mitandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nani Kadukua Mitandao ya Serikali ya Tanzania? Je, Vitisho vinasaidia?

    Salaam Tatizo la Polisi wa Tanzania wanaongoza kwa Vitisho wakihisi Wadukuzi wanawaogopa. Sasa watu wamedukua, badala muwekeze kwenye Ulinzi wa kimtandao, nyie mnatisha. Hadi mtu anadukua unadhani anakuogopa? Lengo la mada ni kutaka kujua kama vitisho vitisho vitasaidia watu wasidukue...
  2. JamiiForums Tanzania CCM imejikita sana kwenye phone farming kwenye mitandao ya kijamii kujisafisha na kushambulia watu.

    Habarini wana JF.Hii phone farming nahisi imeshazungumzwa ila kutokana na umaskini na matatizo ambayo CCM inatupelekea kuwa gizani ndio wao wanatumia pesa zetu kila mwenye wazo la kusaidia CCM. Nimejaribu kufatilia kwenye mitandao ya kijamii mbali mbali unakuta account inapost jambo kukashifu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kudisplay TIN kwa wafanyabiashara kwenye mitandao

    https://www.jamiiforums.com/threads/kanuni-mpya-za-kodi-zinawataka-wafanyabiashara-mtandaoni-kuweka-taarifa-za-tin-kwenye-page-zao.2461782/ Baada ya kukutana na uzi ambao nimeutanguliza hapo , leo nimefanikiwa kukutana na idara ya elimu tra na kuhitaji ufafanuzi. Nimeona nami niweze share na...
  4. JamiiForums Tanzania “China Haul” yapata umaarufu kwenye mitandao ya kijamii duniani

    Hivi karibuni, “China Haul” imepata umaarufu mkubwa kwenye mitandao ya kijamii duniani. Kutoka droni, hadi vipaza sauti visivyotumia waya, kutoka vifaa vya nyumbani, hadi mavazi ya kisasa, watu wenye ushawishi wanafungua na kuonesha bidhaa zilizonunuliwa nchini China, na kuvutia mashabiki wengi...
  5. JamiiForums Tanzania Mitandao ya Kijamii Inatufanya Tuishi Maisha Ambayo Sio Yetu?

    Mitandao ya kijamii imefanya maisha ya watu kuwa kama maonyesho ya kila siku. Tunawaona watu wakisafiri, wakinunua magari, wakivaa vizuri, wakila kwenye hoteli na kuonyesha mafanikio yao. Lakini tunachoona si lazima kiwe picha kamili ya maisha yao. Mtu anaweza kupost picha ya gari zuri bila...
  6. M

    JamiiForums Tanzania wayahudi wanatengeneza na kuboresha mitandao ya kijamii, Smartphone na Ai, lakini wanavikwepa kwa kupunguza screen time na kutumia simu za vitochi.

    Kampuni zote kubwa za Mitandao ya kijamii na Smartphone zina ofisi za uboreshaji wa teknolojia nchini Israel, wanalipwa kugundua ideas au feautures za kunogesha mitandao ya kijamii na simu. Hata hivyo nchini Israel, kumekuwa na ongezeko au trend kwa watu kununua simu za zinazoitwa Kosher phones...
  7. JamiiForums Tanzania SETTINGS MUHIMU SANA KWA WATUMIAJI WA ROUTERS ZA 5G-CPE au 4G ZA UNLIMITED HUSUSANI WATUMIAJI WA AIRTEL NA MITANDAO MINGINE PIA..

    Habari zenu wakuu, hope mko poa kabisa.. Leo imenibidi nifanye ku share jambo muhimu sana kwetu hasa mnaoteseka na hizi Routers za ISPs wetu hawa wa bongo kwa muda mrefu sana na mawakala wao wengi hawana uelewa mkubwa sana juu ya hili tatizo so inabidi mhusika ndo ufanye configurations mwenyewe...
  8. JamiiForums Tanzania Ongezeko la wachungaji, manabii, na waganga kwenye mitandao ya kijamii yanaleta afya kwa jamii?

    Kutokana na jua kuwa kali sana, na kuchoma usoni, mwili, mpaka mifukoni, kumekuwa na ongezeko kubwa sana la waganga na manabii kwenye mitandao ya kijamii, hasa kule Tiktok. Ukifungua kidogo tu, mara pasta fulani anatokea, hujakaa sawa, mara nabii, hujakaa tena sawa mara mganga wa utajiri n.k...
  9. JamiiForums Tanzania Leo nmeshuhudia utitiri wa watu kutumia teknolojia ya ai kwenye mitandao ya kijamaa wakitracy maisha ya miaka ya 80,s

    Ukweli teknolojia imekua nmeona watu na cerebraters wengi wakipost maisha ya miaka hiyo,ukweli nmefurahi sana nmekumbuka mbali sana.
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye makalio makubwa ni wapotezaji (losers) wakubwa katika era ya maendeleo ya mitandao ya kijamii ni wanawake.

