mitandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. onemediaonline

    JamiiForums Tanzania Tufuatilie katika Mitandao yetu

  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sisi Content Creators wa JF na Mitandao mingine tunasubiri kwa hamu hayo mabilioni. Chondechonde Makonda tutaonana wabaya

    SISI CONTENT CREATORS WA JF NA MITANDAO MINGINE TUNASUBIRI KWA HAMU HAYO MABILIONI. CHONDECHONDE MAKONDA TUTAONANA WABAYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kwenye hii nchi ya Tanzania, moja ya watu wanaofanya kazi kubwa Sana kwenye jamii yetu na serikali ni Sisi Content Creators hasa wa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Kijamii na Majukwaa ya Mtandaoni ni chachu ya ukuaji wa elimu ya Demokrasia Nchini

    Licha ya Mitandao ya Kijamii kurahisisha mawasiliano na kupatikana kwa taarifa katika jamii, imesaidia pia kukuza demokrasia kwa kuwawezesha wananchi kutoa maoni, kuhoji viongozi, na kushiriki mijadala ya kidemokrasia. Kupitia majukwaa ya mitandao hayo kama WhatsApp, X (zamani Twitter)...
  4. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda CDF Muhoozi atangaza Mitandao ya kijamii yote kufunguliwa rasmi leo baada ya uchaguzi

    Mkuu wa jeshi ya Ulinzi ya Uganda (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza kuondolewa kwa vikwazo vya matumizi ya mitandao ya kijamii kufuatia kukamilika kwa mchakato wa uchaguzi nchini humo. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter) leo Januari 26...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kwamba ni Masuper Woman kwenye mitandao wakitaka jambo lao wanakuwa Wanyenyekevu kwelikweli

    Kama umeshawahi kuchakata hawa superwoman utanielewa nachomanisha. Hawa wanawake wenye akili nyingi, mali, wafanyabiashara, wazuri wa umbo na sura ambao ndio vinara wa kuhimiza Mwanamke kuwezeshwa na kupewa nguvu na hadhi wana mbinu sana. Kwenye mitandao atakwambia hata sharti la mume wake...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Mwana mitandao Speed akirushiwa ndizi na kufanyiwa sauti za nyani na wananchi wa Morocco

  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni mimi pekee naona huduma za mitandao zinasumbua?

    Ni mimi pekee naona au ni kama miaka miwili hivi mfululizo huduma za mitandao zimekuwa mbovu, sio internet, sio calls. Au ni haka kasmart kitoch kangu ndio jau?😁
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Waziri Makonda anzisha sera ya mitandao mbadala wa instagram na tiktok Tanzania

    Najua hili unaliweza bila shaka ili tuondokane na utegemezi wa kibeberu.Tujifunze kwa wachina
  9. Slobodan Mirosovich

    JamiiForums Tanzania Jinsi matapeli mamboleo hutumia mitandao na saikolojia kuliza watu

    Matapeli wa kisasa ni wahandisi wa akili (psychological engineers) au manipulators . Hawaji kuiba pesa zako mara moja; badala yake, wanajenga mazingira ambayo wewe mwenyewe utawapa pesa kwa hiari yako. Hivi ndivyo wanavyotumia saikolojia kumnasa mtu: 1. Kukuvutia na Maisha ya Ndoto zako (The...
  10. ankol

    JamiiForums Tanzania Serikali inatweet vipi katika mitandao iliyoifungia?

    Ni kuuliza tu si kwa ubaya. Serikali kama imamu na sisi wananchi kama mamuma tuna wajibu wa kuifuatisha katika jambo lolote linaloona si jema kwetu. Kuufungia mitandao wa x ni wazi kua wamebaini kua mtandao huo si salama kwa matumizi hapa nchini. Ajabu ni kwamba serikali hiyohiyo iliyoifungia...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kutegemea kama punyeto inaweza kutambulika kama janga, najiuliza, vijana wa kisasa wame-overdose au mitandao ndio ime expose?

    Haimaanishi ilikuwa ni lazima kijana ufanye punyeto katika processs ya ukuaji wako lakini pia haimanishi ilikuwa sio jambo la kawaida kufanya punyeto, ni kitu cha enzi na enzi, Lakini kwa sasa punyeto haisomeki kama step ya maisha ila inasomeka kama sehemu ya maisha, maana katika wingi mkubwa...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kupeleka taarifa zenu zishapelekwa ila msizani mnawapata kwenye mitandao yenu kama mlivomfanyia lissu.

