikumbusha sakata kama hilo kwa LSK kwa mwaka 2020 ambapo zaidi ya 90% ya wanafunzi wali fail. Baada ya matokeo kutoka na malalamiko kua makubwa, Serikali ikaamuru uchunguzi ufanyike na...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Watanzania tumezoea udanganyifu kwenye vyumba vya mitihani. Kilichotokea Law school of Tanzania ni matokeo ya kuzoea udanganyifu

    Habari! Mimi niliona hili tangu 2006 nilipohotimu darasa la saba, Mwalimu mkuu alipigana sana kuhakikisha anawapa majibu wanafunzi wake indirect. Mimi sijapendezwa na ule mchezo, hakika sikushiriki. Niliona ni dhambi, pili niliona najiweza. Sekondari 2010 wakati namaliza O -level sijaona...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nactevet toeni matokeo ya mitihani vijana wajue fate yao, wazazi wajiandae na ada za mwaka 2022/2023 (vyuo vinafunguliwa 17/10/22)

    Muda ni mchache kwa wazazi kujiandaa na ada na mengineyo. Huwezi kulipoa ada kabla ya kujua fate ya mtoto. NACTEVET toeni matokeo ya mitihani maana vyuo vinafunguliwa tarehe 17/10/2022. Muda umeisha!
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tukatae, tukubali, watumishi wa Mungu hupitia mapito/ mitihani mikubwa sana. Tuwaombee bila kukoma

    Unajua ukikaa na kuiangalia kazi ya Watumishi wa Mungu utaona ni rahisi sana. Utaona ni kula sadaka tu na kusema pokeeni baraka za Bwana. Kwa kweli watumishi wa kweli wa Mungu hupitia majaribu makubwa sana. Majaribu hayo yalianza zamani, zama za Adam, Adam aligongewa mke wake na nyoka. Hebu...
Back
Top Bottom