mitandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    JamiiForums Tanzania USALAMA MITANDAONI: Unashiriki vipi katika matumizi ya Intaneti ya Mtoto wako?

    Kuwapa Watoto Mwongozo wanapotumia Majukwaa la Kidijitali ni njia mojawapo ya kudhibiti hatari za mtandaoni zinazoweza kusababishia madhara Kwa mujibu wa Shirika la UNICEF. inakadiriwa Mtoto Mmoja kati ya Watatu ni Mtumiaji wa Intaneti. Aidha, Mtumiaji wa Intaneti Mmoja kati wa Watatu ni Mtoto...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Wazazi/Walezi kuwarekodi Watoto video zinazotwezwa Utu wao na kusambaza Mitandaoni

    Ulinzi na usalama wa mtoto mtandaoni haumaanishi kudhibiti mambo mtoto anayoyaona mtandaoni au watu anaoongea nao pekee, lakini ni pamoja na vitendo vyote vinavyomuhusu mtoto vinavyofanyika mtandaoni kumdhalilisha au kuutweza utu wake. Kushea, kupakia na kudaunlodi picha au video zenye maudhui...
  3. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Ghafla chuki na dhihaka dhidi ya waalimu zimeongezeka mitandaoni na mitaani, chanzo ni nini?

    Huenda labda mambo ni mengi au yako kasi kupita maelezo mpaka yamenipita au nimeshindwa kuyaelewa. Hili la kuibuka ghafla mitandaoni na mitaani, chuki na dhihaka dhidi ya waalimu bado sijalielewa kabisa. Nimehisi huenda labda limeletwa na mojawapo kati ya haya mambo mawili lakini bado sioni...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wanaosifia sana Serikali mitandaoni wanatoka wapi?

    Habari wana JF, Binafsi nna kama Miezi 6 au zaidi sijakutana na mwanachi anaeishangilia na kuisifia hii serikali ya Awamu ya Sita. Ingawa kuna ongezeko la mishahara na Ajira lakini bado kila sehemu malalamiko ikiwa ina Maana hii serikali bado inahitajika kufanya kitu cha ziada kwa Wananchi...
  5. MANKA MUSA

    JamiiForums Tanzania Vijana waliopo Tanzania wanashangilia ubabe wa Putin

    Kijana mmeba box nikipata nafasi ya kupumzika huwa napitia sana mitandaoni si unajua huku hauli bila kazi, kilichonishangaza ni update za Vijana waliopo Tanzania wakishangilia ubabe wa Putin na story kuhusu uharibifu wa Putini. Nikajiuliza Vijana hawa wanafahamu balaa lililopo mbele Yao hawa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wajinga ndiyo wanaoparurana mitandaoni. Wenzenu wanacheka na kumwagilia mioyo wakikutana

    The photo below explains all.
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC hatutaki kuwa Bingwa wa Umaarufu Mitandaoni, bali tunataka Ubingwa wa NBC, CAFCC au CAFCL tu

    Leo Klabu ya Simba imekabidhiwa Tuzo ya Klabu Bora kwenye Mitandao ya Kijamii Tanzania ambayo imetolewa na kampuni ya Serengeti Bytes. Tumeshinda tuzo hii baada ya kuvishinda kura vilabu vya Azam FC, Mbeya City, Ruvu Shooting na Yanga SC. Chanzo: Simba SC Tanzania Mnatumia nguvu Kubwa kufanya...
  8. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Riadha: Baada ya Failuna Abdi Matanga Kufukuzwa Kambini, Gidabuday acharuka, Ashusha Cheche Mitandaoni.

    Baada ya Shirikisho la Riadha Tanzania, Kamati ya ufundi na Kocha wa timu ya Taifa , Suleiman Nyambui kumfukuza Mwanariadha Failuna Abdi Matanga, Gidabuday alihoji uhalali wa kumfukuza Mwanariadha huyo, ndipo alipopata Vitisho na Mengine. Gidabuday Anasimulia hapa; Juni Mosi nilibishana sana...
  9. Marumeso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mitandaoni mnalalamika hamuolewi wakati huku kitaa mnatuambia 'mimi nina mtu wangu'

    Inashangaza sana ukikutana nao huku kitaa utasikia "MI NINA MTU WANGU" lakini wakiingia mitandaoni wanalalamika hawapati wanaume na wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuwalaumu wanaume wanaoishi na mke mmoja kwa kuwataka waongeze idadi! Jamani wanawake mnachokitafuta ni nini hasa?
  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Serikali kurekebisha Sheria ya Watoto ili kudhibiti ukatili mitandaoni

    Katika kukabiliana na ukatili dhidi ya watoto mitandao Serikali imeunda kikosi kazi cha taifa cha ulinzi na usalama mitandaoni pamoja na kuifanyia marekebisho sheria ya mtoto ili iakisi mazingira ya sasa. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Dkt. Dorothy Gwajima amesema: “Malezi bora katika familia...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tulioona mapema kuwa Bernard Morrison hatufai Simba SC na aachwe, ila 'tukatukanwa' na 'kudhihakiwa' Mitandaoni tuombwe Radhi tafadhali

    Binafsi naanza kusubiri Kuombwa Radhi zenu hizo kwani nilishaona Kitambo matatizo ya huyu Mchezaji, nikapaza sana Sauti hapa Jamiiforums kuwa aachwe mara moja na nikaishia Kutukanwa na Kudhihakiwa kama kawaida ya 'Mapopoma' wengi waliojazana. Ahsante Mwenyezi Mungu kwa Maono.
  12. Aris Saolanica

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia ya Wadada wa mitandaoni kuomba bando imekaaje?

