Kulinda amani: Udhibiti mitandao ya kijamii

Kulinda amani: Udhibiti mitandao ya kijamii

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
729
Reaction score
655
IMG-20260515-WA0168.jpg
Tume ya Uchunguzi imependekeza kuanzishwa kwa mfumo madhubuti wa kufuatilia na kudhibiti matumizi ya mitandao ya kijamii wakati wa uchaguzi ili kuzuia uchochezi na uenezi wa habari za uwongo. Serikali inashauriwa kuweka sheria maalumu zinazohitaji majukwaa ya mitandao kutoa taarifa za uwajibikaji na kufuta maudhui yanayochochea ghasia haraka. Hii itasaidia kulinda vijana na amani ya taifa #RipotiYaKizalendo
#TumeYaUchunguziReport
Sauti Za Wananchi
 
Back
Top Bottom