    Maendeleo ya mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo mbaya sana ya kuharibu kundi la wanawake wenye makalio makubwa. Mitandao yote ya kijamii sasa kila kona imejaa wanawake wanaotingisha/ tikisa makalio. Kuanzia maofisi ya umma na binafsi, Bar, Pub, barabarani, kwenye usafiri, sherehe, biashara...
  11. F

    JamiiForums Tanzania KwelI Mungu siku hizi anatumia mitandao ya kijamii kwa alichomfanyia Samia

    Alpoua watu wetu wasio na hatia alijifanya hakuna kilichotokea. Kwangu, kilichomtokea naona ni kidogo. Heri angeanza yeye au ikiwezekana Mungu afanye haraka tena ajiunge na mwenda zake mwenza wake. RIP mpendwa na mheshimiwa wetu.
  12. JamiiForums Tanzania Habari ya makamu kujiuzulu ipostiwe kwenye mitandao ya kijamii?

    Wakuu, Mimi binafsi bado siamini. How come simple like that? Yaani majamu ajiuzulu kama diwani? On social media? Akili yangu bado inagoma. Hii ilibidi iwe live. Kama kipindi kile cha lowassa. Hata kwenye page za ofisi ya makamu hakuna hii taarifa. Account yake iko hacked? Late is wait and...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Matapeli wa kwenye mitandao wanajuaje kuwa namba ya mtu flani inapesa kiasi fulani?

    Hawa matapeli wa mitandaoni wanajuaje kuwa namba ya mtu fulani inahela kiasi fulani.Au wezi huwa ni wafanyakazi wa mitandao husika.Kunatapeli lilinitumia sms ya kujifanya limetuma kias fulani .lakini kilichonishangaza hela iliyotumwa ya kitapeli na ukiijumlisha na ile iliyomo kwanye akaunti...
  14. JamiiForums Tanzania Kabla ya maendeleo ya mitandao watu dini bongo walikuwa na chai za ajabu sana za kutisha watu

    Tukiwa Sekondari enzi mitandao ya kijamii haijasambaa sana Wanafunzi Waislamu maustadh kutoka Dar walileta kwa ushupavu mkubwa shuleni story ya watoto waliobadilika na kuwa mijusi wakubwa au viumbe wa ajabu baada ya kukojolea Quran. Walikuja na picha kabisa za hao viumbe waliobadilika kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi wa China wapata umaarufu tena kwenye mitandao ya kimataifa ya kijamii

    Video ya afisa wa polisi maalum wa China akiwasaidia watalii kupiga picha hivi karibuni imesambaa kwenye mitandao ya kimataifa ya kijamii. Jambo hili lilitokea wakati wa Sikukuu ya Kitaifa ya China mwaka jana. Wakati huo, Uwanja wa Agosti 1 huko Nanchang ulikuwa umejaa watu, na afisa mmoja wa...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Range ya makato ya Lipa namba mitandao yote

    Nataka kufahamu range ya makato kwa Kila mtandao yapoje maana naona kila sehemu pana makato yake kwa wakala, ukilipa kwa simu mitandao yote.
  17. JamiiForums Tanzania Mitego ya Mitandao: Changamoto za Online Dating ukiwa Mtu Mzima (Umri 30+)

    Zamani, watu wazima walikuwa wanakutana sokoni, kanisani, misikitini, au kupitia marafiki. Lakini leo, kupata mwenza kumehamia kwenye mitandao kama Tinder, Badoo, DM za Instagram, na makundi ya WhatsApp. Ukiwa mtu mzima mwenye majukumu yako, unatafuta mtu makini wa kutulia naye. Hata hivyo...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii na Misongo ya Kimawazo

    Habari wana JamiiForums,naomba tujadiliane kwa pamoja, nauliza, Je mitandao ya kijamii imekuja kuongeza stress au imekuja kupunguza stress kwa watumiaji?, Karibu utuambie
  19. JamiiForums Tanzania Kuhusu AI contents kwenye Mitandao ya kijamii

    Salaam Wandugu, Kuna jambo kuhusu AI contents naliona kwa upande wangu binafsi kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kuzikwepa, nitaweka mifano; Nikiwa naperuzi Mitandao ya kijamii ikatokea nakutana na video ambayo imetengenezwa kwa AI huwa na skip haraka sana bila kupoteza muda. Pia kutokana na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii ndio uhalisia wa maisha ya Watanzania. CCM imekataliwa na Watanzania

    Haina Sapoti yoyote kwenye mitandao ya kijamii. Huku ndiko watu wanajadili maisha ya kila siku. Siasa ndio maisha ya watu. Inabeba kila jambo linalomhusu mwananchi. Ukiingia kwenye kila mtandao wa kijamii.CCM imekataliwa na wananchi. Hii ni picha halisi hata kwa maisha ya uraiani CCM haitakiwi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…