    Wanajamvi habarini za majukumu. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Hivi karibuni nilifanya utafiti wangu mdogo na katika utafiti wangu niligundua asimilia 50% au 60% ya Wadada mitandaoni wanauza papuchi. Ingawa baadhi yao ni vigumu kuwagundua kirahisi. Picha zao zimekuwa...
  13. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha

    Wakili wa upande wa utetezi Moses Mahuna akieleza kuhusu Sabaya na wenzake kushinda rufaa yao na kuachiliwa huru katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha. Sabaya na wenzake watatu wamebakiza ngwe moja ya hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mahakama Kuu ya kumwachia huru muda huu. Warufani...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wanaomchafua Rais Samia mitandaoni kwamba kamuambukiza Makamu wa Rais wa Marekani Corona wachukuliwe hatua

    Sasa dharau kwa mh.Rais wa JMT ,Bibi Samia Suluhu Hassan zimevuka mipaka. Mh.Rais akiwa ziarani mkoa wa Arusha amelalamikia watu ktk mitandao wakimtuhumu kwa kumuambukiza virus vya Corona makama wa rais wa nchi ya Marekani Bibi Kamala Harris alipokutana naye alipokwenda Marekani kwa ziara ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ombi: Usambazaji wa Picha za Rais Samia Mitandaoni akiwa Marekani ziendane na 'Direct Economic Impact' Mifukoni mwa Watanzania

    Naanza kuona taratibu Nguvu Kubwa inatumika kumuonyesha Mheshimiwa Rais Samia akikubalika zaidi na Wazungu (hasa hasa hawa Wamarekani) na kwamba aliyekuwa Boss wake hakuliweza au hakulifanikisha hilo ila kwa bahati mbaya mno Nguvu hiyo hiyo haitumiki Kuwafafanulia Watanzania ni jinsi gani Ziara...
  16. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa masuala ya fix matangazo ya kazi mitandaoni. Hii inanisunbua sana

    Kwenye picha ni mfano tu, nashawishikaga kuapply nasema au bas... Nisaidien jamani haya matangazo ya kazi nje ya tz si mara Moja au mbili nakutana nayo yanaukweli gani
  17. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Toka Mitandaoni, waTanzania tunataka nini toka viongozi wa upinzani?

    Salam za pasaka na mwezi mtukufu. Nianze kwa kuwauliza hivi nini tunachokitaka toka kwa wanasiasa wa upinzani? Nikapita mitandaoni nikaangalia page kadhaa then nikapita na page za wanasiasa nikagundua kuwa wananchi hatuna tukitakacho na tupo kulaumu. Usichukie ilikuwa hivi. Nilipita page ya...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Wanasimba tunajiamini tuna timu imara, kwa nini tunaombea tukutane na Al Ahly Tripoli, siyo TP Mazembe au Orlando Pirates?

    Si tunajiamini kuwa Simba ni Timu Bora kabisa na tumepita CAFCC jana Aprili 4, 2022 kwa uwezo wetu na tuna jeuri ya kucheza na timu yoyote Afrika, sasa kwa nini karibia 99% ya Wanasimba wanaombea wakutane na Al Ahly Tripoli ya nchini Libya na kamwe siyo TP Mazembe ya Congo DR au Orlando Pirates...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Harakati na kelele za mitandaoni haziwasaidii CHADEMA, zinawaingiza mkenge kila siku ila hawajifunzi

    Naona mnajidanganya kuwa kelele zenu mitandaoni zinawasidia kusikika na kuonekana mnazo hoja kiasi cha kuanza kujipiga kifua. Ninyi bado hamjapata sapoti kupitia mitandao mnajidanganya kama watoto wadogo. Uhalisia wa mnachodhania kuwa mnasapoti kubwa kutoka kwa wananchi kupitia mitandao ni...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc yaongoza kutazamwa Afrika

    Kwa mujibu wa CAF, Simba imekuwa ndio klabu inayotazamwa kwa wingi na mashabiki kupitia akaunti za mitandao ya kijamii za CAF, ikiwamo Youtube (CAF TV) kulinganisha na timu nyingine kongwe Afrika na ikifuatiwa na Al Ahly ya Misri. . Rekodi zinaonyesha pambano lililotazamwa zaidi ni lile la Simba...
Back
Top Bottom