Prince perk
New Member
- Dec 11, 2024
- 1
- 2
Nataka kufahamu range ya makato kwa Kila mtandao yapoje maana naona kila sehemu pana makato yake kwa wakala, ukilipa kwa simu mitandao yote.
Unakosew kusema hivyo, kwanza kwanini wewe uende umuambie wakala unataka kutoa kwa lipa namba?Lipa namba haikudhamiriwa kuwa na makato yoyote yale, ilikuwa mahususi kwaajili ya kufanya malipo ya bidhaa ama huduma badala ya kutumia cash.
Mawakala wakaitumia hiyo kuwa fursa ya kutumia kupiga hela ya juu kwa juu badala ya kusubiri commission kutoka kwa kampuni za simu.
Ndiyo maana hakuna mkeka wa makato ya lipa namba. Kwahiyo unavyoenda kwa wakala ndivyo anavyokupokea