    Shida TISS inawachukulia mataifa mengine kama vilaza walivyo wao.Ni tamia neno kilaza kama heshima kubwa kwao. Mlichokuwa mnafanya kutrace simu za watu ambao mnaona watavujisha taarifa zenu na uchafu wenu kumbukeni internet tu inawapa shida. Haya mtaweza kutrace hivi vifaa hata Kishada cha...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania 2026, kuna viakaunti vingi humu vitachangia mambo ya kuudhi au pengine yasio kuwa na utu. Visikutoe katika reli, utu wako ni zaidi ya mitandao.

    🎉Cheer up. LIVE TO THE FULLEST🎊
  14. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta business partner kwenye uwakala wa benk , mimi na uwakala wa mitandao ya simu , eneo chamwino ikulu

    Natafuta business partner kwenye uwakala wa benk , mimi na uwakala wa mitandao ya simu , eneo chamwino ikulu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuwe na sheria ya kuwahimiza au kuwalazimu viongozi wetu wawemo kwenye mitandao ya kijamii, ili Kuimarisha Mawasiliano na Uwajibikaji kwa Wananchi

    Pamoja na mchango wake mkubwa katika kuunganisha jamii, bado kumekuwepo na baadhi ya viongozi ambao hawajatambua kikamilifu umuhimu wa mitandao ya kijamii kama chombo cha kuwasogeza karibu na wananchi wanaowaongoza. Mitandao ya kijamii imeondoa mipaka kati ya kiongozi na mwananchi, dunia sio...
  16. Pfizer

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Tunawashauri wateja wetu kununua umeme kupitia vituo vya mawakala wetu wa LUKU nchi nzima

    TANESCO MAKAO MAKUU, S.L.P. 453. DODOMA, TANZANIA, SIMU 180 TAARIFA KWA UMMA CHANGAMOTO YA MANUNUZI YA UMEME Jumamosi 27 Disemba, 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kumetokea changamoto ya manunuzi ya umeme (LUKU) hali inayosababisha wateja kushindwa...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Umepata mapesa mengi kupitia mama yako ila umekuwa wa kujificha sana mpaka kwenye mitandao

    Hakuna ulichokosa tokea mama yako kawa raisi. Kwa kutajwa tajwa kwako kila matukio yanayoendelea hapa. Umekuwa wa kujificha sana yani kama umejifungia mwenyewe uhuru wako. Hata ukaenda kuishi nchi za nje kumbuka kuna watu wanandugu zao uliowafanyia mabaya wewe na mama yako
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuzalilishwa kwa JWTZ kwenye mitandao msishangae asilimia 98 kuwa bize na huko kubembeleza

    Huyu akili kisoda kubebwa kote na sikia ni bingwa wa kuchamba watu ndani ya nchi na nje ya nchi. Baada ya kubebwa mpaka kwa mkono wa damu si kaona yeye ndio amri jeshi mkuu. Kaanza kuwachamba wakubwa na huku mitandaoni tunavyo wazihaki JWTZ wanazidi kushikwa na hasira. Msione ili jambo ni...
  19. Pakome

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kumaliza changamoto inayowasumbua JamiiForums ni mamlaka kuwajibisha watumiaji wanaovunja Sheria za Mitandao ya Kijamii na sio mtandao

    JamiiForums ni social media website ambayo inapokea User Generated Content Katika mitandao ya Kijamii ulimwenguni, ina watumiaji wa aina mbili Watumiaji wanaotii na wasiotii Sheria Ili kuweka usawa ni kuwajibisha wale watumiaji wanaovunja Sheria huku wanaotii wakibaki salama Hatuwezi...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii ndio inavujisha mbinu ndio maana anazikwepa yeye na CCM

    Kuna kitu naona hawa marunga marunga uja kuchota taarifa na maarifa kisha ujimaarisha. Mfano kuhusu D9 wangekuwa hawapuuzi wasingeweka wanajeshi barabarani sababu nao wapo wakifatilia. Umeona kitendo cha kutishia kuwa anaweza kufa kimemfanya kuongeza ulinzi wa hali ya juu ukilinganisha...
Back
Top Bottom